Adhabu ya siku tano kwa wabunge wa CHADEMA haitoshi - Dr. Bana

DR Bana yupo sahihi kabisa, nadhani mtoa mada umeripoti ndivyo sivyo! dokta bana alikuwa anahojiwa au anatoa mawazo yake kutokana na swala la kina Lissu, kama mtanzania yeyote anayo haki ya kusema lile alilosema, ni kweli kina lisu wametenda makosa na wanastahili adhabu hiyo hata mimi naona ni ndogo kama mimi ningeamua wavuliwe ubunge kabisa ilia iwe fundisho kwa wabunge wote wa ccm na chadema wanaoropoka huko bungeni na kushindwa kueshimu kiti cha spika
wewe nawe ni mhaya?
 
dr bana unajua maana ya neno faki yu kwa kiswahili fasaha?
na mtaani mtu akikwambia haongei na mbwa bali na mwenye mbwa tena mbele ya watu,utajisikiaje dr bana??

huyu ni mwehu mwingine pia. Masikini wa Mungu hajijui...Bana asamehewe tu bure
 
Binam,utampaje mtu adhabu mbili? Si huo ni ukatiri sana!
sometime ukitaka kumwadhibu mtu vaa viatu vyake Kama vinakutosha, apo wawe za judge kwa busara na hutapata tabu ktk nafisi yako na jamii inayokuzunguka. SI kuongea kinjaa njaa na kiunafiki!

Hiyo adhabu haihusu mshahara maana mtu anayefanya kazi anatakiwa alipwe.

Sema kwenye posho hapo walie tu hamna kupata kitu!
 
Hivi kweli huyu msomi wetu wa PhD ameshindwa hata kidogo kuona chanzo cha tatizo hili la Bunge akaishia kuona adhabu ni ndogo! ama kweli wasomi kama hawa ni janga. Hata kama utatoa adhabu ya kufukuza kabisa ubunge kama hujachughulikia chanzo ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu.
 
Kuna haja ya kufuatilia historia ya kikazi alichotoka LISSU inawezekana kabisa wana matatizo ya akili, nakumbuka alipotakam kuhojiwa na mwandishi wa habari kuhusu sakata la LWAKATARE alijifungia chooni masaa matatu, hii siyo akili ya kawaida.
Ukiwa na akili ndogo na elimu ya kuunga unga kama Mwampamba na thatha huwezi kumwelewa Lissu
 
Analysis must match with expectation and by doing that you gain the heart of majority, out of that it is vanity and trouble of the mind...nothing more.
 
dr bana unajua maana ya neno faki yu kwa kiswahili fasaha?
na mtaani mtu akikwambia haongei na mbwa bali na mwenye mbwa tena mbele ya watu,utajisikiaje dr bana??
Haya matusi yameniudhi na kunikera sana,yanazidi kunifanya nione kama 2015 inachelewa ili nishuhudie mazishi ya Magamba.
 
DR Bana yupo sahihi kabisa, nadhani mtoa mada umeripoti ndivyo sivyo! dokta bana alikuwa anahojiwa au anatoa mawazo yake kutokana na swala la kina Lissu, kama mtanzania yeyote anayo haki ya kusema lile alilosema, ni kweli kina lisu wametenda makosa na wanastahili adhabu hiyo hata mimi naona ni ndogo kama mimi ningeamua wavuliwe ubunge kabisa ilia iwe fundisho kwa wabunge wote wa ccm na chadema wanaoropoka huko bungeni na kushindwa kueshimu kiti cha spika
hizo adhabu unazopendekeza zinatoka moyoni au tumboni, mtu hawezi kuomba muongozo ukamfukuza bungeni kisa ameongea sana, kama ndio mwenye akili na hoja kuliko vilaza wa CCM kwa nini umzuie kuongea, na umfukuze ubunge ili uwaadhibu waliomchagua. Dawa ni kufukuzwa spika na naibu wake, waje watu wasioonyesha upendelea.
 
upo sahihi kabisa
 
Msimlaumu jamani anataka cheo maana sasa huyu jamaa ndo mwenyekiti mwenza wa redet
na anakumbuka kuwa mwenyekiti wake alipewa zawadi ya ukuu wa udsm baada ya kuchakachua kura za maoni za uraisi 2010.

Anataka cheo, sasa afanyeje...
 
Hata mtoto wa standard 1 anaona kabisa Dr.Bana anavyojivua nguo hadharani kwa kujenga hoja zenye dhana dhaifu kuliko zote duniani.

Watanzania wanaona na dunia inaona pia jinsi ambavyo dhana ya chama kimoja ilivyoganda kwenye ubongo wa Dr.Bana na makada wote wa ccm.

Ukweli haupendi kupuuzwa, danganyeni leo alafu kesho itawagharimu sana ukweli utakavyojidhihirisha by the will of the people.
 
Kwenye kipindi cha tuongee
asubuhi Star TV mhadhiri mwandamizi wa UDSM amesema adhabu waliopewa
akina Lissu ya siku tano haitoshi na walitakiwa wapewe adhabu hata ya
miezi mitatu na wakatwe mishahara pia.

My take:
Hawa ndio madaktari wetu na walimu wetu wa chuo kikuu, ambao hawaonyeshi
hata chembe ya objectivity. Ningekubali hoja ya Bana kama angependekeza
nini adhabu ya Serukamba aliyetukana tusi baya kuliko yote duniani
mbele ya watoto wadogo. Bana kama daktari be objective hata kama
unapenda kulamba watu miguu.

elimu a bana ni ya kuunga unga hivyo mimi sioni cha ajabu kwake kila anapoongea anajitahi sana kuitetea ccm akitegemea kupewa huruna ya cheo ni bora tuachane naye
 
Huyo Bana ni kibana nini M%$#@vi nini au anapakuliwa nyuma!!

Lijamaa halijawahi hata siku mmoja kuongelea mambo kwa maslahi ya taifa. Jenyewe ni CCM tu. PhD halafu hana hata ethics au ndiyo wale..........KUDADADADADEKI!!
 
Hapa lazima aulizwe bwana Peter Chris Maina kwani yeye ni phd yake ilikuwa kuhusu maswala ya katiba etc. Sasa ndugu zangu watanzania, mbona swla la phd linawasumbua sana!!!! Kwani kuwa dr. ina maana gani kwenu? wangapi wamezeeka na udaktari wao hat hawajawahi kureliver kitu cha maana katika taifa letu! Jamani udaktari wa hapo hasa katika siasa mama............... kwanza nani anahitaji mawazo yake huyu bwana. Labda wanafunzi ambao wanataka waandike mtihani wake wafahuru tu zaidi hakuna. Kwanza tusipoteze kutoa comments kuhusa hizo analyses zake ni kupoteza muda tu!
 
Back
Top Bottom