THE WHITE ELEPHANT
Member
- Jan 15, 2012
- 93
- 13
Sijaona cha maana.... Labda mtoa habari atuambie yeye maana ya utajiri kwake ni nini... au ndo kuwa na ghorofa... au kuna mengine ya huyu jamaa hajayaandika... kama ni maghorofa mbona mengi tu hata huku Geita... tena wanamiliki watoto wa miaka 25 mpaka 30. Au kuna kingine zaidi... tujuzane ili kweli tujifunze kupitia yeye.. Zaidi ya hapo its acrap!!!!!!!!!!
pia anamiliki maduka ya woolworth,hivi kwanini biashara zake zote zina relate na south africa tu?na connections nyingi alizipata Ami Mpungwe akiwa balozi wetu kule,nini kimejificha kati ya Ami Mpungwe na Ali mufuruki marafiki wakubwa hawa?