Adoption is an option

Maundumula

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
7,553
3,070
Habari,

Jamani hivi hapa bongo kama nataka watoto wa adopt naanzia wapi? na mchakato wake wa kisheria ni hectic sana? Je kuna gharama za kulipia? Je kuna masharti natakiwa nitimize (Umri nk?).

Na je mwanamke anaweza kuwa offended na huu mpango? Coz my partner seems undecided.

Wenye details hata kidogo naombeni msaada.
 
I have no idea na taratibu za kisheria.

Ila kwa jamii inayotuzunguka hii ni ngumu sana kukubalika
 
lol niliangalia movie inaitwa orphan, sitaki tena mambo ya kuadopt unless niwe na tatizo la kutozaa aisee tena nadhan nitakaa na wa bandugu zangu.
nways ngoja waelevu wa mambo waje kukudadavulia.
mie napita tuu hapa.
 
Habari,

Jamani hivi hapa bongo kama nataka watoto wa adopt naanzia wapi? na mchakato wake wa kisheria ni hectic sana? Je kuna gharama za kulipia? Je kuna masharti natakiwa nitimize (Umri nk?).

Na je mwanamke anaweza kuwa offended na huu mpango? Coz my partner seems undecided.

Wenye details hata kidogo naombeni msaada.

Suala ka ku-adopt tanzania bado gumu sana kueleweka na kukubalika na jamii yetu ila isikuzuie wewe kufanya maamuzi yako kama kweli umedhamiria ipasavyo. Kwanza kabisa umesema partner wako yupo undecided, hakikisha kwanza wote mmedhamiria ili mtakapo anza mchakato huo muwe mmejiandaa kiakili na kimaisha. Sijui kama kuna masharti ya umri, ila ku-adopt mtoto mdogo ni nzuri ili muanze kumlea kabla hajapata fahamu na pia mjenge nae bond. Labda utembelee vituo vya kulelea watoto kuulizia hili suala.
Child birth is an act of nature but adoption is an act of God!!
 
Mkuu, nenda ustawi wa jamii waeleze tatizo lako, baadae waone wansheria ujue tendo hilo sheria zake zinasemaje.
 
lol niliangalia movie inaitwa orphan, sitaki tena mambo ya kuadopt unless niwe na tatizo la kutozaa aisee tena nadhan nitakaa na wa bandugu zangu.
nways ngoja waelevu wa mambo waje kukudadavulia.
mie napita tuu hapa.

kweli mkuu...inatisha,hata hivyo inonyesha jinsi inavyohitaji busara kidogo kusoma nyuso za watoto...
 
lol niliangalia movie inaitwa orphan, sitaki tena mambo ya kuadopt unless niwe na tatizo la kutozaa aisee tena nadhan nitakaa na wa bandugu zangu.
nways ngoja waelevu wa mambo waje kukudadavulia.
mie napita tuu hapa.

uraia tunaona waliasili watoto wanavyosumbuliwa nao. Ile parental love ni muhimu aisee, hata mtoto akupende na kukuheshimu vipi hawezi kukupenda na kukuheshimu kama atakavyopenda na kuheshimu biological parents.

Kama nina cha ziada nitaenda kuwasaidia huko huko waliko aisee.
 
yan una idea kama zangu nitamsaidia uko uko kituon aisee kumleta home mmh hapana.
naogopa aisee sitaki, hapana chezea mtu usiye mjua kbs yan ujue background yake wengine wakiwa wadogo wanaachwa na maza zao na midudu uko bs anaanza usumbufu, mm hapana jaman.
 
Back
Top Bottom