AfroDenz Pongezi na Nakuomba!

SHIEKA

JF-Expert Member
Dec 20, 2011
8,244
4,258
Hallo WanaJF
Mtakubaliana nami kwamba hapaJF kilamwanaJF ana kipaji na utaalamu wake. Huyu mwenzetu AfroDenz ana ujuzi mkubwa sana wa kutafuta. na ku-tailor make maua ya pongezi kwa mwanaJF yoyote mwenye siku yake maalum.
Kuna thread iko hapa chit-chat inayotangaza birthday ya The Finest na wengi tumempongeza. Mimi na Bishanga tukapendekeza na kumwomba AfroDenz ampongeze The Finest kwa maua matamu na salaam. Weee bwana wee! Cheki huo umaridadi wa maua Afrodenz aliomrushia The Finest! Cheki hilo bonge la animation! Aisee AfroDenz wee mwisho! Nakutumia pongezi nyingi sana dadaangu kwa utaalamu huo na mimi ningeufahamu ningekurushia pia ua moja kabambe.

Mwishi ni ombi kwako AfroDenz. Hivi, unafanyagafanyagaje mpaka hayo maua yanapendeza hivyo? Ni website gani yenye hayo mavitu matamu hivyo?
Asanteni. afrodenzi
 
Last edited by a moderator:
HYGEIA

Dahhhhhh
wanifanya nione haya sasa..
asante sana..

skujui mnapenda kiasi hicho nlichukulia ni utani wako na Bishanga .....

Hapana Afrodenz, Mimi na Bishanga tuko serious. Utaalamu wako wa maua pengine wewe waona ni kitu kidogo kwako kama hobby vile lakini kwetu ni jambo kubwa. Utanielekeza? afrodenz
 
Last edited by a moderator:
Huyo dada ni kitisho kuanzia avator mpaka uchangiaji wake!!!

Ningekuwa namjua ningemhonga dunia hii ili awe wangu anipambie kabisa home badala ya jukwaani!!!!

Hongera Afrodensi.
 
Hallo WanaJF
Mtakubaliana nami kwamba hapaJF kilamwanaJF ana kipaji na utaalamu wake. Huyu mwenzetu AfroDenz ana ujuzi mkubwa sana wa kutafuta. na ku-tailor make maua ya pongezi kwa mwanaJF yoyote mwenye siku yake maalum.
Kuna thread iko hapa chit-chat inayotangaza birthday ya The Finest na wengi tumempongeza. Mimi na Bishanga tukapendekeza na kumwomba AfroDenz ampongeze The Finest kwa maua matamu na salaam. Weee bwana wee! Cheki huo umaridadi wa maua Afrodenz aliomrushia The Finest! Cheki hilo bonge la animation! Aisee AfroDenz wee mwisho! Nakutumia pongezi nyingi sana dadaangu kwa utaalamu huo na mimi ningeufahamu ningekurushia pia ua moja kabambe.

Mwishi ni ombi kwako AfroDenz. Hivi, unafanyagafanyagaje mpaka hayo maua yanapendeza hivyo? Ni website gani yenye hayo mavitu matamu hivyo?
Asanteni. afrodenzi
Mkuu nakuunga mkono kichwa,miguu,mikono,niniliyu na kila kiungo cha mwili wangu.
afrodenzi,hatuna cha kukulipa!
 
Last edited by a moderator:
Huyo dada ni kitisho kuanzia avator mpaka uchangiaji wake!!!

Ningekuwa namjua ningemhonga dunia hii ili awe wangu anipambie kabisa home badala ya jukwaani!!!!

Hongera Afrodensi.

Losambo,hujipendi? Au hujui kwamba ukiona vya elea.....hiyo kozi ya graphics kuna mwenyewe aliyelipia.....
 
Last edited by a moderator:
0021.gif

Hakuna kitu kizuri kama kuweka tabasamu usoni mwa mtu .
leo hii umewaka tabasamu usoni mwangu , kila niendapo
au nipitapo ntaweka tabasamu hilo nyusoni mwa wengi.
kwa vile we ndo mwanzilishi wa hili tabasamu ambalo
litawapata wengi, ningependa kuweka tabasamu
usoni mwako .asante sana be blessed.
Afrodenzi..

0017.gif
0037.gif
0017.gif

Hapana Afrodenz, Mimi na Bishanga tuko serious. Utaalamu wako wa maua pengine wewe waona ni kitu kidogo kwako kama hobby vile lakini kwetu ni jambo kubwa. Utanielekeza? afrodenz
HYGEIA..
ni kitu cha kawada tu ....
usjali mambo madogo...
 
Last edited by a moderator:
Hallo WanaJF
Mtakubaliana nami kwamba hapaJF kilamwanaJF ana kipaji na utaalamu wake. Huyu mwenzetu AfroDenz ana ujuzi mkubwa sana wa kutafuta. na ku-tailor make maua ya pongezi kwa mwanaJF yoyote mwenye siku yake maalum.
Kuna thread iko hapa chit-chat inayotangaza birthday ya The Finest na wengi tumempongeza. Mimi na Bishanga tukapendekeza na kumwomba AfroDenz ampongeze The Finest kwa maua matamu na salaam. Weee bwana wee! Cheki huo umaridadi wa maua Afrodenz aliomrushia The Finest! Cheki hilo bonge la animation! Aisee AfroDenz wee mwisho! Nakutumia pongezi nyingi sana dadaangu kwa utaalamu huo na mimi ningeufahamu ningekurushia pia ua moja kabambe.

Mwishi ni ombi kwako AfroDenz. Hivi, unafanyagafanyagaje mpaka hayo maua yanapendeza hivyo? Ni website gani yenye hayo mavitu matamu hivyo?
Asanteni. afrodenzi
Hahaha!! HYGEIA
 
Last edited by a moderator:
Huyo dada ni kitisho kuanzia avator mpaka uchangiaji wake!!!

Ningekuwa namjua ningemhonga dunia hii ili awe wangu anipambie kabisa home badala ya jukwaani!!!!

Hongera Afrodensi.
Losambo..
dahhhhh
umenifanya nipaliwe ghafla...
asante sana.. maneno matamu sana hayo ..:)
 
Last edited by a moderator:
Huyo dada ni kitisho kuanzia avator mpaka uchangiaji wake!!!

Ningekuwa namjua ningemhonga dunia hii ili awe wangu anipambie kabisa home badala ya jukwaani!!!!

Hongera Afrodensi.

afadhali humjui maana ukimhonga dunia sijui wengine utatupeleka wapi lol (joking).
Hongera kwako afrodenzi kwa ujuzi wa kupamba kimtandao
 
Losambo,hujipendi? Au hujui kwamba ukiona vya elea.....hiyo kozi ya graphics kuna mwenyewe aliyelipia.....
Bishanga..
Swali moja tu?? kwanini unapenda kuwatishia wenzio ??
Ni nani huyo kakupa kazi ya kunilinda?? Maskini usikute hata hakulipi vizuri..
hahahahahahh lol

Acha bana mwenzio nipewe raha.. usinifutie ridhiki mapema hiii.. :glasses-nerdy:
 
Last edited by a moderator:
afadhali humjui maana ukimhonga dunia sijui wengine utatupeleka wapi lol (joking).
Hongera kwako afrodenzi kwa ujuzi wa kupamba kimtandao
queenkami...
hahahahahah lol
dahhhh ni anihonga tu muda si mfupi ataichukua tena..
asante ..
 
Last edited by a moderator:
AD, afu mie sijafurahi
Nilikuomba unifundishe kuchora mie na Azimio Jipya
Afu ukapotelea sijui wapi.

Ila hongera kwa kuchora kwa kweli(Nina wivu)
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom