Absalom Kibanda: Namuogopa Abdurahman Kinana

Suala la kutelekeza watoto wako na kuacha wanateseke huko marekani ni zaidi ya uwendawazimu, na jinsi ulivyo na akili matope unajitahidi kuhalalisha ujinga wako kwa kujifananisha na kichwa cha ukweli. Mwanamke haibiwi mbwege wewe, mwanamke anatongozwa na anakubali kwa hiari yake mwenyewe.

Sasa wewe utuambie kama ulizungumza na wanao kuhusu kuwatelekeza, na wao wakakukubalia ukarudi bongo kuja kuishi kwa baba yako, hata aibu hauna zee zima kula kulala. pfyuuuuuuuuuuuuuu...

- HA! HA! HA! HA! LETS SAY NI KWELI NIMEKIMBIA WATOTO NA MIMI SIGOMBEI URAIS, JE NI SAWA NA KIONGOZI KUIBA MKE WA MTU TENA MWENYE UMRI MDOGO SANA WA TOFAUTI YA MIAKA 40, MAANA SLAA ANA MIAKA 70 NA MKE WA SASA ALIYEMUIBA ANA MIAKA 30! HA! HA! HA! WEWE HUONI KUWA NI CHILD ABUSE HIYO KWA MTU ANAYETAKA KUWA RAIS WA JAMHURI YA WANANCHI MILLIONI 50! HA! HA! HA! HA!, UNATAKA NIELETE PICHA YA HUYO MKE ALIYEIBIWA UONE AKIWA NA MUME WAKE WA KWELI, JE UNATAKA NILETE HAPA? HA! HA! HA! HA! HA!

- Sasa tuje kwenye chama chako Chadema, kwanza hamjui Demokrasia ndio maana Mbunge wenu Ndesamburo anaenda na watoto wake mpaka na wakwe zake Bungeni, eti wote ni wabunge wa Chadema chama cha ukombozi, I mean ukombozi my foot!!, Pili Zitto anawatesa kila siku mnashindwa kumvumulia maana hamna uvumilivu katika hicho chama, mnachojua ubabe tu Demokrasia haipo kabisa, sasa kama mnashindwa kumkubali mwanachama wenu mmoja tu kwa sababu mnaogopa umaarufu wake, je mkipewa taifa itakuwaje?

- Wangwe aliwaombeni muweke mahesabu yenu wazi, the next thing akafa tena katika mazingira ya kiajabu ajabu sana, leo mnasema ni Chama cha ukombozi na cha kuleta mabadiliko, ni mabadiliko gani mnaweza kutuletea kama sio vioja vitupu!, wewe ni Chama gani cha ukombozi viongozi wake hawapigwi wala kufa hata kuguswa kwenye vurugu zinazoanzishwa na Chadema kila wakati, WHY? lakini siku zote wanaishia kufa wananchi wasiojua kitu tena waliolipwa tu kushiriki kwenye maandamno na fujo zenu?

- Sasa hivi sio siri mnaye mgombea strong wa Urais mmoja tu naye ni Zitto, hao wengine kina Slaaa kwanza ni mzee mno umri umeeenda na pili ameshagombea sana ameshindwa basi inatosha sasa awaachie na wengine, pili mgombea wenu Mbowe naye pia amegombea sana Urias na kushindwa kila wakati akiwa mgombea au akiwa pembeni anasaidia chama chake zote ameshindwa, hana jipya halafu the worst af all majuzi tu mmeshindwa Udiwani, yaani hata Udiwani tu hamuwezi kushindaa je itwakuwa Urais? Think about it bro yaani kweli mmeshindwa kuwashawishi wananchi kuwapa hata Udiwani tu! aibuu sana!!

- Again lets say kwamba uliyosema yote kunihusu ni kweli, je ina justify nyie kulilia madaraka ya taifa huku mkiwa hamna Viongozi waadilifu? Tizama MWenyekiti enu wa sasa anawauzia kwa nguvu malori yake mabovu, anawauzia mpaka mic kwa Shillingi 34, 000 wakati wote tunajua unaweza kupata mic kwa Shillingi 10,000 tu, sasa huyu aklipewa madaraka itakuwaje? Dr. Slaaa analipa mwenyewe mshahara wa Shillingi Millioni 12 kwa mwezi wakati wala sio mbunge wala hata katibu kata, sasa akiwa Rais itakuaje? halafu eti ni chama cha ukombozi wa Taifa, taifa gani hilo? labda muokoe Bilicanas, wananachi wa Tanzania sisi sio mabwege, sasa mkiambiwa ukweli mnaaanza na Viwanda vyenu vya uongo, ohhh umekimbia mke na watoto, sure nimewakimbia lakini mimi sio mgombea Urais na mimi Sio mkombozi wa Wananchi kama mnavyojidai,

- Halafu by the way kuna bomu moja zito linakaribia kupasuka kuhusu kukosa kwa maadili kwa Kiongozi wenu mmoja mkubwa sana huko Chadema, kwa leo ninawamezea lakini hapa mjini sio siri tena, litakapolipuka sijui mtakimbilia wapi, ninawaomba Chama changu CCM walitunze mpaka ikifikia wakati wa Uchaguzi wa Urais ndio walirushe, Chadema wacheni kuzuga wananchi uwezo wa kuwaongoza hamna na wala uwezo wa kuwaletea ukombozi hamna, mnajuwa one thing matusi na majungu tu!!

