goodlif1600
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 794
- 865
Aliyepeleka wazo la VRF Kama bado yupo kazini ni kosa kubwa Sana uyo jamaa anatakiwa afukuzwe kazi Mara moja sio mzalendoSio kweli, kila mtu angekuwa anapandisha tozo ya 6% or less kila mwaka kwa kisingizio cha 'kulinda thamani ya fedha' maisha yangekuwa magumu sana.
Wakati nasoma chuo ada ilikua 1,500,000 kwa mwaka. Leo hii miaka karibu kumi mbele ada ni ileile 1,500,000 na ndiyo mnufaika mpya analipiwa hiyo na bodi.
Sasa kwanini bodi itake mimi nirudishe 1,700,000 wakati kiasi anachopewa mwanafunzi mpya ni kilekile nilichopewa mimi miaka kumi iliyopita?
Plus, HESLB haikuanzishwa kufanya biashara.