Elections 2010 Acheni umbea nani kasema kuwa tuanabebwa kwenye malori - Makamba (picha)

Makamba anadhani kila kitu ni kukanusha tu...awe anatafakari kabla ya kuongea..
 
Ila ni strategy nzuri nahofia watawabeba hata tarehe 31 October wakawapigie kura maeneo tofauti tofauti, changanya na zako:bowl:
 
CCm2010.jpg


ccm2010_2-1.jpg


Wenzao wanakuja na maVX wao wanashafurahia kuwa kwenye malory baada ya miaka 49 ya uhuru!!
 
Tena haya malori vihio yanakua rejected Japan ndio wanatumia kubebea/kurubuni wananchi. Ndio maana zingine zimesababisha vifo Zanzibar!!!!
 
Hii inatakiwa itolewe ukurasa kwa kwanza wa gazeti mojawapo kesho ili watu wajue Makamba alivyo mwongo na CCM yake.
 
hashindwi kusema hata yule alokufa maswa ni kiherere chake, OOR, SORY, MWENYEZI MUNGU AMLAZE MAHALA PEMA, MAANA NA SISI WENGINE HATUJUI TUTAELEKEA LINI HUKO, NI SIKU ZAKE TU ZIMEFIKA, HUENDA WENGINE TUKAFUATA BAADA YA MATOKEO YA UCHAGUZI, KIRAVU UMEBEBA ROHO ZETU KWENYE HII MELI, TUVUSHE SALAMA UEPUKE LAWAMA, UWAACHIE WENGINE KWENYE VYOMBO VYA NCHI KAVU KINA SLAA WAENDELEE KUTUPELEKA TUTULIKOAHIDIWA. AAAAAAAAAMIN

Hawezi kusema ni kihelehele chake, kwa sababu ni chama chake. Kwa kweli ingekuwa ni chama kile kingine ambacho mbunge wake bado ameshikiriwa kwa mahojiano ndo angesema tena kwa herufi kubwa kwamba ni kihelehele chake.
 
Back
Top Bottom