Hawa wazee wameiasa serikali ya JK kuwa wAache siasa kwenye suala la kutatua mgao wa umeme nchini.Kuna mzee kanichosha kasema kila siku wanasema tuko mbioni kulitatua tatizo la umeme mbio gani izo zisizo kuwa na mwisho?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.