dahhhhh samahani sana mpenzi..
nimebanwa tu ... hata na hivyo leo
nimekuja sababu ni bday ya TF..
Mwone anavyojishebedua!!
@HYGEIA Unanitafuta Ugomvi na mimi muaache Rafiki yangu @afrodenzi mkuu HYGEIA sijakuruhusu uzungumze na rafiki yangu afrodenz tutagombana bwana.Hallo WanaJF
Mtakubaliana nami kwamba hapaJF kilamwanaJF ana kipaji na utaalamu wake. Huyu mwenzetu AfroDenz ana ujuzi mkubwa sana wa kutafuta. na ku-tailor make maua ya pongezi kwa mwanaJF yoyote mwenye siku yake maalum.
Kuna thread iko hapa chit-chat inayotangaza birthday ya The Finest na wengi tumempongeza. Mimi na Bishanga tukapendekeza na kumwomba AfroDenz ampongeze The Finest kwa maua matamu na salaam. Weee bwana wee! Cheki huo umaridadi wa maua Afrodenz aliomrushia The Finest! Cheki hilo bonge la animation! Aisee AfroDenz wee mwisho! Nakutumia pongezi nyingi sana dadaangu kwa utaalamu huo na mimi ningeufahamu ningekurushia pia ua moja kabambe.
Mwishi ni ombi kwako AfroDenz. Hivi, unafanyagafanyagaje mpaka hayo maua yanapendeza hivyo? Ni website gani yenye hayo mavitu matamu hivyo?
Asanteni. afrodenzi
AD, afu mie sijafurahi
Nilikuomba unifundishe kuchora mie na Azimio Jipya
Afu ukapotelea sijui wapi.
Ila hongera kwa kuchora kwa kweli(Nina wivu)
umetumwa aee...
leo si nuni hata useme nini...
... Lizzy may U not disrupt the mood of AD...p'se..
... Coz I May Sent U to forever BAN.
Acha kunizingua!!... Lizzy may U not disrupt the mood of AD...p'se..
... Coz I May Sent U to forever BAN.
Mwone anavyojishebedua!!
Mwe mwe mwe mwe !!!! Nakutafuta sana nimekumiss kinoma yaaani. mzima dada yangu lakini?