PHILIPLULINDA
Senior Member
- Jun 1, 2013
- 181
- 89
Chama cha ACT Tanzania, kimefanya uchaguzi wa Mkoa na kupata Viongozi hapo Jana na ambao Watakuwa Madarakani kwa mda wa miaka mi 5.
Uchaguzi huo umefanyika Tanga mjini katika ukumbi wa Maktaba ya Mkoa na kuhudhuriwa na Viongozi wote wa Majimbo ya Mkoa wa Tanga, Waliochaguliwa katika Uchaguzi wa Majimbo yao.
Viongozi waliohudhiria ni kutoka majimbo yafutayo, Tanga mjini, Handeni, Kilindi, Mkinga, Pangani, Bumbuli, Lushoto mjini,Korogwe Mjini na Korogwe Vijijini.
Chaguzi za Majimbo zilimalizika ndani ya wiki moja iliyopita, Leo Uchaguzi ulikuwa unasimamiwa na kiongozi kutoka Makao Makuu ya Chama Taifa.
Uchaguzi ulianza mda wa saa 4 asubuhi Mpaka mda wa saa kumi jioni, baada ya hapo ndipo kura zilipigwa na kupata wagombea waloshinda ni wafuatao hapa chini.
Katibu wa Mkoa - Ndugu Kitaluuma ni Mtaafu wa Bandari ,ALLY ABDALLAH.
Mweka Hazina - ndugu Kitaluuma ni Mwanamahesabu .FRANSIS JOHN MDOE.
Mwenyekiti wa ngome ya wanawake Mkoa - Kitaluuma ni Mwalimu, Bi FATUMA S. KOMBO.
Mwenyekiti wa Mkoa Uchaguzi utafanyika muda sio mrefu.
ACT Tanzania chama cha ukombozi karibu na mjiunge wote wenye mapenzi mema na nchi hii.
Sasa tunajenga chama ilikuwa ni maelezo ya waliochaguliwa kuongoza ACT Tanzania ,Pia ndio chaguo la Watanzania.