Air hostess dar

Sio Air hostes tu,

kwa ujumla customer care kwa Tanzania ni zero. Nenda Bank, Airport, piga simu customer service etc...! Kote huko watoa huduma wanajiona wao ni bora zaidi kuliko mtu anayestahili huduma. Nenda nchi za wenzetu, yaani customer serice unayopewa mpaka unaogopa, unaweza ukafikiri labda unapendelewa.
Nakuunga mkono ktk hili,
Kiukweli hakuna customer care manners ktk makampuni mengi ya huduma.
Hawana loyalty,
Hawana friendly manner,
Hakuna ile falsafa ya kihuduma i.e. customers first,
Hawana customer retention,
Hakuna accurate feedbacks towards service delivery,
Na sehemu nyingi hata hawatoi TOKENS ambazo husaidia ile iitwayo 'a word of mouth'
Hebu waje tuwafundise hao air hostess wao ili wajue how to treat a customer, POLE KWA YALIYOKUSIBU NA UJUMBE UMEWAFIKIA.
 
Nasikitika kusema kuwa "mkuu, unapishana na ukweli."
guys ,msilalamike sana sana,sijaona kosa la hao airhostess,kabisa kabisa,na sababu zifuatazo
nimeona wamelalamikia swala la kumsaidia mizigo akiingia kwenye ndege
1)hiyo swala la mzigo ni la ground handling ambapo kwa pressicion air ni wao pekee waanajihandle
hivyo ni jukumu la pression groundling plp kuakikisha abiria ameingia ndani na mizigo yake amewekewa sehemu husika crew kazi yake ni kuonyesha sehemu inayotakiwa........,crew aruhusiwi kabisa kabisa kushika mzigo wa abiria ama kumshika abiria..,na hili ni kutokana na kesi yoyote mgonjwa akiumia ama kupata janga lolote anaejibu kesi ni crew,n hiyo ni moja ya DEBRIEFING ya crew kabla ya kupanda ndege
Kuuhusu mkanda,crew anatakiwa kumwonyesha abiria jinsi ya kufnga mkanda na ajifunge mwenyewe....,
 
Ukitaka jambo hili lifanyiwe kazi, weka tarehe uliyosafiri na Flight No ya ndege hiyo hapa, au kwenye suggestion Box zao ..Nakuhakikishia watashughulikiwa mara moja!
PW wako makini kwa kiasi cha kuridhisha kwa sasa...Naamini si Hostesses wote wako hivyo, kuna wengine wako kikazi zaidi, maana wanajua anytime wanamess-up, wakenya wanachukua nafasi!...huh

JF members, hivi munamaanisha Precission air au shirika lipi?, kama ni shirika hili mimi nimechoka nao, hata tikiti za wanalangua, unaweza kata tikiti uka-check in lakini baadae ukaambiwa ndege imejaa. They are more than hopeless.
 
Back
Top Bottom