Afunga ndoa akiwa na MANUNDU NA NGEO KIBAO

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,876
155,842
[h=3]ALIYEDHANIWA AMEKUFA KWENYE AJALI ILIYOTOKEA USIKU WA KUAMKIA JUMAMOSI AFUNGA NDOA HAKIKA MUNGU NI MKUU[/h]


Bwana harusi Emmanuel Mwangosi akiwa na mkewe Magreth Mtebe mara tu baada ya kufunga pingu za maisha jana katika kanisa la Agape jakaranda jijini mbeya
Hii ndiyo ajali aliyopata bwana harusi emmanueli aligongwa na gari aina ya Toyota GX 100 Emmanuel yeye alikuwa anaendesha pikipiki usiku wa kuamkia jumamosi mida ya saa sita nanusu usiku alikuwa anaenda kwenye mkesha kanisani ndiyo ajali hiyo ikatokea maeneo ya mafiati mbeya wengi wa mashuhuda hao walijua mwendesha pikipiki hiyo amekufa papo hapo
Hii ndiyo hali halisi iliyotokea siku hiyo ya ajali mbeya yetu tulifika usiku huo eneo la tukio na kukuta tayari majeruhi wametolewa na kupelekwa katika hospitali ya rufaa Mbeya ndipo jana tukaamua kufuatilia majeruhi hao na kukuta kuwa Emmanueli ameruhusiwa kwa muda akafunge ndoa kwani jana ilikuwa siku ya yeye kuoa ndipo tukaenda kufuatilia harusi hiyo katika kanisa la agape
Bwana harusi Emmanueli na mpambe wake Frank wakiingia kanisani
Hakika ni furaha hapa bwana harusi anamtambua mkewe kwa kumfunua shela kabla ya ndoa kufungwa
Sasa bana na bibi harusi wanaingia kanisani tayari kwa ibada ya ndoa
Mchungaji Emmanuel Mwasota toka E.A.G.T toka DSM ndiyo aliyofungisha ndoa hiyo
Hapa bwana harusi akimvisha mkewe pete huku bibi harusi akiwa katika furaha kubwa na kumshukuru mungu kwa kumuepusha mumewe katika ajali iliyotokea
Hapa wakipata mibaraka ya ndoa kutoka kwa wachungaji mbalimbali wa kanisa hilo la AGAPE
Sasa tu mwili mmoja kitakachotutenganisha ni kifo tu jina la bwana libarikiwe
Bwana harusi akipokea cheti cha ndoa toka kwa mchungaji Mwasota
Wakiwa na nyuso za furaha mara baada ya kufunga ndoa
Maharusi wakiwa na familia na wazazi wao
Sherehe fupi ya kuwapongeza maharusi ilifanyika katika bustani ya ccm jijini mbeya
Ndugu jamaa na marafiki walihudhuria sherehe hiyo ingawa maharusi hawakuweza fika kwenye sherehe hiyo kutokana hali yake haikuwa nzuri alihitaji kupumzika na kurejea tena hospitali kuendelea na matibabu
 
Waswahili wapenda sana maakuli, si wangeahirisha tu, sherehe yenyewe haina hata wine, haraka za nini?
 
Waswahili wapenda sana maakuli, si wangeahirisha tu, sherehe yenyewe haina hata wine, haraka za nini?
mmmmmh jamaa keshatoka kiunoni maana cha asubuhi kama mmeanza saa 11 ndo mnamalizia mida hii masaa 4 sio mchezo.
umeenda kwenye maombi?
back to topic
hii harusi ni nzuri hii ndo sherehe simple celebration sio kujionyesha mjini
 
Duh!jamaa anaogopa asije akanyang'anywa mtoto,ndiyo maana hakutaka kusuburi apone ndipo afunge ndoa!!
 
duh!!! sasa fungate inakuwaje tena?? ndio kuuguza majeraha mwanzo mwisho!
ila hongera zao!
 
Wine ya nini wakati bwana Harusi kashauriwa na Daktari asinywe wala Asiusogelee Ulevi wowote.Bonge la Kumbukumbu kwenye Maisha yao ya Ndoa,naimagine Picha kuuuubwa Ya Harusi imetundikwa Sebuleni kwao.
 
LAWRENCE: mom, do angels
fly ?
Mum: EHm... Yes.. They do
but why do you ask?
LAWRENCE: yesterday, dad
...called our house girl an
angel...
LAWRENCE: will she fly?
Mum: Yes! She will fly back
to her village tomorrow
morning.
Preta
 
Last edited by a moderator:
Kachoka yuko hoi, anapata staftahi, ndipo aende kwenye pilika zake
mmmmmh jamaa keshatoka kiunoni maana cha asubuhi kama mmeanza saa 11 ndo mnamalizia mida hii masaa 4 sio mchezo.
umeenda kwenye maombi?
back to topic
hii harusi ni nzuri hii ndo sherehe simple celebration sio kujionyesha mjini
 
Mungu mkubwa, na ukubwa wake hauna kipimo! Mnaokwenda disco au Jolly club sijui mnasemaje kuhusu hili. Je angepona kama angekuwa anahunika kama nyie? Pumbaf zenu nyie!
 
Hapa ndio tunasema Eben-ezer maana yake hata sasa Bwana ametupigania............
 
Back
Top Bottom