ACT Wazalendo wana busara kuliko CHADEMA. Walimpisha Rais mafuriko ya Hanang

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Sep 13, 2020
3,166
4,581
TULIMPISHA RAIS SAMIA.

"Nilifika Manyara jana, lakini, kwa kutambua Mh. Rais ana ratiba Katesh, hekima ilitutuma kusogeza mbele ratiba yetu ili kumpisha kisha sisi tuje leo kuona athari ya mafuriko, kuwaona wahanga na kutoa mchango wetu," Ado Shaibu, Katibu Mkuu ACT Wazalendo

Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ndugu Ado Shaibu alipokelewa Hanang na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Jenista Mhagama, Naibu Waziri wa Afya Godwin Mollel na Mkuu wa Mkoa wa Manyara Queen Sendiga.
 
Kwani rais ni nani hasa nchi hii? Huko Gaza tunaona marais wanawasili kutoa pole na kufanya tathmini na muda mfupi basdaye vikundi vya kiraia pia vinawasili. Hapa kwetu tupunguze tabia za kumpa umungu huyu mama.
 
ACT wameamua kumfagilia anaewalea kwa uwazi kabisa ishu hapo siyo kumpisha kwani mafuriko yalitokea lini? Huu ni uchawa wa wazi kabisaaa kwa rais eti tulimpisha jamani hiki chama ni CHAWA NAMBARI WANI
 
TULIMPISHA RAIS SAMIA.
"Nilifika Manyara jana, lakini, kwa kutambua Mh. Rais ana ratiba Katesh, hekima ilitutuma kusogeza mbele ratiba yetu ili kumpisha kisha sisi tuje leo kuona athari ya mafuriko, kuwaona wahanga na kutoa mchango wetu," Ado Shaibu, Katibu Mkuu ACT Wazalendo

Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ndugu Ado Shaibu alipokelewa Hanang na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Jenista Mhagama, Naibu Waziri wa Afya Godwin Mollel na Mkuu wa Mkoa wa Manyara Queen Sendiga.

Punguza unafiki.

Kwa nini usiseme ACT wana akili kuliko sisi CCM?

Wewe ni nyoka, halafu unasrma kuwa, mijusi ina akili kuliko sisi ndege. Huo si ukichaa? Kwa nini usiseme, mijusi ina akili kuliko sisi nyoka.
 
Tumia akili zako zote
Wewe uko upande gani? Unajifanya chadema lkn unamshambulia Mbowe..Leo.mara act wazalendo. Huu unakuwa unafiki ktk uislam na unafiki mbaya sana na dhambi zake ni kubwa. Sijui ktk dini nyengine mnafiki anachukuliwa vipi. J2 njema. Au nakosea wadau kumfahamisha huyu kiumbe?
TULIMPISHA RAIS SAMIA.
"Nilifika Manyara jana, lakini, kwa kutambua Mh. Rais ana ratiba Katesh, hekima ilitutuma kusogeza mbele ratiba yetu ili kumpisha kisha sisi tuje leo kuona athari ya mafuriko, kuwaona wahanga na kutoa mchango wetu," Ado Shaibu, Katibu Mkuu ACT Wazalendo

Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ndugu Ado Shaibu alipokelewa Hanang na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Jenista Mhagama, Naibu Waziri wa Afya Godwin Mollel na Mkuu wa Mkoa wa Manyara Queen Sendiga.
 
TULIMPISHA RAIS SAMIA.
"Nilifika Manyara jana, lakini, kwa kutambua Mh. Rais ana ratiba Katesh, hekima ilitutuma kusogeza mbele ratiba yetu ili kumpisha kisha sisi tuje leo kuona athari ya mafuriko, kuwaona wahanga na kutoa mchango wetu," Ado Shaibu, Katibu Mkuu ACT Wazalendo

Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ndugu Ado Shaibu alipokelewa Hanang na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Jenista Mhagama, Naibu Waziri wa Afya Godwin Mollel na Mkuu wa Mkoa wa Manyara Queen Sendiga.
Walimpisha mwenyekiti wao wa chama act ni tawi la ccm
 
Back
Top Bottom