Aibu kubwa uwanja wa mwalimu julius kambarage nyerere.....

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,150
21.jpg
 
Pdidy,

Thanks for this useful post

Nadhani ulikuwa na haraka ya ku-check in maana paragraph nzima haileweki vizuri - It could have been wise to post the photo ONLY
 
Tatizo la Tz watu wanapenda kukimbilia kubatiza vitu mbali mbali majina ya viongozi lakini kiukweli hali halisi inatia aibu...Huo ni mwendelezo tu vipi kuhusu shule kibao za sekondari zenye majina ya viongozi zilivyotokota kwenye matokeo ya Kidato cha 4???
 
Duuh hivi wanashindwa kweli kufix hilo dari? Oooh Tanzania nchi yangu unaharibiwa na Mafisadi, ufisadi mpaka kwenye kufix uwanja?:A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20::A S 20:
 
Funny enough for we Tanzanians....jengo linalotumiwa na kutembelewa na wachache(IKULU) linakarabatiwa kila siku....yale ya kinyume chake(HOSPITALI NA HII EAPOTI) Hatuoni umuhimu wa kukarabati
 
tatizo la tz watu wanapenda kukimbilia kubatiza vitu mbali mbali majina ya viongozi lakini kiukweli hali halisi inatia aibu...huo ni mwendelezo tu vipi kuhusu shule kibao za sekondari zenye majina ya viongozi zilivyotokota kwenye matokeo ya kidato cha 4???
s1806 yusuf makamba secondary school
div-i = 2 div-ii = 4 div-iii = 19 div-iv = 113 fld = 314



s3561 salma kikwete secondary school
div-i = 3 div-ii = 8 div-iii = 27 div-iv = 119 fld = 150
 
Uku mkishindwa kuweka kiraka kwenye ka uwanja kenu angalie wenzenu
dubai-airport_std.jpg


DXB
 
1-cbs.jpg

Check- in desks at London Heathrow Terminal 5
5-cbs.jpg

Check-in desks at Adelaide Airport majuu raha sana.....
hope na yetu ikikamilika itakuwa kama hizi..
 
Naona kuna kagiza giza flani hivi!!

Airport kabla ya mwaka 97 kwenda nyuma ilikuwa safi kweli, palikuwa panavutia sana hasa kwa mazingira yake ya kisimple simple lkn safari hii naona wamejaza mivitu kibao pale utadhani sokoni.
 
s1806 yusuf makamba secondary school
div-i = 2 div-ii = 4 div-iii = 19 div-iv = 113 fld = 314



s3561 salma kikwete secondary school
div-i = 3 div-ii = 8 div-iii = 27 div-iv = 119 fld = 150

kuna shule inaitwa salma kikwete???? hii kali ya karne.
 
Jamani, ni aibu mi nilikua kila siku najiuliza huk ndani kuna nini mbona kunafichwa hivyo? kumbe bi uozo tu.
Ukiwa unapanda zile ngazi za kwenda Lounge ya wanaosafiri ndani ya nchi tu inatia aibu. Sijui lini tutafika???
 
1-cbs.jpg

Check- in desks at London Heathrow Terminal 5
5-cbs.jpg

Check-in desks at Adelaide Airport majuu raha sana.....
hope na yetu ikikamilika itakuwa kama hizi..

Umekwenda mbali sana (Ulaya, Dubai), ukifika Kenyatta International Airport utaona aibu!
 
Back
Top Bottom