Bishanga
JF-Expert Member
- Jun 29, 2008
- 15,323
- 10,050
- Thread starter
- #41
Bishanga nakufungulia kesi ya Defamation...... Umenidhalilisha sana, yaani mimi ni karani, kweli kabisa unanishusha hadhi kiasi hicho....!
Halafu umepanda cheo juzi,nasikia ulianzia kubeba mafaili kwa advocate ruttashobolwa,hongera zako lakini.
Last edited by a moderator: