India yaruhusu kuuza tani 30,000 za mchele Tanzania

Replica

JF-Expert Member
Aug 28, 2017
1,446
7,820
Serikali ya India imetoa kibali cha kuuza tani 30,000 za mchele mweupe kwa nchi ya Tanzania na tani 80,000 kwa Taifa la Djibouti na Guinea Bisau.

India ilipiga marufuku tangu Julai 20, 2023 kuuza nje mchele mweupe usio wa Basmati katika jaribio la kudhibiti bei ya mchele nchini India na kuruhusiwa kwa njia ya kibali kwa baadhi ya nchi ili kufikia usalama wao wa chakula, nchi hizi zinaomba kwanza kwa India.

Kumbe matatizo ya uzalishaji hayapo kwenye miwa ya sukari, hadi mpunga tumechemka!

========

Mchele.jpg

The government has permitted exports of 30,000 tonne of non-basmati white rice to Tanzania and 80,000 tonne of broken rice to Djibouti and Guinea Bissau. The export is permitted through National Cooperative Exports Limited (NCEL), the Directorate General of Foreign Trade (DGFT) has said in a notification. Though exports of non-basmati white rice have been banned since July 20, 2023 to boost domestic supply, exports are allowed on the basis of permission granted by the government to certain countries to meet their food security needs on request.

Tanzania is an East African nation, while Djibouti is at the northeast coast of the African continent. Guinea-Bissau is a tropical country in West Africa. According to the notification, exports of 30,000 tonne of broken rice are allowed to Djibouti and 50,000 tonne to Guinea Bissau.

India has earlier also allowed these exports to countries like Nepal, Cameroon, Cote D’ Ivore, Guinea, Malaysia, Philippines, and Seychelles. NCEL is a multi-state cooperative society. It is jointly promoted by some of the leading cooperative societies in the country, namely, Gujarat Cooperative Milk Marketing Federation (GCMMF) popularly known as AMUL, Indian Farmers Fertilizer Cooperative Ltd (IFFCO), Krishak Bharati Cooperative Ltd (KRIBHCO) and National Agricultural Cooperative Marketing Federation of India Ltd (NAFED).

CHANZO: Financial Express
 
Ukiona hivyo ni deals za Mhindi, Mwarabu Koko au Mpemba analeta mchele mchafu wa buku buku achanganye na ule SUPER KYELA auze Buku 3 yaani tulipofikia Nchi imegeuka Jalala la Wapigaji.
Mchele umejaa tunasafirisha kila leo kwenda Rwanda, Comoro nk halafu leo mwendawazimu mmoja anadai Mchele uingie kutoka Nje.
Mwezi Ujao HUO MCHELE KITUMBO ukiingia Wafanyabiashara wataununua kwa bei rahisi na kuuchanganya kwenye mchele wetu saaafi ili tule makapi.
Poa tu, hakuna Ubaya usio na Mwisho.
Sukari yenu Tumeiona, ili ikolee kwenye Chai lazima uweke Vijiko 6 kwenye Kikombe.

Mwezi ujao agizeni na Mahindi kabisaaaa.
 
Ukiona hivyo ni deals za Mhindi, Mwarabu Koko au Mpemba analeta mchele mchafu wa buku buku achanganye na ule SUPER KYELA auze Buku 3 yaani tulipofikia Nchi imegeuka Jalala la Wapigaji.
Mchele umejaa tunasafirisha kila leo kwenda Rwanda, Comoro nk halafu leo mwendawazimu mmoja anadai Mchele uingie kutoka Nje.
Mwezi Ujao HUO MCHELE KITUMBO ukiingia Wafanyabiashara wataununua kwa bei rahisi na kuuchanganya kwenye mchele wetu saaafi ili tule makapi.
Poa tu, hakuna Ubaya usio na Mwisho.
Sukari yenu Tumeiona, ili ikolee kwenye Chai lazima uweke Vijiko 6 kwenye Kikombe.

Mwezi ujao agizeni na Mahindi kabisaaaa.
Unaongea usicho kijua una bwabwaja maneno na kujifanya unajua kumbe kiza tu,mwaka wa juzi mchele ulifikia sh 4000 kwa kg 1 uikaja kitumbo toka nje mchele ukashuka bei mpaka 3000 kwa 2400 mchele ulio changanywa na kitumbo wakati huo kitumbo ikiuzwa sh 2000 kwa kilo


Ikija kitumbo kila mtu ataamua anunue mchele upi kitumbo 2000 mchele safi 2500 mpaka 3000 kula kitumbo ni utashi wako na hela yako kama vipi unanunua basimati kiloba cha kilo 5 sh 25000 pesa yako ndio itayo kuelekeza ule nini uache nini

Watu walio wengi wanasherehekea kula mchele wa bei powa

Mvua zikizidi kunyesha mchele utakuwa mwingi Shinyanga marinyi Ifakara kapunga igunga loya sembawanga tavi huo mchele utawekwa sitoo hakuna atakae nunua mpaka sasa mchele wa kitumbo bado tandika kwenye magodauni upo mwingi tu mwezi wa 6 mchele itauzwa mpaka sh 1500 iwapo kama mvua zitazidi kunyesha
 
Back
Top Bottom