Mwammenywa
Member
- Feb 20, 2012
- 12
- 8
Jamiiforums ndiyo sehemu ya watu wengi kutolea malalamiko Yao, binafsi Leo imenibidi!
Baada ya makato ya bank charges ni makubwa mno hasa kwa wananchi WA Hali ya chini. Mimi nimehamisha shilingi 25,000 Toka bank ya NMB kwenda tigo pesa!
Transfer fee sh. 2700 ambayo ni sawa na 10.8% ya fedha niliyohamisha. Hapo bado haijatolewa na mtumiaji wa mwisho.
NMB wametengeza faida, Mimi nazani huu ni unyonyaji uliopitiliza kwa kiwango cha juu kwenye sector ya fedha. Nina experience ya bank kama tatu hivi. Kila ukifanya mwamala ukichungulia transfer fee lazima ushike kichwa.
Haya maoni wasipo yafanyia kazi bank kuu financial inclutions Tanzania tutairudisha nyuma kabisa.