Samahan wana jf hv requirements za kufungua acc. Bacrays bank ni zp na min. amount ya kufungulia ni sh. Ngap?
mbona hujamwambia kama kila mwezi ana-chajiwa 10,000?????Barua mwajiri/mtendaji wa serikali za mtaa.(Salary slip kwa mfanyakazi)..picha 2,kianzio sh 10,000/ na kujaza form ya maombi.