Adam Chagulani (Diwani aliyetimuliwa CHADEMA) aanza kufunguka...

chadema ni chama makin cheny intelijensia kubwa kwa hyo wanatambua kwamba z.z.k n puppet(mamuluki) kutoka magamba(ccm)
 
Nafirikiri Ndugi Chagulani unatakiwa kuelewa kwamba muda wa kutangaza nia ya kugombea Uraisi bado haujafika,ni mpaka 2015.Na mwenye maamuzi nani agombee ni Kamati kuu ya chama,na sio Dr. Slaa.Kuanza kuropoka mapema kwamba una nia ya kugombea Uraisi 2015 wakati bado Chama kinajipanga kueneza sera zake kwanza zikubalike kwa wananchi,ni kama kuvuruga hizo juhudi na kufanya wananchi wawe na wasiwasi kuhusu Chama.Ni vizuri mtu akatumia utaratibu wa ndani ya Chama kuonyesha nia yake ya kugombea Uraisi,na hii itasaidia kuonyesha kwamba kwenye Chama kuna umoja,na sio watu wenye tamaa ya madaraka.
 
chadema ni chama makin cheny intelijensia kubwa kwa hyo wanatambua kwamba z.z.k n puppet(mamuluki) kutoka magamba(ccm)
Hivi mkuu wa intelejensia Marando yupo au yuko mahakamani anatetea mafisadi?

Atabwabwaja yoote mithili ya mshiriki aliyeenguliwa kwenye kinyan'ganyiro cha bongo star search.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Kugombea nafasi yeyote kwenye chama ni ruksa ila nidhamu na wakati muafaka ni muhimu! Vinginevyo itakuwa vurugu ndani ya chama!
 
  • Chagulani Adams

    Chagulani Adams
    Nipenda kutumia fursa hii kuwataarifu wapenzi wa mageuzi na wakweli wote kuwa sina mpango wa kujiunga na Chama cha Mapinduzi kama maadui zangu wa kisiasa wanavyozusha kwenye mitandao ya kijamii kuwa nina mpango wa kujiunga na CCM ,

    niseme hivi sijawahi kuwa mwanaccm na kamwe sitakuwa mwanaccm mimi bado ni mwanachadema kindakindaki najipanga jinsi ya kuitafuta haki yangu nawaheshimu sana viongozi wangu wa chama hasa mwenyekiti F.Mbowe,Zitto kabwe Dr.Kitila ,na wote wanaopenda ukweli na siyo wafanyia kazi majungu HUKU WAKITAKA NAFASI NYETI NCHINI nimuomba MUNGU KUANZIA SASA WASIPATE NAFASI HIZO MAANA kama wanayafanya haya hawajawa na uhakiki wa amri kwa vyombo vya ulinzi vipi?

    wakijua wanausalama wanawalinda sipati picha MUNGU aepushe bali na balaa hilo,niseme binafsi nimesikitishwa na kuhusihwa na majungu kuwa nimeshiriki vitendo vya kifisadi na kukihujumu chama changu nilichokipigania siki zote tangu nikiwa chuoni hadi sasa nitaandika waraka mwingine kueleza kilichojiri na nini hatua inayofuta baadae tuko pamoja ukombozi wa taifa hili ni lazima kwa njia yeyote ile

Sehemu ya maelezo ni very positive. ukisoma hizo red ndiyo unaona sura ya kisasi. Hapo kwenye viongozi anaowaheshimu sana kuna viongozi wa ngazi ya juu tu hajawataja. Ni kama anataka kusema hao ndio wanaofanyia kazi majungu, na wanaotaka nafasi nyeti nchini, na ndio anaowaombea Mungu wasifanikiwe. Mwishoni anajaribu kubalance maoni yake kwa kujaribu kusema tuko pamoja. Lakini kimsingi hayuko pamoja na baadhi ya wanamapinduzi wenzie, which is SO BAD. Natamani kujua, aliyefanya maamuzi ya kumpumzisha Chagulani ni mtu mmoja tu, au ni kamati ? na hao viongozi anaowaheshimu sana wamo kwenye kamati za maamuzi au hawamo ? NAPITA HAPA, LAKINI NAPATA HAMU YA KUCHANGIA.
 
Kamwe sitarajii kama utakuja kukiri kuwa ulishiriki katika mipango ya kifisadi. Hivyo sihitaji kufahamu ni kwanini kamati nzima ilikuona una makosa. Kama unahisi ulionewa peleka vielelezo vyako mbele ya hiyo kamati ujieleze ukweli ufahamike na uache kujifanya unalialia katika mitandao ya kijamii tu.
 
Naona ana jaribu kutumia jina la ZZK kutafuta pakutokea.
Big traitor

Soma hii, toka facebook

Chagulani Adams‎
[h=5]" HIVI KWANINI MWANACHADEMA TOFAUTI NA ,SLAA,, akitangaza kugombea URAIS TUNAAMBIWA NA KUAMINISHWA KUWA ametumwa hana malezi ya pande mbili alitanguliza kutuka miguu badala ya kichwa ,anavuruga chama,ni mamluki au PANDIKIZI kuna ajenda gani ya siri maana katiba ya chadema inasema kila mwanachama ana haki ya kuchagua na kuchaguliwa au kuna watu maalumu katika nafasi maalumu nakubaliana za ZITTO

KUTA
NGAZA NIA kunawatu wanajiona wao ni wanachadema bora kuliko wengine hali hii ikiachwa iendelee si nzuri kwa afya ya chama chetu TUWAACHE WANACHADEMA WATANGAZE NIA ZAO ILI TUWAPIME KWENYE VIKAO VYETU MUDA UKIFIKA TUSIFINYE DEMOKRASIA TUNAYOIHIBIRI CHAMA SIYO GEREZA KWAMBA KILA MWANCHAMA AFIKIRIE TUNAVYOWAZA WOTE HUO NDIYO UHAI WA CHAMA CHETU TUACHE VIKAO VITAAMUA MUDA UKIFIKA KINYUME NA HAPO NI UBABE NA UDIKTETA WA HALI YA JUU SANA.TUJADILI SUALA HILI KIDEMKRASIA"
[/h]
 
We kijana Chaagulani, una haraka gani? Mbona mnatusumbua sana? Hivi kweli ujana ndivyo unastahili kuwa? Jamani tuacheni tujenge chama chetu. Wapi Slaa katangaza au kakataza watu kutangaza nia ya kugombea 2015? Sisi wadau ndiyo tunawashangaa wenye viherehere kama akina Zitto!
 
na nilijua aliyepost ni tuntemeke!,haya na ww chagulani mbona mwanaume mzima kulia lia 2?km unaona umeonewa c kuna taratibu ndani ya chama!?nn kuhangaika mitandaoni?..ma post inaonyesha kuwa unamsema dr slaa!kwan ni slaa ndo aliyetoa hayo maamuzi?,ss tunakwambiaje cdm ipo makini,na haiyumbishwi,kwny kufanya maamuzi magum hawana cha kujuana!...na huyo anaewatumia mtakufa nae kisiasa
 
Chagulani mi nakujua sana ache kujidhalilisha usiombe radii, maana slaa ameapa lazima wakumalizie chini ili wenje spite bila kupingwa 2015' nenda cuf au ccm au ccm . Tukupe ubunge. Achana na chadema Chama cha wachaga na wamburu. Ungekuwa MCHAga usinge fukuzwa. Nakufahamu ulivyokuwa mwancdm mtiifu lakini Ndio hivyo tena basi tena, kawasalimu, chezea Chaga na mbulu wewe .

We acha ubaguzi usilete dhambi ya Ubaguzi CDM Hiyo dhambi inawamaliza nyie na cuf unataka kuhamishia cdm no SISI SOTE NI NDUGU ADUI YETU CCM na Washirika wake tu UKOMBOZI daima hautazuilika
 
  • Chagulani Adams

    Chagulani Adams
    Nipenda kutumia fursa hii kuwataarifu wapenzi wa mageuzi na wakweli wote kuwa sina mpango wa kujiunga na Chama cha Mapinduzi kama maadui zangu wa kisiasa wanavyozusha kwenye mitandao ya kijamii kuwa nina mpango wa kujiunga na CCM ,

    niseme hivi sijawahi kuwa mwanaccm na kamwe sitakuwa mwanaccm mimi bado ni mwanachadema kindakindaki najipanga jinsi ya kuitafuta haki yangu nawaheshimu sana viongozi wangu wa chama hasa mwenyekiti F.Mbowe,Zitto kabwe Dr.Kitila ,na wote wanaopenda ukweli na siyo wafanyia kazi majungu HUKU WAKITAKA NAFASI NYETI NCHINI nimuomba MUNGU KUANZIA SASA WASIPATE NAFASI HIZO MAANA kama wanayafanya haya hawajawa na uhakiki wa amri kwa vyombo vya ulinzi vipi?

    wakijua wanausalama wanawalinda sipati picha MUNGU aepushe bali na balaa hilo,niseme binafsi nimesikitishwa na kuhusihwa na majungu kuwa nimeshiriki vitendo vya kifisadi na kukihujumu chama changu nilichokipigania siki zote tangu nikiwa chuoni hadi sasa nitaandika waraka mwingine kueleza kilichojiri na nini hatua inayofuta baadae tuko pamoja ukombozi wa taifa hili ni lazima kwa njia yeyote ile

Jaribu kusahihisha maeneo yenye makosa ili ueleweke. Pili rekebisha mambo na chama kabla hujachelewa, ukianza kuwagawa viongozi wako katika makundi kama ulivyofanya ninakuhakikishia kamwe hutafanikiwa. Jifunze kwa wenzako wa Arusha ( wale madiwani waliotaka chama kiwabembeleze)
 
Chagulani pamoja na kuwa ulikuwa una ''tetea maslahi ya umma'' mie kama mkaazi wa mwanza niliona juhudi zako za kuutaka umeya!lakini kama umejirudi busara itumike kamati kuu ikurudishe kundini tu sio kama kondoo lakini kama simba anyejua windo lake halali!
 
Back
Top Bottom