Acha kuponda starehe msaidie ndugu yako achomoke kwenye tanuru la umaskini

Waswahili hawasidiki asilimia kubwa maana tatizo lao sio pesa linalowafanya wawe masikini bali mfumo AKILI ndo unashida.
masikini anachokikosa yeye ni maarifa mtu akishakosa maarifa ndio basi tena ata ukimsaidia vipi ni ngumu sana kusogea

Hakuna pesa rahisi ndio mana watu watu wanapambana usiku na mchana kujenga future wapo watu wanarisk ata roho zao ili wapate pesa masikini wengi wanaamini mafanikio ni bahati
 
Hilo ni tatizo la kisaikolojia linaitwa External Locus of control

Ukiwa na hilo tatizo unakuwa Unaamini katika Luck, destiny,fate hivyo kila kinachokutokea unakuwa haufanyi jitahada za kujiboresha ili ufanikiwe bali unakuwa unaamini katika hayo mambo.

Ila MTU mwenye internal locus of control anakuwa anaamini kuwa Maisha ili yawe mazuri anabidi kuweka juhudi za kujiboresha na kuwa full responsibility ktk MAISHA yakena sio ktk destiny ,fate ,luck n.k.
 
Back
Top Bottom