acheni kujidai

Last edited by a moderator:
hee, haya bana.... mimi natafuta kazi yeyote ile ila sio ya kuvunja amri za Mungu.
 
hahahahah!!! na mimi ndio boss wako katika ile bank unayofanya kazi Bishanga!! kuwa mwadilifu laa sivyo ntakugeuza mfagiaji!!
 
Last edited by a moderator:
Bishanga umenifanya nionekane kituko mbele za watu maana hapa mbavu sina
We bepari wapi wakati ulikuja kuchukua mkopo juzi kati hapa ofcn kwangu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom