African Barrick Says No Agreement on Tanzania Royalty Rise

Tuendelee kuwa wavumilivu;wazungu ni watu wapole,wanyenyekevu,wasikivu na wenye upendo wa ajabu.
Tutaongezewa hiyo asilimia 1 na matatizo yetu yote yataisha.Ukipata royalty ya 4% Mungu akupe nini tena?
 
Inawezekana Tanzania ikawa nchi pekee inayofanya mazungumzo na wezi (EPA) ili warudishe walichoiba, na sasa wanamwangukia mwekezaji ili alipe kodi!!! Kituko rais ana PhD ya sheria!
 
****in gvmnent, what is 4%??????
Nyie viongozi tumieni akili,,, kupata atleast 30%-50% is possiple,, why not??,
****IN GOVERNMENT!!!!!
 
Nakubali mi ni mgeni huku kwa haya mambo, Lakini najiuliza nchi nyingine Kama Ghana, SA au Botswana wanafanyaje?

mimi sijali nchi nyingine wanafanyaje, la muhimu hapa ni kuwa hakuna mtu maskini anayetumia dhahabu. dhahabu inatumiwa na matajiri inakuwaje sisi wenye hiyo dhahabu ni maskini hivi? hivi Ngeleja na wenzake hawaioni hii paradox? kwa mfano fikiria, Hakuna masikini anayeweza kununua mercedes Benz, inawezekana mmiliki/mtengenezaji wa mercedes akawa maskini, tujiulize kidogo waarabu wanasema wana black gold ni matajiri sisi tuna real gold maskini. ukiuliza unaambiwa oo hawa wanawekeza sana, kama mnafikiri kuwekeza ndio muhimu si wawekeze kwao halafu wapate dhahabu?!! kwa sababu sisi hata kwa jembe la mkono tu tunaipata hata ni kidogo kidogo, wao na mavifaa yao na uwekezji wao watapata kiasi gani kule kwao? kwa mtindo huo ni nani anastahili kupata share kubwa? hebu tufikiri kidogo. mimi mpaka napata kizunguzungu.!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
"....on voluntarily increasing the
mining royalty it pays"
Voluntary. What i can only deduce nikwamba hii nchi ina watawala ma fa la ambao uzalendo kwao ni mwiko.
Leo hii Zambia wamesimamisha leseni zakuchimba madini. Hamna kupewa mpya wala ku renew hadi wapate reasonable rate.
Nawashangaa mnashangaa hili wakati hata ndugu zenu wakipigwa risasi huko migodini hamna kesi.
Ukiwa na rais fisadi unatemegea nin?
 
Hawa huwa siwatofautishi na wahindi na warabu wanojifanya wanaipenda CCM!!

Ukweli ni kuwa wnaipenda CCM kwa kuwa wanapata feva na kujiona ni first class citizens!!
Stop overgeneralization!
This issue has nothing to do with race or ancestral origin. This matter affects all Tanzanians. Our country comes first and foremost above all other matters. There are bad Tanzanians of Asian origin while at the same time there are majority good ones.
Remember, the ministry of Energy and minerals is not headed by a Tanzanian of Asian origin. The ministers who signed, sealed and delivered those minning contracts to the minning investors were not of Asian origin either.
 
Sure wahindi si watu kabisa kwenye Nchi isiyo yao ni wahaini .
 
****in gvmnent, what is 4%??????
Nyie viongozi tumieni akili,,, kupata atleast 30%-50% is possiple,, why not??,
****IN GOVERNMENT!!!!!

The Saudi-Aramco "50/50" Agreement, December 30, 1950
About the Document
In 1933, a consortium of American oil companies, led by Standard Oil of California, signed a concession with the Saudi Arabian government of King Abd al-Aziz ibn Saud (r. 1902-1953) to explore for petroleum in the eastern provinces of the kingdom. In 1938, the company discovered oil, and began exporting small quantities. Following World War II, global demand for oil increased dramatically, and with the demand, the Saudi government's royalties rose from less than $5 million to more than $50 million in four years. After learning that the company, renamed Aramco (Arab-American Oil Company), in 1944 paid more in U.S. taxes than in royalties, and following a trend developing in Venezuela and Iran, the Saudi government requested, then demanded, re-negotiation of the division of royalties. The resulting agreement between Aramco and the Saudi government, also known as the "50/50" Agreement, set the precedent of equal sharing of income from petroleum in the Middle East, and paved the way to nationalization of petroleum reserves. Following the 1973 Arab-Israeli war, the Arab members of OPEC (the Organization of Petroleum Exporting Countries) imposed an embargo against Western supporters of Israel, resulting in the first of a series of price increases that transformed the world oil market. In 1938, Saudi Arabia produced 1,400 barrels of oil daily. By 1999, the amount was close to 8,000,000 barrels per day, about 12% of the world's total production, with an annual value of $46.5 billion. Saudi Arabia is estimated to have about 262.8 billion barrels of crude oil reserves, about 25% of the world's total.

Pearson - Always Learning

copyright © 1995-2005, Pearson Education, Inc., publishing as Pearson Longman
Legal and Privacy Terms

Ndiyo hivyo wakuu nimeona niilete mseme wenyewe .Kuna watu sijaona wako hapa au hii lugha ngumu ?Wako wapi hawa ?
Ritz1
Mwita25
Mzee
Mbopo
Ngoda
FFoxy
Nape
Rejao
Omr
Mkigoma
Na wapuuzi wengine ongezeni majina yao
Mkuu, usinisahau na mimi!!..... Naomba kwa hisani yako urejee mapendekezo ya "The Bomani commission/committee"
Na uuambie umma composition ya hiyo tume. Mpendekezo yake, na wabunge wa CDM walipendekeza nini. Ukishamaliza ndio uanze kubwabwaja.
 
Hivi hiyo 3% tunayopata kama mrahaba ni 3% ya kitu gani? Mapato yao kwa mwaka kutokana na dhahabu yetu kabla ya kuondoa gharama zao za uendeshaji au baada ya kuondoa gharama zao za uendeshaji?
 
Inawezekana Tanzania ikawa nchi pekee inayofanya mazungumzo na wezi (EPA) ili warudishe walichoiba, na sasa wanamwangukia mwekezaji ili alipe kodi!!! Kituko rais ana PhD ya sheria!

Hii sio kodi hii!
 
Russia huku ni wababe, hawana utani na rasilimali zao, na hawajali ni nani anayeumia ilimradi tu isiwe wao kama taifa.
Inashangaza sana sisi watu weusi hatuwezi kabisa kujisimamia na kulinda maslahi yetu.
 
Hivi hiyo 3% tunayopata kama mrahaba ni 3% ya kitu gani? Mapato yao kwa mwaka kutokana na dhahabu yetu kabla ya kuondoa gharama zao za uendeshaji au baada ya kuondoa gharama zao za uendeshaji?
Yaani bora wangesema jamaa wachimbe bure tu. Manake wanalipa only 3% na on top of that wamepewa tax exemption for 10-25 years!!! Uuuuwiiiii
 
mimi sijali nchi nyingine wanafanyaje, la muhimu hapa ni kuwa hakuna mtu maskini anayetumia dhahabu. dhahabu inatumiwa na matajiri inakuwaje sisi wenye hiyo dhahabu ni maskini hivi? hivi Ngeleja na wenzake hawaioni hii paradox? kwa mfano fikiria, Hakuna masikini anayeweza kununua mercedes Benz, inawezekana mmiliki/mtengenezaji wa mercedes akawa maskini, tujiulize kidogo waarabu wanasema wana black gold ni matajiri sisi tuna real gold maskini. ukiuliza unaambiwa oo hawa wanawekeza sana, kama mnafikiri kuwekeza ndio muhimu si wawekeze kwao halafu wapate dhahabu?!! kwa sababu sisi hata kwa jembe la mkono tu tunaipata hata ni kidogo kidogo, wao na mavifaa yao na uwekezji wao watapata kiasi gani kule kwao? kwa mtindo huo ni nani anastahili kupata share kubwa? hebu tufikiri kidogo. mimi mpaka napata kizunguzungu.!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Unfortunately, mambo hayaendi kirahisi hivyo.
We can only dictate terms with gems which are rare and only available in our backyards. Otherwise we have to follow the trades going on elsewhere and standardize ours. No multinational will overpay us taxes or royalties while they could invest in other countries albeit with better conducive business environment such as SA or Ghana.
 
You mean like...Venezuela,Bolivia?
 
Yaani bora wangesema jamaa wachimbe bure tu. Manake wanalipa only 3% na on top of that wamepewa tax exemption for 10-25 years!!! Uuuuwiiiii

katika 3% inasemekana 1.1% ilikuwa inalipwa katika kampuni nya ukguzi ya sterwat .... Hivyo Tanzania ilikuwa inapokea asilimia 3-1.1=1.9%

na siyo tatu mpo?? au ni kama kawa yetu kubung'aa na kusahu na kutojali labda kwa sasa hali ya maisha imekuwa duni mnaweza kuanza kufikiri!!

Kwa sasa thamani ya GOLD IKO JUU KULIKO MAeleza bali TANZANIA IKO MASKINI NA HAINA DOLLAR INFALTION NI MORE THAN 17%

tungejenga uchumi kwa kasi hata kama tungepata tu 10%.

amukeni achaneni na tshirt na unafiki wa kulalamiko tu bila matendo na bila kusasidi wanaotaka mabadiliko!
 
Back
Top Bottom