St. Paka Mweusi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 7,664
- 4,560
Wakati jamii nyingine zinahaha kutengeneza Family owned business empires sisi ngozi nyeusi ndio tunakazana kuchukia na na kutengana ikiwemo kubaguana.. Kweli aliyeturoga kafa..
Ndiyo maana nipo nawe agemate wangu😍Vijana siyo watu wa maana kabisa
Ukimsaidia mwanamke je?Unaemsaidia ndiye anakuja kukutombea mke wako
Bora ukatili tu..
Ukiona kwamba unaandamwa na Mapepo au wachawi ( ingawa kiuhalisia hawapo) ujue kwamba Mungu wako(ambaye kiuhalisia hayupo) ameshindwa kukulinda na kukunusuru.Amnusuru na wachawi na Mapepo kwa jinsi ya mwili yanayolazimisha tuamini Mungu hayupo ili yatishughulikie humu ukiwemo wewe.
Majanga ya duniaAkunusuru na nini?
Aliyeweka na kuruhusu hayo majanga ya dunia yawepo ni nani?Majanga ya dunia
Huo ndio ukweli mtupuKama wewe ni masikini wa kutupwa usilete kiumbe duniani.
Ni ushauri tu.
Inasikitisha sana....Kama wewe ni masikini wa kutupwa usilete kiumbe duniani.
Ni ushauri tu.
Oya 😂😂😂😂Unaemsaidia ndiye anakuja kukutombea mke wako
Bora ukatili tu..
KabisaHuna kilema chochote unategemewa uchomolewe na ndugu yako TZ hii, utasota sana. Kumbuka huyo ndugu unayemwona yuko vizuri kibongobongo ana watu wengi sana wa kuwasaidia kutokana na umaskini uliopo kwenye familia nyingi za Tz. Vilevile mtu wewe wawezamwona yupo vizuri kutokana na umaskini wako kumbe nayeye mambo yake hayajasimama vizuri.
Unazani ni jambo rahisi hivyo kumuinua mwafrika masikiniNa hapa ndio makabila mengine waarabu,wasomal,wahindi yanatuacha nyuma sana wao huinuana kusonga mbele ngozi nyeusi sasa umalaya ndio kazi anataka awe yeye tu mwenye uwezo
Yeah Inapendeza zaidi