Afrika Kusini: Mchungaji Alph N Lukau afufua maiti na kuacha gumzo kubwa

hichi unacho kisema ndicho na mimi nahisi , i,m not sure . mfano ninavyomjua alpha lukau ,ni mtu very humble , kwa sisi tunaosoa theology kwa mrengo huu wa kilokole , na kama yesu alivyosema , ufalme wa shetani hauwezi ukapingana wenyewe kwa wenyewe. kwa south africa pastor anayekuja kwa kasi sana ni huyu ,akifuatiwa na bushiri , wote hawa wanatakiwa kuondoka south africa . wapishe wazawa , kama charis mission nk .

ukiangalia zile kampuni za kufanya maziko , kama black felix funeral services , kingdom blue coffins na king and queens ambayo ilitoa gari kwa ajili ya kuifuata maiti , utaratibu mzima wa kikampuni kwa wao ulikiukwa .
ukimsikiliza kiongozi wa south africa anayeshughulika na maswala ya kudhalilishana kiroho ( movement against abuses in church.) ndugu solomon izang ashoms , yeye anadai si mara ya kwanza kanisa hili linaletwa katika tuhuma mbalimbali ,,, aliulizwa ulichukua hatua gani ulichukua ,,, akadai nilitishiwa maisha . point ni kwamba wanataka kumkandamiza mwenye kanisa , alpha likau ,,, angalia Bushiri anapopitia leo , ,anatuhumiwa kutorosha fedha kwenda malawi ,,, mahojiano na uchunguzi unavyoendelea yote ni ubabaishaji ,,, mfano eti unahoji kuwa , chanzo chako cha fedha ni kipi hasa ,,, jamaa anawaambia , nina bishara za forex nk .... serikali inataka kuwafukuza wageni wenye power ya kiuchumi nchini south africa .

ni kweli serikali kwa mujibu wa taratibu lazima waamue , utaratibu nafuatwa na heshima ya nchi inakuwepo .. na ndiyo maana south africa kuna taasisi nyingi zinaangalia haya makanisa na kodi za serikali zinalipwa kupitia makanisa haya .

kwa muujiza huu .... ukweli utaadhirika ila bado na simama na Alpha lukau .. Mungu atampigania . south africa imekuwa ni sehemu hatari sana kwa watumishi wa Mungu ... hili ni jaribu kwa viwango vyake atavuka tu ...
mkuu huenda pia labda na forex kweli inampa mapene ukijumlisha na sadaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1551298371398.png
 
Mchungaji wa Afrika Kusini Alph N Lukau, mwanzilishi na Mkuu wa Alleluia Ministries International ameripotiwa amemfufua mtu aliyekufa wakati wa huduma ya Jumapili leo asubuhi.View attachment 1031253View attachment 1031254View attachment 1031256View attachment 1031257View attachment 1031258View attachment 1031259View attachment 1031260

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha wizi!!haya ni mapicha tu,haya thibitishi chochote,ni sawa na kuangaria muvi "white house down" ikionesha ikulu ya marekani imelipuliwa,
Uthibitisho kwamba alikuwa amekufa uko wapi?
Hizi story mbona huwa hatuzioni CNN,Aljazeera,SABC,?au watu wa mataifa hawaamini mpaka "waguse"
Miujiza ni uwezo wa sayansi kurusha "drones zenye siraha,
Mwanajeshi anakaa kwenye keyboard America,anapigana vita pwani ya Mogadishu,sio huu upuuzi.
SA kuna maambukizi makubwa ya ukimwi,kwanini asiwawekee mikono wagonjwa na wanaoishi na virusi wapone!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimepanga na mimi niende Nigeria Mwakani nikirudi na miujiza kama yote..........siwezi kuwakosa nitaanza na hata akina mama elfu moja halafu kjjatika hao watwaleta wanaume kama mia mbili hivi....hapo sijatoka tu?
 
ukweli wa pastor alpha lukau , umedhihirika . kumbe swala zima siyo kama sisi tunavyolichulia . sisi tumeona video tu , kumbe kanisani wao walijua kila kitu ....
kutokana na mahojiano mbalimbali yaliyofanywa na pastor alpha lukau mwenyewe , kama mwenye makosa ni huyo aliyefufuka walikuwa wameweka kama mtego , ili watu waamini kuwa kanisa limefufua mtu na huyo mtu ampate mchungaji kwa urahisi .

issue ilikuwa hivi , mchungaji yupo madhabahuni, watu wakafika na kumuarifu overseer , kuwa kuna mtu amekufa na wanacho shangaa , mtu huyo yupo katika jeneza na anaonekana ni mzima . kwa kuwa habari hii ni ngeni kanisani watu wakashtuka , kutaka kujua ukweli . alpha lukau kufika pale na watu wanaomzunguka na kanisa zima walikuwa wanajua kuwa mtu ni mzima lakini yupo ndani ya jeneza ....... swali ambalo wabaya wa mchungaji wana mkandamiza ni kwamba ni kwa nini alionekana kumuombea afufuke ? .... jibu la pastor anasema yeyote anayefika kanisani huwa anamuombea kwa Mungu, na huyo naye alifanya hivyo ndiyo maana akampa chakula ....... sasa kwa mujibu wa watu wote wa kanisani kwake wanaamini walipokea mtu ambaye inasemekana alikuwa mzima ndani ya jeneza ,,, swali la wengi kwa nini alikuwa mzima ndani ya jeneza wakati alikuwa amekufa ...... waliomleta wanadai alipokuwa anapelekwa kwao zimbabwe kama maiti , ndipo walipoona hiyo hali wakaona wampitishe kanisani kwanza ...

hakika wacha Mungu aitwe Mungu .. ataripoti katika tume ya haki ya south africa , lakini cha kushangaza pastor alpha lukau anamtafuta huyo aliyefufuka na hadi sasa hajaonekana .. ila pastor paseka mboro ,, yeye andai atamshtaki huyu mchungaji kwa kudhalilisha manabii wa bwana yesu ....
 
Huyu aliyefufuliwa aliwahi kuwa kilema pia akaponywa

Sent using Jamii Forums mobile app
inasemekana aliwahi kufanya utapeli wa hivyo , yaani simara ya kwanza kufanya hayo mazingaombwe , na likuwa nasikia ana train watu wafanye maigizo watalipwa na kanisa ... kumbe ni huyo mmbaya wa mchungaji ndiyo alikuwa nyuma.
 
Baadae jamaa wakampa msosi na akaugonga vizuri tu kkkkkkkk,ma pastor wenzake wamemwambia amfufue Mandela,jamaa kaingia mitini.
Nalog off
 
Po
Walokole kama wametolewa ufahamu.
Pole!! Hata kama huyo amedanganya kama wengi wanavyodhani, lakini hiyo haiwezi kuwa sababu ya kuponda ulokole kwa maana ya kuokoka kweli. Mimi nimeokoka! Ni kweli kuna ambao ni fake lakini na halisi tupo!!
 
Back
Top Bottom