Aden Rage aomba muongozo kwa Spika kuhusu Tundu Lissu

Namshangaa sana rage anavyopenda kuongoza wakati ana uwezo mdogo na dhaifu kweli kweli, siku zote ni fitna na majungu tuu na kila anapo paongoza hapakosi migogoro isiyo na tija, kwa upande mwingine nawalaumu wanao mchahua!
 
Nami naomba mwongozo...huyu jamaa aitwaye RAGE ni mwizi alikula hela ya FAT, akahukumiwa kufungwa... akaachiwa kwa msamaha wa Rais...akahonga akakata rufaa, akashinda kesi ya kujisafisha. Leo anajiona ni msafi. Rageeeeeee...wewe ni mwizi tu!!
 
hiyo ndio siasa..kwani wabunge wa ccm watatajana wao kwa wao? na wao watawataja cdm..that's politics
 
dah! Bonge la mtego hili. Tundu Lisu is very clever. Watajibeba Magamba hawa
 
Lissu kile anachokijua yeye, kama Rage naye anauhakika na taarifa zake kuhusu wabunge wa vyama vingine basi aitishe press conference badala ya kulia lia kama mtoto mdogo.

Huyu jamaa wa Mogadishu atapata wapi ubavu huo wa kutaja, kaingia bungeni kwa bahati na harudi tena
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Heee...! Kwani hajapeleka bado? Inamaana amezitia ndani?

kafanya bunge ni simba ya kuuza wachezaji huku yenyewe inabaki bila wachazaji wazuri .ligi ya kagame timu inaonekana mbovu.Anataka kuleta zake ,si alifungwa kwa ajili ya wizi FAT nani asiyefahamu;naye mwizi tu asibabaishe umma.

Kwanza amefisadi kwenye usajiri wa timu ya Simba kwa 10% mpaka imefungwa usajiri wake mbaya sana kichefuchefu.
 
Lissu kile anachokijua yeye, kama Rage naye anauhakika na taarifa zake kuhusu wabunge wa vyama vingine basi aitishe press conference badala ya kulia lia kama mtoto mdogo.

Kweli lisu amesema kile ambacho anaushahidi nacho hata kama atatakiwa kuthibitisha ataweza kufanya hivyo.km rage ana ushahidi na yeye awa taje anao wafahamu na si kuomba muongozo.
 
  • Thanks
Reactions: FJM
huyu mpuuzi ameua timu yetu ya simba kwa ulafi na wizi wa ki alshabab! cjui uchaguzi lini atimuliwe mwizi huyu!!
Mzimu wa mafisango utawatesa sana simba si mmwambie apeleke rambi rambi congo
 
Mzimu wa mafisango utawatesa sana simba si mmwambie apeleke rambi rambi congo

Aliwahi hata kufungwa kwa kuiba pesa ya FAT enzi hizo akiwa na Ndolanga alipoingia Vasco kamsamehe!kutoka mwizi hadi mbunge na mwenyekiti wa klabu kubwa kama Simba!
 
huyu mpuuzi ameua timu yetu ya simba kwa ulafi na wizi wa ki alshabab! cjui uchaguzi lini atimuliwe mwizi huyu!!

Yaani Yanga wamechukua jembe letu yeye anakazana kusema oh mchezaji wetu na hataweza kuichezea yanga..! Uchaguzi unakaribia simba na atang'oka abaki na magamba yake...
 
Rage ashukuru Tanzania shamba la bibi kupewa ubunge wakati kwao Somalia wakimalizana. Yeye na mibunduki hata kwenye mikutano ya amani. Kweli hasidi aachi asili!
 
rage atakuwa anaweweseka na kipigo cha 3-1 kutoka kwa azam na 2-0 kutoka kwa URA. Pamoja na kula rambirambi ya mafisango.
 
Aliwahi hata kufungwa kwa kuiba pesa ya FAT enzi hizo akiwa na Ndolanga alipoingia Vasco kamsamehe!kutoka mwizi hadi mbunge na mwenyekiti wa klabu kubwa kama Simba!

Yeah, ni kweli alifungwa na Vasco kumtoa na baadaye rufaa yake High Court alishinda ki-rushwa rushwa tu. lakini siku alipohukumiwa pale Kisutu, Rage alikwenda amevaa tshirt iliyoandikwa 'CCM No 1' kujaribu kumyumbisha hakimu. Hakimu yule hakuyumba kamwe! Rage huyo.
 
Kumbe huyu ndo yule yule wa Kagame Cup ha ha ha.Inaonesha amechoka hata ule uenyekiti wa mnyama tuwapikie wazee wali tu wakamtoe
 
Back
Top Bottom