ahsanteni wana jukwaa hili.

Quiet

Member
Oct 16, 2009
51
0
habari zenu waungwana?
nitakuwa mwizi wa fadhila kama sitotoa shukrani zangu kwa msaada wenu. ahsanteni sana kwa kunisaidia kuikamilisha ile project ya , sumu ya ndoa ni...... , nina furaha kukwambieni kwamba imefanikiwa na jf ndio sehemu ya mafanikio yake. ahsanteni kwa wote walioshiriki na wasioshiriki. hususan wadau wa jukwaa hili. amani na upendo (peace and love).

quiet
 
quiet am happy for you kama umetimiza lengo lako
sasa ile zawadi niliyokuomba mbona hujasema kama utanipa
 
Asante kwa feedback! lakini ilikuwa project ya nini? si unajua tuna right ya information as of part of research ethics!
 
Asante kwa feedback! lakini ilikuwa project ya nini? si unajua tuna right ya information as of part of research ethics!

Na wewe bana si usome hapo! usiwe mvuvi wa kuperuzi mambo project yenyewe ni sumu ya penzi unataka nikutafutia hiyo thread?
Tunashukuru quiet kwa moyo wako wa kuyafanyia kazi yote tuliyo kulisha humu ndani.
 
Asante kwa feedback! lakini ilikuwa project ya nini? si unajua tuna right ya information as of part of research ethics!

ilikuwa project ya mambo ya mahusiano sijui ni Ng'os gani mwenyewe aliweka kwenye mabano
 
quiet am happy for you kama umetimiza lengo lako
sasa ile zawadi niliyokuomba mbona hujasema kama utanipa
teh teh teh! FL1 , kumbe hujasahau?, zawadi ipo lakini rais hatokasirika akiona vijizawadi vya quiet? (joke). BTW nimefurahi pia kwa msaada wenu. tupo pamoja.
quiet
 
Asante kwa feedback! lakini ilikuwa project ya nini? si unajua tuna right ya information as of part of research ethics!

ilikuwa project fulani ambayo ilizingatia kutathmini mambo yanayochangia kuvunja ndoa katika jamii za kileo, iliandaliwa na umoja fulani wa NGO(jina kapuni), na mimi nikiwa mmoja wa wahusika, na bado inaendelea lakini katika hatua za awali imefanikiwa. msaada wenu ni wa kushukuriwa sana.
quiet
 
teh teh teh! FL1 , kumbe hujasahau?, zawadi ipo lakini rais hatokasirika akiona vijizawadi vya quiet? (joke). BTW nimefurahi pia kwa msaada wenu. tupo pamoja.
quiet
hahaha asante kwa kuonyesha moyo wa kukubari hata hivyo
all the best
 
Back
Top Bottom