Waziri kivuli
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 2,987
- 3,450
Wakati huu ndio tunashuhudia dola ikiwa Na double standard ya hali ya juu! Jambo moja likifanywa na mpinzani hasa wa Chadema, basi utaona vyombo vya dola vilivyo active, lakini jambo hilo hilo likifanywa na mwanaccm basi ni suna na kuona ni jambo la kawaida tu!
Mpaka siasa,kuanzia Lema, Msigwa na Sugu, sijaona kati yao aliyezungumza maneno mabaya zaidi ya aliyosema mwenyekiti wa UVCCM kule Zanzibar! Nawaza tu kama angekuwa mpinzani anawatisha Mahakama na Polisi tena kwa maneno "Ole wao na niwaone Polisi na Mahakama watakaowachukulia hatua vijana wa CCM"
Sijui angekuwa ndio Lema kasema hivyo angekula mvua ngapi! Eti kijana aliyepiga picha "expansion joint" anaitwa kuhojiwa na kutiwa misukosuko ila wanaochochea uhalifu kama Kheri James wanapeta tu!
Kwa siasa naona kushughulika Na wapinzani ni kipaumbele kuliko hata vita vinavyoitwa vya ufisadi!Hiyo mahakama ya mafisadi kuko kimya huku kila uchao tunasikia madudu mapya na wahusika wapo!
Ni ajabu awamu hii, Mtoa rushwa kununua madiwani Na mlitia taifa hasara ili tu kuonesha mkulu anakubalika,anapandishwa cheo huku kukiwa Na ushahidi wa video akitumia vibaya nafasi yake ya ukuu wa wilaya!
Its a shame!
Bilioni moja kurudia uchaguzi wa mbunge????