Ahsante sikuzaliwa Lagos: Naipenda Dar!

watu karibu 250,000 wanaishi humo...

article-0-1D2579BC00000578-831_964x1443.jpg

article-0-1D2578DD00000578-582_964x641.jpg

article-0-1D25791100000578-503_964x641.jpg

article-0-1D25794500000578-286_964x641.jpg
Hivi inamaana hakuna ardhi kabisa huko au..?! i don believe this..!
 
Hebu tuwekeen na picha za kwetu kule manzese, tandale yombo n.k
 
Hebu tuwekeen na picha za kwetu kule manzese, tandale yombo n.k
Ukiangalia manzese na tandale ni kama oysterbay niweza kusema ukilinganisha hizo sylum ya kENYA au ya NIGERIA ukiangalia Manzese na tandale kuna nyumba za maan japo si zote zipo mbov lkn ni bora zina hitajika serekal kuwatengenezea miundo mbinu tu .lkn hizo Kibera cjui na huko NiGERIA hata serikali yao imeshindwa ianzie wapi.
 
Hehehe mnafananisha lagos na dar kweli!!?
lagos level nyingine kabisa
Wacheni utani
 
Hehehe mnafananisha lagos na dar kweli!!?
lagos level nyingine kabisa
Wacheni utani
mkuu,tatizo unakariri vitu au bado uko mkoani unalima, Dar imeendelea katika kipindi cha miaka 10 iliyopita picha zinajinonesha.
 
Back
Top Bottom