aina za maua

waridi, maua sasita, maua mgomba, mengine nayajaua majina ya kisayansi
 
BAGAH Umenchekesha. haya bana, naona unautumia ule msemo kuwa mwanamke ni pambo!
 
Last edited by a moderator:
wadau kuna maua flani yana rangi ya kijivu afu yananukia vizuri, vijani vyake ni vidogo vidogo. jina nimesahau mara nying walisema yanavutia sana nyoka. nani anayafahamu?
 
sikuwaga nako kwa kweli ukizingatia nilikuwa nachukia "eti ntachafuka na udongo"......nahisi haikuwa hobby yangu ingawa yakipandwa nitayaadmire....especially kama ni roses


hahahaa BT hata kale kautoto ka kupanda maua hukuwaga nako?
 
Back
Top Bottom