Ahsante sikuzaliwa Lagos: Naipenda Dar!

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
36,063
40,724
Cheki mambo ya Lagos hayo, hakuna pa kutema mate!
pop19.jpg
04rfd-image-custom3.jpg

==========================================================
Karibuni Dar / Welcome to my city!

darrr.jpg
 
Ah bana ungepiga picha kona ya ubungo, picha hazina uwiano hizo alaf hiyo picha ya tz dizain umeipiga jpili!
 
Sawa na kuilinganisha masaki na kibera au mathare

dar es salaam hii hamna sehemu iko kama hivi

04rfd-image-custom3.jpg

au hivi...

makoko-shanty-town-lagos-lagoon-lagos-state-nigeria.jpg

haya si mafuriko ni watu wanaishi kwenye lagoon hapo lagos...its chaotic,umeme hamna mwaka mzima labda 2hrs tu ni kelele za majenereta kwa kwenda mbele!!!
 
idadi ya watu wa naigeria ni mara tatu ya tanzania.kuanza kufananisha miundo mbinu ya nchi hizii hakuna usawa
 
dar es salaam hii hamna sehemu iko kama hivi

04rfd-image-custom3.jpg

au hivi...

makoko-shanty-town-lagos-lagoon-lagos-state-nigeria.jpg

haya si mafuriko ni watu wanaishi kwenye lagoon hapo lagos...its chaotic,umeme hamna mwaka mzima labda 2hrs tu ni kelele za majenereta kwa kwenda mbele!!!

Aisee...! kuna binadamu wanaishi humo majini?!
 
Back
Top Bottom