Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 17,796
- 32,148
Ase ifike mahali tuambiane ukweli kuna watu hawapigi mswaki kwasababu morng ana amka na vitungu swahumu kutafuna ili kukata halufu ya mdogo hii inapelekea hata jasho la mwili kuwa baya sana.
Tumia kwa tiba na sio kufanya ndio dawa ya meno epuka kula vyakula vyenye viuongo vingi sana hivi vinaleta hathari kubwa kwa upande wa jasho ndio maana baadhi ya watu unakuta wananuka vitunguu swahumu mda wote au ana kuwa na jasho baya.
Bado nasisitiza kutumia mtindi sana kwakukata harufu ya jasho baya usafi wa mwili muhimu sana kuwa smart kwa binadamu ni kipaumbele.