Afya ya Dr. Ulimboka Yaimarika, Kutua Nchini August

Mungu ni mkubwa, aliyehusika natamani naye ang'olewe meno bila Ganzi:israel:

Nafikiri kung'olewa mweno bila ganzi was easy, what about kuingiliwa kinyume na maumbile. Huyu mtu alifanya hivyo nahisi ni devil hata kama, huwezi kufanya vitu kama hivyo.
 
Tulikuwa pamoja ktk sala, na tunaendelea kuwa pamoja kukuombea DR uimarike maradufu afya yako na moyo wako wa kujitolea....., bila kuwasahau wale wote mnaoshirikiana ktk tatizo hili.
Mungu yupo pamoja kwa wapenda haki na wapigania haki.
Kumbukeni wapenda haki wenzangu, Mungu wa rehema yupo bana, hapana kuwa na hofu ktk kuitafuta na kuitetea haki...!
 
Wakati watanzania wanaombea Dr Uli apone haraka arudi kujenga taifa kuna ambao wanatamani hata agongwe na gari ili mradi asirudi bongo. Hawa ni Kova, Hemed Msangi, Said Mwema, Jack Zoka na jamaa wa baraza la waislam la bahakita

Wengine ni Jakaya Mrisho Kikwete, Abeid wa Ikulu, Rama (Muuwaji maarufu wa Serikali) na Stella Ma-tomato aliyemfananisha Dr Uli na Hitler!!
 
spencer Asante mkuu kwa taafira.
Ombi langu ni kwamba kwa kuwa taarifa zinazomhusu Dr Ulimboka ni nyeti, basi zibakie kuwa nyeti na sio lazima tuzimwage jamvini. Inatosha kutujulisha ya kuwa anaendelea vizuri, tunapata faraja. Lakini sidhani kama ni vizuri sana kuweka bayana atarudi lini, atafanya nini n.k. Nafikiri hilo ni jukumu la familia yake kama wanataka kutoa press release watatoa, vinginevyo naomba tuwaachie 'privacy' (wajuzi wa lugha ya kiswahili naomba msaada). Dr. ameteseka sana pamoja na familia yake, nafikiri pamoja na kwamba sote tunapenda kusikia Dr atatuambia nini, mambo yake mengine tusiyaweke bayana sana. Sio kila mtu ana nia njema, na huwezi kujua nani ataitumia vipi taarifa hii. Huo ni mtazamo wangu tu binafsi. Tuko pamoja na tunamwombea Dr. apone haraka!
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: FJM
Mungu aliyehai ni mkuu hana anachoshindwa.Tunashukuru anavyomponya Dkt Uli natunaomba endelee kuimarisha afya yake na kuharibu kila nia mbaya za adui wake wanaovizia roho yake.
 
Hana kitu huyu , yeye amesababisha roho za wagonjwa kwa kupigania mshahara mkubwa kwa maslahi ya familia yake na si watanzania
Meat Head! hujui kikwete ndio muuaji wa watanzania kuliko mgomo huu ulionzishwa na madoctor wanaodai mazingira mazuri ya kazi! na ujinga wake wa kuabudu mashetani> mwambie muhimbili wanaweza kubalisha damu yake asisafiri kama juha.
 
Yaani Dr akirudi Tz. amepona kwa furaha nitakayokuwa nayo baa yoyote nitakayokuwepo watu watakula bia bure kusherehekea ushindi! Sikuamini km Dr. atapona hasa pale waliposema figo zimefeli zote, nilidhani nis a mater of time kuambiwa Dr hatunaye tena. Da, akiya Mungu Dr kafufuka!
 
Nafikiri kung'olewa mweno bila ganzi was easy, what about kuingiliwa kinyume na maumbile. Huyu mtu alifanya hivyo nahisi ni devil hata kama, huwezi kufanya vitu kama hivyo.
Kuwa na adabu wewe, nani alikuambia dokta aliingiliwa kinyume na maumbile? Acha uzushi wa mambo
 
GreaTthinkers,
Habari hii ni njema na nyeti sana,
Dk Ulimboka afya yake inaendelea vizuri, uwezekano wa kuruhusiwa august ni mkubwa ila hatarusiwa kufanya kazi kwa miezi sita. baada ya hapo atarejea hospitali kwa uchunguzi tena.

''Nikirudi nyumbani nitaongea na waandishi wa habari kila mtu asikie,siogopi kufa mara ya pili. Cha msingi kila mtu aelewe kilichotokea''

Please naomba ulinzi uimarishwe, wasije wakamdhuru dk anayepigania huduma bora hospital likiwemo kina mama wajawazito wasilale wanne ktk kitanda kimoja.


Thanks
Spencer@Boksburg(SA)


Get well soon Uli!
 
Huu ni Ushindi mwingine katika demokrasia ya nchi yetu!!

Hah...?!!democrasia tena?kumbe ilikuwa ni mambo ya siasa.
Kama ndivo,nawahurumia family yake na watoto KWANI KAINGIA KWENYE MCHEZO WA HATARI.
THE STAKE ENVOLVED HERE IS TOO HIGH.
 
GreaTthinkers,
Habari hii ni njema na nyeti sana,
Dk Ulimboka afya yake inaendelea vizuri, uwezekano wa kuruhusiwa august ni mkubwa ila hatarusiwa kufanya kazi kwa miezi sita. baada ya hapo atarejea hospitali kwa uchunguzi tena.

''Nikirudi nyumbani nitaongea na waandishi wa habari kila mtu asikie,siogopi kufa mara ya pili. Cha msingi kila mtu aelewe kilichotokea''

Please naomba ulinzi uimarishwe, wasije wakamdhuru dk anayepigania huduma bora hospital likiwemo kina mama wajawazito wasilale wanne ktk kitanda kimoja.


Thanks
Spencer@Boksburg(SA)


nimeattach picha ya ACP msangi
 

Attachments

  • ACP HEMED MSANGI.png
    ACP HEMED MSANGI.png
    134.2 KB · Views: 36
Tunamsubiri kwa hamu kubwa sana shujaa wetu na mtetezi wa wanyonge watanzania walio wengi na kipato duni kabisa!!aibu sana kwa serikali miaka 50 hata xray hatuna hospitali za wilayani!!zile sherehe za nini sasa wakati tuna shida lukuki?sijui mnakimbiliaga nini ikulu!
 
Back
Top Bottom