Afya ya Dr. Ulimboka Yaimarika, Kutua Nchini August

Hiki ni kitendawili ambacho kimetegwa na jamaa zetu wa chama cha Mabepwande wameshindwa kukitegua"
 
siwezi amini mpaka arudi tena bongo,tunazidi kukuombea Dr.Uli upone mapema uje kuweka wazi yaliyokukuta.
 
Angalia tunakuombea,ukija wakuone kwa uzuri wakupe villa huko new jersey kama Balali upoteee.ULIMBOKA USIPOKEE BRIFCASE ILA ITAKUWA FARAJA UKITUTHIBITISHIA JUU YA MSANGI HEMED NA JACK ZOKA...mjomba uli napenda kukueleza kuwa kova nae kajiingiza kichwa kichwa.
 
GreaTthinkers,
Habari hii ni njema na nyeti sana,
Dk Ulimboka afya yake inaendelea vizuri, uwezekano wa kuruhusiwa august ni mkubwa ila hatarusiwa kufanya kazi kwa miezi sita. baada ya hapo atarejea hospitali kwa uchunguzi tena.

''Nikirudi nyumbani nitaongea na waandishi wa habari kila mtu asikie,siogopi kufa mara ya pili. Cha msingi kila mtu aelewe kilichotokea''

Please naomba ulinzi uimarishwe, wasije wakamdhuru dk anayepigania huduma bora hospital likiwemo kina mama wajawazito wasilale wanne ktk kitanda kimoja.

Thanks
Spencer@Boksburg(SA)

je wakina zoka wakitumia vinasa saut as waandish na kuweka thumu????
 
Hata ndege anayokuja nayo isijulikane isije ikatunguliwa kwa sababu mpumbavu anapotaka kujisafisha anaweza kusababisha madhara makubwa yatakayowagusa hata ambao hawahusiki na huo upumbavu
 
Angalia tunakuombea,ukija wakuone kwa uzuri wakupe villa huko new jersey kama Balali upoteee.ULIMBOKA USIPOKEE BRIFCASE ILA ITAKUWA FARAJA UKITUTHIBITISHIA JUU YA MSANGI HEMED NA JACK ZOKA...mjomba uli napenda kukueleza kuwa kova nae kajiingiza kichwa kichwa.

kuna sridi niliandika kuwa characters wanaongezeka kwenye hii RAMSA,na kuanzia kesho na kuendelea tuendelee kutaraj characters wengine,,,,namaanisha hapa kutakuwa na wahusika wakuu wapya,wahusika wasaidizi,wahusika wajenzi,wahusika bapa pamoja na wahusila DUARA wooote wapya,,,,mhusika wa leo Mch Gwajima ni mhusika mkuu MPYAAAAA NA HALISI,YEYE NI BAPA,HABADILIKI
 
Umofia kwenu all igwe,habari njema hii,Spencer imarisheni ulinzi huko SA na pia dose yeyote anayopewa lazima nyie wote muhiakiki! Kova Zoka msangi Side mnyamwezi imekula kwenu

Yaaaaa igwe king kong. umenikumbusha mwaka 88 nilipokuwa fm3.
 
Hii habari si nzuri kwa Kova na Zoka. Mwisho wa dhuruma unakaribia, huyu kova ajiandae kwenda jela, amefanya mauaji mengi sana.
 
Huyu mtu ni wa kumuombea apate maisha marefu sana. Ila ingekuwa vyema kama sasa afya yake imeimarika kidogo ajaribu kurekodi maelezo yake kwa ukamilifu kwa kilichotokea kabla hata ya kufika huku.
 
Naamini wadanganyika wazalendo watajitoa kwa dhati kumpokea kishujaa kabisa

GreaTthinkers,
Habari hii ni njema na nyeti sana,
Dk Ulimboka afya yake inaendelea vizuri, uwezekano wa kuruhusiwa august ni mkubwa ila hatarusiwa kufanya kazi kwa miezi sita. baada ya hapo atarejea hospitali kwa uchunguzi tena.

''Nikirudi nyumbani nitaongea na waandishi wa habari kila mtu asikie,siogopi kufa mara ya pili. Cha msingi kila mtu aelewe kilichotokea''

Please naomba ulinzi uimarishwe, wasije wakamdhuru dk anayepigania huduma bora hospital likiwemo kina mama wajawazito wasilale wanne ktk kitanda kimoja.

Thanks
Spencer@Boksburg(SA)
 
"Amen Amen amennnnnn. Lord is ble and our Lord is God. Walifikiri wamekuua Dr. kumbe hawakujua mtumishi huwa hafi kirahisi, ni lazima mchungaji ukamilishe kazi ya kondoo wako. Huko South Africa, please make sure Dr. yuko katika ulinzi mkali sana, no visitors hata jama kazaliwa na Dr. kwa kipindi hiki. Dr. Ninakusubiri kwa hamu sana, naomba tu siku ya siku nisikie sauti yako live kwa hakika maana ile ya DVD iliniliza sana mtu mzima mimi. Kweli nchi yetu ya amani ndiyo tumefikia hapo? Pole sana wanafamilia wa Dr. hasa mke na watoto wake. Tuko pamoja daima japo kwa maombi.
 
Nafikiri Dr. Uli angefanya series of interview from now ili hata hao wabaya wakifanya hilo wanalotaka kufanya ili kuficha ukweli wawe wamejisumbua which i think atakuwa ameshafanya
 
GreaTthinkers,
Habari hii ni njema na nyeti sana,
Dk Ulimboka afya yake inaendelea vizuri, uwezekano wa kuruhusiwa august ni mkubwa ila hatarusiwa kufanya kazi kwa miezi sita. baada ya hapo atarejea hospitali kwa uchunguzi tena.

''Nikirudi nyumbani nitaongea na waandishi wa habari kila mtu asikie,siogopi kufa mara ya pili. Cha msingi kila mtu aelewe kilichotokea''

Please naomba ulinzi uimarishwe, wasije wakamdhuru dk anayepigania huduma bora hospital likiwemo kina mama wajawazito wasilale wanne ktk kitanda kimoja.

Thanks
Spencer@Boksburg(SA)

Hana kitu huyu , yeye amesababisha roho za wagonjwa kwa kupigania mshahara mkubwa kwa maslahi ya familia yake na si watanzania
 
Tuna muombe uzima, sasa sijui waliotenda hili jambo watakuwa na hali gani sijui watakimbia au?
 
when GOD says YES!!! zoka,msangi, yule chizi na kikwete wote mtaumbukaje jamani?? shame upon this government!
 
Back
Top Bottom