Aibu ya Mwaka Mpenzi wangu kaja amelewa hajitambui!!!!!

Subiri akili imrudi vizuri uongee naye kiustaarabu, huwezi jua ni kitu gani kilichomfanya hadi akanywa hivyo, usichukulie hasira wala papara,usimfukuze kwani akipata madhara yoyote hata wewe hautakuwa na amani moyoni mwako, kuwa mstahimilivu
 
Wakuu heshima mbele
Leo ingekuwa mara yangu ya kwanza ku date nae lkn amekuja anayumbaa yumba watu wamenishanga kweli nimepata aibu ya mwaka .kifupi huyu binti nilikuwa namuona mstaarabu sana leo kanipigia toka mchana kuwa ntakuja nikusalie jioni nikamjibu karibu,ss imefika jioni kaniambia ndo anatoka kwao imenishtua kachelewa sana kufika mpaka mida ya saa mbili ndo kaja anayumba njia nzima watoto wa mtaani wanamshangilia kwa nyuma ile nafungua mlango kuangalia ndo yy nimeshtuka sana nimemlaza sebuleni apate upepo na akili na baada ya hapo achape lapa tu me cwezi

usichoweza nini nini?
hivi ulizani mpenzi wako ni malaika hakosei?, yaani unasema leo ndo mara yakwanza unamwona kalewa, na unasema achape lapa wewe huwezi?. jifunze kupambana na kutatua matatizo, siyo unakwepa matatizo. ivi ungekuwa wewe kakwambia chapa lapa, ungefurahi?
akipata fahamu , ongea nae ujue ni nini kilimfanya anywe pombe. kuna sababu nyingi , kama anajifunza kunywa, siku izi kuna pombe ni tamu kinywani lakini zinalewesha baadae, asije akawa amepewa hizo na aliokuwa nao. lakini pia huenda ana maatizo kajikuta anatatulia kwenye pombe.
usikurupuke, kama ni mpenzi wako kama unavyomwita mwenyewe, jifunze kumsaidia, ili aone tofauti kati yako wewe mpenzi wake na mimi kindimbajuu ambaye siyo mpenzi wake
 
Mwanamke anayejiheshimu hawezi kunywa pombe mpaka afikie stage ya kuyumba barabarani! Pole sana!
 
jamaa wangeshamsasambua eeeh... binafsi siamini labda kama wangekuwa ni wapenzi wa milupo au mtungo...
 
dawa yake na wewe nenda katandike mitungi rudi umelewa chakari na kipisi cha ganja huku umeshika panga mkononi, vunga umezimika

Ukiamka hukuti tena
 
Kaanza kukaa vizuri nimempa maji ya baridi sana!namuuliza hasemi kitu kakaa kimya tu anasema kila weekend lazima alewe na pombe kwake ndo furaha yake nimejaribu kumhoji na kumshauri ili aacha anasema hawezi kuacha pombe kama namkubali ndo nijue hy ndo stail yake ya maisha!leo anasema alikuwa analewa na Mzee flani hapa mtaani!kifupi HAFAI
 
Mkuu, inawezekana alikunywa ili aondoe nishai ya kukutana na mvulana. Si mara ya kwanza. Mpe second chance uzidi ona vimbwanga vyake.

good advice,yawezekana alitala kuondoa nishai.
Kuna bibi harusi mmoja hivyo alipewa kungu,alifika kanisani hoi,ilibidi watafute maziwa wamnyweshe
 
Kaanza kukaa vizuri nimempa maji ya baridi sana!namuuliza hasemi kitu kakaa kimya tu anasema kila weekend lazima alewe na pombe kwake ndo furaha yake nimejaribu kumhoji na kumshauri ili aacha anasema hawezi kuacha pombe kama namkubali ndo nijue hy ndo stail yake ya maisha!leo anasema alikuwa analewa na Mzee flani hapa mtaani!kifupi HAFAI

I told you, don't have enough character to face her squarely and meaningfully!! Mta deal dal hapo and finally bed room with her ... mark my words!! ... na hapo mlevi si yeye ni wewe!! Be sensible and tough man!!:yo: !!!
 
Ah wewe,kwani huwezi kumbadilisha wote mkimkimbia itakuwaje?be responsible and a man enough to deal with this,love changes everything,love never fails,

Ndio maana nipo JF.umenena maneno ya kujenga.umekamilisha sikuyangu vizuri.
 
usichoweza nini nini?
hivi ulizani mpenzi wako ni malaika hakosei?, yaani unasema leo ndo mara yakwanza unamwona kalewa, na unasema achape lapa wewe huwezi?. jifunze kupambana na kutatua matatizo, siyo unakwepa matatizo. ivi ungekuwa wewe kakwambia chapa lapa, ungefurahi?
akipata fahamu , ongea nae ujue ni nini kilimfanya anywe pombe. kuna sababu nyingi , kama anajifunza kunywa, siku izi kuna pombe ni tamu kinywani lakini zinalewesha baadae, asije akawa amepewa hizo na aliokuwa nao. lakini pia huenda ana maatizo kajikuta anatatulia kwenye pombe.
usikurupuke, kama ni mpenzi wako kama unavyomwita mwenyewe, jifunze kumsaidia, ili aone tofauti kati yako wewe mpenzi wake na mimi kindimbajuu ambaye siyo mpenzi wake

Fuata ushauri huu.
 
Wakuu heshima mbele
Leo ingekuwa mara yangu ya kwanza ku date nae lkn amekuja anayumbaa yumba watu wamenishanga kweli nimepata aibu ya mwaka .kifupi huyu binti nilikuwa namuona mstaarabu sana leo kanipigia toka mchana kuwa ntakuja nikusalie jioni nikamjibu karibu,ss imefika jioni kaniambia ndo anatoka kwao imenishtua kachelewa sana kufika mpaka mida ya saa mbili ndo kaja anayumba njia nzima watoto wa mtaani wanamshangilia kwa nyuma ile nafungua mlango kuangalia ndo yy nimeshtuka sana nimemlaza sebuleni apate upepo na akili na baada ya hapo achape lapa tu me cwezi

Duh! kumbe kwenye date huwa mnasaliana?
 
dawa yake na wewe nenda katandike mitungi rudi umelewa chakari na kipisi cha ganja huku umeshika panga mkononi, vunga umezimika

Ukiamka hukuti tena
ushauri wako sijui kama unaweza msaidia huyu mtu nje yakumuongezea matatizo
 
Mazee mi naona jamaa aliona kinang'aa akafikiri ni dhahabu, we demu anakwambia pombe ndo starehe yake,afu hawezi kuacha,afu eti alikuwa analewa na mzee flani hvi,afu alimpigia simu jamaa muda mrefu akachelewa,afu unywaji wake ndo huo hadi anakata netiweki.!!? Afu bado mnashauri amvumilie? Ntarudi
 
Kiongozi hata me nilishindwa kumuelewa na kumvumilia pia maana cku hz wasichana wanaangalia hela ss kaleweshwa huko cjui wamemfanya nn aje amalizie hasira zake kwangu haiwezekani!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom