ACT Wazalendo wasema 2023 hali ya maisha itakuwa ngumu sana hivyo serikali iandae mikakati ya kuikabili hali hiyo

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,978
141,988
Msemaji wa ACT Wazalendo Bi Dorothy Semu amesema 2022 hali ya maisha imekuwa ngumu lakini ugumu huu utaongezeka zaidi na zaidi mwaka 2023.

Dorothy ameitaka serikali kuja na Mpango mkakati wa namna Watanzania watakavyoishi katikati ya ugumu huu wa maisha 2023.

Source: ITV
 
Hata unga mfano ukauzwa Tsh , 20, 000 kwa kilo hakuna Mtanzania atake piga kelele, kwa kifupi, hata Raia wale mawe hakuna wakufanya chochote
 
Back
Top Bottom