African Millionaires: Ali Mufuruki

40 years of age?!!!!!!!!!!!!!! nimebakisha miaka kumi tu nizeeke ivyo? basi kweli life expectancy inazidi kushuka, watakaozaliwa watakuwa wameshabalehe na kila kitu wanaelewa

ninavyoelewa alipata utajiri (breakthrough) akiwa na miaka 40 ,kwa sasa yupo above that by far!
 
kaka hizo ni njia za kujionyesha kuwa wana-vyanzo sahihi vya mapato ila kuna vitu vyao nyuma ya pazia...kwani r-aziz hatumjui anavyojipatia utajiri??...wekeni wazi vyanzo vya mabilioni yao ikiwamo kuua uchumi wa taifa letu kwa manufaa yao binafsi.

Nyuma ya pazia kuna maovu wanafanya, hasa hawa wahindi na huyu mufuruki. Huwezi uza nguo tena za kuchuuza ukawa na hela hivi
 
Back
Top Bottom