MUCH RESPECT!!

lE mUTUZ!!
 
MATOLA UNAKUMBUKA ULIVYOWAHI KUMZUNGUMZIA KIBANDA HUYU HUYU KWA KAULI YAKO MWENYEWE?????NDIO MANA NIKASHAURI MAOMBI YA UANACHAMA JF YAWE YANAPITIA KWENYE MCHUJO NA MUOMBAJI KUFANYIWA USAILI ONLINE KUFAHAMU KIWANGO CHA UFAHAMU WAKE!

quote_icon.png
By Mwita25 Huyu Abasalomu ni kilaza kuliko maelezo. Naona anafuata mkumbo wa kina Kubenea ili na yeye aingie kwenye payroll ya RA na LA. Kweli hatuna waandishi kabisa ila waganga njaa tu.

Matola

avatar28603_4.gif

JF Senior Expert Member
Sasa na wewe usiyejuwa maana ya Reputation power tukuiteje? zuzu! zezeta au ngumbaru? huwezi kumfikia Absalom Kibanda kwa lolote lile kapuku wewe.
 
Heeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Hebu nisaidieni,hivi Gazeti la Tanzania ni la CAHDEMA?????samahani jamani hii kitu imenistua sana!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Ni gazeti la chama mkuu.
 
Huwa sipendi kujadili personals lakini niseme tu jambo moja wewe ni HASARA na inaonekana umefikia kiwango cha kufilisika kimawazo. Soma tena ulichokiandika, utatambua kwa nini nimekuita HASARA
 
MATOLA UNAKUMBUKA ULIVYOWAHI KUMZUNGUMZIA KIBANDA HUYU HUYU KWA KAULI YAKO MWENYEWE?????NDIO MANA NIKASHAURI MAOMBI YA UANACHAMA JF YAWE YANAPITIA KWENYE MCHUJO NA MUOMBAJI KUFANYIWA USAILI ONLINE KUFAHAMU KIWANGO CHA UFAHAMU WAKE!

quote_icon.png
By Mwita25 Huyu Abasalomu ni kilaza kuliko maelezo. Naona anafuata mkumbo wa kina Kubenea ili na yeye aingie kwenye payroll ya RA na LA. Kweli hatuna waandishi kabisa ila waganga njaa tu.

Matola

avatar28603_4.gif

JF Senior Expert Member
Sasa na wewe usiyejuwa maana ya Reputation power tukuiteje? zuzu! zezeta au ngumbaru? huwezi kumfikia Absalom Kibanda kwa lolote lile kapuku wewe.
Leo utaweweseka sana, sana sana tu unakuja hapa kuprove kwamba watu walishamgunduwa siku Absalom kama ni Mbabaishaji, sasa sioni mantiki yoyote ya wewe kuniuliza swali la kijinga kama hilo.

Ni sawa leo ulete video clip ya Dr Slaa alipokuwa CCM akisema CCM oyee eti ndio utake kuaminisha watu kwamba kwa sasa hayuko sahihi. kajipange upya hapo umechemka mbaya.
 
kwa hiyo ubaya wa kinana wewe ndio umekuja kuugundua leo kwa kuwa kamulezea kinana?sasa ulivyokua ukitoa povu kumtetea hapo juu ilikua ni kwa kipi hasa ambacho ukifurahi huwa unakitoa kama zawadi ya furaha yako?
 
Nawashangaa wanaomshambulia KIBANDA!! Mbona anapoandika makala nyingine za kuiponda CCM hata kama sio za kweli mnamuunga mkono?Naona imewagusa sana wale wasioitakia mema nchi hii.waliozoea kuandamana kwa kupewa ujira wa viroba bila kujua wanaharibu afya zao,na wanaweza wasifike 2015 kwa sababu ya hivyo viroba.
 
watu wa chadema wengi kuanzia viongozi wao mpaka hawa chadema kata ni madikteka mkuu,hawapendi kukosolewa wala hawana uvumilivu wa kisiasa kuvumilia mawazo tofauti na wanayofikiria na kuyapenda wao
 
