BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,772
- 23,163
ukiligusa linasinyaa baada ya mda linarudi kawaida. Itakuwa wengine wanalijua kwa jina jingine
nalijua hilo, sie utoto tulikuwa tunasema "linasinzia"

ok Kijino hayo maua usiniguse nimeyakumbuka na ninayafahamu. ila yana jina hv sema nimelisahau. nikikumbuka ntakwambia!
ua charminglady... ua cacico @ua Kipipi ua Kongosho (not sure...if yes...ni ua pori)...ua vivian ua Preta ua sweetlady ua BADILI TABIA...kwa kutaja machache tu, haya ndio maua niyajuayo mimi...yanapendezesha nyumba...harufu nzuri...yanaleta amani...utulivu na furaha!
nalijua hilo, sie utoto tulikuwa tunasema "linasinzia"
umeona eh yani kitu kimoja majina tofauti
wadau kuna maua flani yana rangi ya kijivu afu yananukia vizuri, vijani vyake ni vidogo vidogo. jina nimesahau mara nying walisema yanavutia sana nyoka. nani anayafahamu?
umeona eeh!