AfroDenz Pongezi na Nakuomba!

0021.gif


Hakuna kitu kizuri kama kuweka tabasamu usoni mwa mtu .
leo hii umewaka tabasamu usoni mwangu , kila niendapo
au nipitapo ntaweka tabasamu hilo nyusoni mwa wengi.
kwa vile we ndo mwanzilishi wa hili tabasamu ambalo
litawapata wengi, ningependa kuweka tabasamu
usoni mwako .asante sana be blessed.
Afrodenzi..

0017.gif
0037.gif
0017.gif

afrodenzi
Asante sana Afrodenzi kwa kunipa tabasamu kubwa la namna hii. Kinywa changu hakina maneno ya kutosha kutoa shukrani stahili. Inaonekana somo la computer graphics ulipata alama za juu sana AD, kweli au uongo?Ulisoma chuo gani?
Naogopa MziziMkavu aweza pata kifafa cha ghafla akiona hii kitu na dawa zake zikashindwa kumtibu!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom