Wakuu heshima mbele
Leo ingekuwa mara yangu ya kwanza ku date nae lkn amekuja anayumbaa yumba watu wamenishanga kweli nimepata aibu ya mwaka .kifupi huyu binti nilikuwa namuona mstaarabu sana leo kanipigia toka mchana kuwa ntakuja nikusalie jioni nikamjibu karibu,ss imefika jioni kaniambia ndo anatoka kwao imenishtua kachelewa sana kufika mpaka mida ya saa mbili ndo kaja anayumba njia nzima watoto wa mtaani wanamshangilia kwa nyuma ile nafungua mlango kuangalia ndo yy nimeshtuka sana nimemlaza sebuleni apate upepo na akili na baada ya hapo achape lapa tu me cwezi
Mkuu, inawezekana alikunywa ili aondoe nishai ya kukutana na mvulana. Si mara ya kwanza. Mpe second chance uzidi ona vimbwanga vyake.
Kaanza kukaa vizuri nimempa maji ya baridi sana!namuuliza hasemi kitu kakaa kimya tu anasema kila weekend lazima alewe na pombe kwake ndo furaha yake nimejaribu kumhoji na kumshauri ili aacha anasema hawezi kuacha pombe kama namkubali ndo nijue hy ndo stail yake ya maisha!leo anasema alikuwa analewa na Mzee flani hapa mtaani!kifupi HAFAI
Ah wewe,kwani huwezi kumbadilisha wote mkimkimbia itakuwaje?be responsible and a man enough to deal with this,love changes everything,love never fails,
usichoweza nini nini?
hivi ulizani mpenzi wako ni malaika hakosei?, yaani unasema leo ndo mara yakwanza unamwona kalewa, na unasema achape lapa wewe huwezi?. jifunze kupambana na kutatua matatizo, siyo unakwepa matatizo. ivi ungekuwa wewe kakwambia chapa lapa, ungefurahi?
akipata fahamu , ongea nae ujue ni nini kilimfanya anywe pombe. kuna sababu nyingi , kama anajifunza kunywa, siku izi kuna pombe ni tamu kinywani lakini zinalewesha baadae, asije akawa amepewa hizo na aliokuwa nao. lakini pia huenda ana maatizo kajikuta anatatulia kwenye pombe.
usikurupuke, kama ni mpenzi wako kama unavyomwita mwenyewe, jifunze kumsaidia, ili aone tofauti kati yako wewe mpenzi wake na mimi kindimbajuu ambaye siyo mpenzi wake
Wakuu heshima mbele
Leo ingekuwa mara yangu ya kwanza ku date nae lkn amekuja anayumbaa yumba watu wamenishanga kweli nimepata aibu ya mwaka .kifupi huyu binti nilikuwa namuona mstaarabu sana leo kanipigia toka mchana kuwa ntakuja nikusalie jioni nikamjibu karibu,ss imefika jioni kaniambia ndo anatoka kwao imenishtua kachelewa sana kufika mpaka mida ya saa mbili ndo kaja anayumba njia nzima watoto wa mtaani wanamshangilia kwa nyuma ile nafungua mlango kuangalia ndo yy nimeshtuka sana nimemlaza sebuleni apate upepo na akili na baada ya hapo achape lapa tu me cwezi
Ukimpenda utamlinda!
ushauri wako sijui kama unaweza msaidia huyu mtu nje yakumuongezea matatizodawa yake na wewe nenda katandike mitungi rudi umelewa chakari na kipisi cha ganja huku umeshika panga mkononi, vunga umezimika
Ukiamka hukuti tena
Kiongozi hata me nilishindwa kumuelewa na kumvumilia pia maana cku hz wasichana wanaangalia hela ss kaleweshwa huko cjui wamemfanya nn aje amalizie hasira zake kwangu haiwezekani!Mazee mi naona jamaa aliona kinang'aa akafikiri ni dhahabu, we demu anakwambia pombe ndo starehe yake,afu hawezi kuacha,afu eti alikuwa analewa na mzee flani hvi,afu alimpigia simu jamaa muda mrefu akachelewa,afu unywaji wake ndo huo hadi anakata netiweki.!!? Afu bado mnashauri amvumilie? Ntarudi