African Barrick Says No Agreement on Tanzania Royalty Rise

Lunyungu

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
8,873
1,894
BN 10/20 08:10 *AFRICAN BARRICK SAYS GOV WANTS IT TO VOLUNTARILY MOVE TO 4%

+------------------------------------------------------------------------------+
African Barrick Says No Agreement on Tanzania Royalty Rise (1)
2011-10-20 08:39:55.628 GMT

(Updates with company comment in second paragraph.)
By Thomas Biesheuvel
Oct. 20 (Bloomberg) -- African Barrick Gold Plc, the
largest producer of the metal in Tanzania, said no agreement has
been reached with the government on voluntarily increasing the
mining royalty it pays and that talks are continuing.
“We haven’t got an agreement with them as yet, but it’s an
ongoing matter,” Greg Hawkins, African Barrick chief executive
officer, said in a telephone interview. “We’ve had broad
discussions with the government.”
Tanzania said yesterday that mining companies operating in
the East African country agreed to pay a higher royalty rate of
4 percent compared with 3 percent. The new royalty rate will
apply to miners of gold, silver and platinum and will be imposed
this year, said William Ngeleja, the minister of energy and
minerals.
“The government is very keen for us to voluntarily move
from 3 percent to 4 percent,” Hawkins said. “It would have to
be a voluntary move on the basis that there’s legal agreements
in place.”
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hivi bado serikali inataka royalty? Hicho kiwango cha 4% ndo watanzania wanataka? Mbona mikataba mibovu haiboreshwi kama alivyoahidi JK? Watanzania tunataka umiliki wa rasilimali zetu, 50 - 50 share ownership ya migodi ndo tunachotaka. Royalty, iwe hata 10% hatutaki.

Jk get up! Unatutia aibu na Phd zako zisizo na msaada kwa Taifa!
 
royalty 3% na 4% ndio nini????? maandishi kama haya mi ndio huwa yananifanya nilie machozi sometimes....hivi tumefanya kosa gani jamani?
 
hee yaani bado siamini kama Ngeleja na utu uzima wake woote alisimama hadharani kwa mbwembwe na majivuno kwamba hiyo kitu inakwenda from thrii to foo pasenti!!!
 
Ngereja Shame on you!!!
Hospitali teule ya wilaya Sengerama watu wanalala chini weye bado unaota ndoto za alinacha juu ya rasilimali za taifa!!
WAKE UP FOOL!!
 
kila kitu kina mwanzo: mimi nashauri tuandae maandamano nchi nzima kudai sio 4% bali 96%. Wao wachukue 4%. Mikataba wanayosisitiza ni hatuitambui kwa kuwa ni ya kifisadi. Huwa ni kawaida kwa wanyonyaji kujificha nyuma ya mikataba batili. Hata Misri (Egypt) kila mara wanajitahidi kukumbatia mkataba wa kikoloni unaopiga marufuku nchi za Tanzania, Uganda, Rwanda nk kutumia maji yaliyoko ndani ya nchi hizi kisa ati wakitumia mto nile hautapeleka maji Cairo! Natafuta watu wanaojitolea tuanzishe maaandalizi ya maandamano. Serikali hawawezi. Wananchi tunaweza. Wingi wetu ndiyo siraha kuu na pekee.
 
Ndiyo hivyo wakuu nimeona niilete mseme wenyewe .Kuna watu sijaona wako hapa au hii lugha ngumu ?Wako wapi hawa ?
Ritz1
Mwita25
Mzee
Mbopo
Ngoda
FFoxy
Nape
Rejao
Omr
Mkigoma
Na wapuuzi wengine ongezeni majina yao
 
Wananufaika sana na hiyo 3% hawatachangia hoja hii!hao wote wana tenda mbalimbali kama kusupply casual labour ktk migodi na bandarini.hao ndio traitors wetu
 
Ndiyo hivyo wakuu nimeona niilete mseme wenyewe .Kuna watu sijaona wako hapa au hii lugha ngumu ?Wako wapi hawa ?
Ritz1
Mwita25
Mzee
Mbopo
Ngoda
FFoxy
Nape
Rejao
Omr
Mkigoma
Na wapuuzi wengine ongezeni majina yao

Hawa huwa siwatofautishi na wahindi na warabu wanojifanya wanaipenda CCM!!

Ukweli ni kuwa wnaipenda CCM kwa kuwa wanapata feva na kujiona ni first class citizens!!
 
Moving from 3% to a mere 4% is pure bullshit!

Agreed...Wao wanachukua $1.5billion kila mwaka (na inawezekana ni zaidi ya hii amount) na kutuachia $100 million tu eti wanagoma kulipa 4% ambayo bado ni wizi wa mchana kweupe. Ningekuwa kwenye nafasi ya kutoa maamuzi basi ningewaamrisha wafunge virago vyao na kutuachia rasilimali zetu. Wameshaona tuna watu waoga hivyo wanaweza kuwaendesha kama gari bovu, halafu ndio hawa hawa waliposhinda uchaguzi eti waliapa kwa kushika vitabu vya vya dini kwamba watalinda na kutetea maslahi ya Tanzania na Watanzania.
 
Hivi huyu ngeleja alisomea sheria wapi? Tunafahamu kwamba bosi wake ambaye ni mchumi hii kitu ni ngumu sana kwake, sasa hata mwanasheria naye hawezi kujua kwamba kwamba hatuhitaji voluntarily rise, ni lazima sera na sheria zibadilishwe na kuwalazimisha hawa wawekezaji kureview mikataba.

Hivi huko hakuna engineer ama mathematician anayeweza kumsaidia ngeleja kutambua kwamba increament ya 1% si lolote si chochote!? Maana hapa nahisi magazijuto inamsumbua!

Kimsingi hitaji letu si kuongeza kiwango cha royalty tu, bali muhimu zaidi ni serikali kumiliki angalau 50% ya hisa katika kila mgodi ili tuwe na nguvu ya wajumbe wa bodi na management. Bila hivyo tutaendelea kuletewa mahesabu yaliyochakachuliwa na kuonyesha barrick wanapata hasara kila mwaka hadi dhahabu yetu itakwisha!!
 
Inaelekea kuna siri kali kati ya hawa "wawekezaji" na wakuu kule Madini na Nishati na si ajabu hata Ikulu. Wameshikwa pabaya na hawa wezi wa rasilimali zetu na ndio maana wanaweza kuwa na kiburi cha hali ya juu na kukataa mabadiliko yoyote yale ya kuongeza mapato yatokanayo na dhahabu kwa nchi yetu.
 
Hivi huyu ngeleja alisomea sheria wapi? Tunafahamu kwamba bosi wake ambaye ni mchumi hii kitu ni ngumu sana kwake, sasa hata mwanasheria naye hawezi kujua kwamba kwamba hatuhitaji voluntarily rise, ni lazima sera na sheria zibadilishwe na kuwalazimisha hawa wawekezaji kureview mikataba.

Hivi huko hakuna engineer ama mathematician anayeweza kumsaidia ngeleja kutambua kwamba increament ya 1% si lolote si chochote!? Maana hapa nahisi magazijuto inamsumbua!

Kimsingi hitaji letu si kuongeza kiwango cha royalty tu, bali muhimu zaidi ni serikali kumiliki angalau 50% ya hisa katika kila mgodi ili tuwe na nguvu ya wajumbe wa bodi na management. Bila hivyo tutaendelea kuletewa mahesabu yaliyochakachuliwa na kuonyesha barrick wanapata hasara kila mwaka hadi dhahabu yetu itakwisha!!
Jamani humu hakuna wataalamu wa mambo haya watujulishe South Africa, Botswana, Russia, etc mambo yakoje mbona hiki ni kizunguzungu. Tanzania haiwezi kuendelea kwa 3%. Hakika. Maandamano nchi nzima ndiyo njia pekee.
 
Wanaposema no agreement wanamaanisha nini for starters? Shld pple agree or disagree to implement the law of the land? I mean is it optional? Na mwanzoni hii kitu ilikuwsa imeongezwa to 8%,only the devil knows what happened
 
BN 10/20 08:10 *AFRICAN BARRICK SAYS GOV WANTS IT TO VOLUNTARILY MOVE TO 4%

+------------------------------------------------------------------------------+
African Barrick Says No Agreement on Tanzania Royalty Rise (1)
2011-10-20 08:39:55.628 GMT

(Updates with company comment in second paragraph.)
By Thomas Biesheuvel
Oct. 20 (Bloomberg) -- African Barrick Gold Plc, the
largest producer of the metal in Tanzania, said no agreement has
been reached with the government on voluntarily increasing the
mining royalty it pays and that talks are continuing.
"We haven't got an agreement with them as yet, but it's an
ongoing matter," Greg Hawkins, African Barrick chief executive
officer, said in a telephone interview. "We've had broad
discussions with the government."
Tanzania said yesterday that mining companies operating in
the East African country agreed to pay a higher royalty rate of
4 percent compared with 3 percent. The new royalty rate will
apply to miners of gold, silver and platinum and will be imposed
this year, said William Ngeleja, the minister of energy and
minerals.
"The government is very keen for us to voluntarily move
from 3 percent to 4 percent," Hawkins said. "It would have to
be a voluntary move on the basis that there's legal agreements
in place."

So when petroleum is discovered in Tanzania, who knows, may be the oil companies will only pay 0.05 % of the royalties!!!
3% while gold prices are surging day in day out makes us look like fools.
 
Nakubali mi ni mgeni huku kwa haya mambo, Lakini najiuliza nchi nyingine Kama Ghana, SA au Botswana wanafanyaje?
 
Back
Top Bottom