Pesa atapata lakini heshima itashuka hasa kama ataandika makala za kuwasafisha mafisadi na kuipaka mafuta ccm iliyojaa kutu ya kutisha. Kwani Prince Bagenda yuko wapi? Pesa za mafisadi kapata lakini heshima yake imekwisha. Nadhani kibanda kaamua kuchagua pesa badala ya heshima. Ni chaguo lake. Atatesa kwa magari mazuri na nyumba lakini historia itamuhukumu na mwisho wa yote ni kujilaumu
 
Mtu yeyote muungwana na mwenye upeo wa kisomi atakubaliana nami kwamba ubobezi katika kujenga hoja unatawaliwa na utulivu wa kifikra na wala sio jazba. Jazba ni matokeo ya kukurupuka kutokana na kutokuwa na hoja ya uhakika. huko ni kujilinda dhidi ya mashambulizi ya nguvu ya hoja,hawa mashabiki wa CDM na viongozi wao wanatumia hoja za nguvu kujitetea badala ya NGUVU YA HOJA!!
 
Sishangai categorization ya ufisadi, maana wakati fulani tuliambiwa kuna rushwa na takrima. Labda Kibanda anacategorise ufisadi katika namna hiyo hiyo.
 
Nadhani wengi hamumjui Kibanda, mimi hiyo Makala niliona online nilipoanza kuisoma wala sikupoteza muda wangu kuendelea kuisoma maana ni ushuzi mtupu.

Ni kweli Kibanda anamuogopa Kinana kwa sababu Kibanda ni kibaraka wa Lowasa na uwepo wa Kinana kama katibu Mkuu wa CCM si habari njema kwa kina Kibanda & co, huyu ni mtu wa ovyo sana.

Namshangaa sana Freeman Mbowe kuendelea kumvumilia Mhariri mpumbavu wa namna na kusababi Gazeti la Tanzania Daima kushuka mvuto na kupitwa na [...] Kama kuna mtu ambaye yupo karibu na Mbowe na anapenda Tanzania Daima lifanye vizuri basi huyu Kibanda afutwe kazi mara moja...
Believe me, the co ni pamoja na Mbowe et al. wote ni kambi ya EL ipo siku uta amini najuwa ni vigumu sana ila malengo, nia na matarajio ya hawa watu ni yale yale!
 
Jamii forum shule tosha ila tungebadili utaratibu tukaregister kwa majina halisi tutajifunza mengi...mfano mimi leo ndo nimemjua w.j.malecela ni mtu wa namna gani....viva jf...jamani tumekwisha eti nae huyu alitaka kuwa mbunge cjui wa wapi vile,..halafu eti ....!
 
IQ ya huyu mtoto wa mzee tingatinga ni ya mashaka...hawa watu wa mtera cjui wakoje!hv huyu na lusinde nani zaidi?
 
Chokochoko mchokoe pweza,chezea Monduli wewe,bahasha za khaki si mchezo bana zinakutoa hata utu,mtu uakuwa huna haya,unakuwa kama........
 
uzuri ni kwamba watu wengi wana uelewa,hivyo ni ngumu kuwaendesha kwa propaganda.Kibanda anaonesha sura yake halisi kisiasa kwamba ni pro CCM na bila hoja za msingi."HE WHO GIVES ESSENTIAL LIBERTY TO OBTAIN LITTLE TEMPORARY SAFETY,DESERVES NEITHER LIBERTY NO SAFETY"
 
huuuuu! watu wanajitafutia uraji........ cdm au upinzani hakuna uraj ara poromosheni...... hivi hivi tu mwenzenu huyooooooo anaukwaa ukuu wa wilaya ..... familia jamani.... ila napata shaka isiyomithilika na mahaba ya kibanda kwa kinana .
 
Nimeifuatilia sana mada kwa kusoma mawazo ya watu bila kuchangia. Na hapa sitachangia bali nitaendelea kusoma mawazo ya watu.

Kuna huu mchango wa mwandishi nguli ninaye mheshimu sana (Richard Mgamba) mshindi wa tuzo za CCN.

Amechangia haya kwenye makala hii kwenye moja ya mitandao kuhusu makala ya Kibanda.

"Wasifu mzito na historia za kutukuka? Ninaheshimu sana mawazo ya Kibanda lakini nashindwa kujizuia kuhoji baadhi ya sifa alizotoa kwa hao anaowaita wateule. Kwanza ni kweli CCM imefanya ilichokifanya, lakini kinachotia shaka ni sifa wanazopewa hawa watu.

Mathalan, Kinana amekuwa Waziri wa Ulinzi, Spika wa Bunge la Afrika Mashariki, na hatimaye akawa kampeni Meneja wa Mkapa na Kikwete—sijui katika kipindi hicho alilifanyia taifa hili kitu ghani cha kutufanya tuseme ana wasifu mzito na historia iliyotukuka. Kampuni ya kinana na wenzake hawajalipa mabilioni waliyochota NSSF kwenda kujenga kiwanda cha madawa mikocheni—na mradi ukafa mpaka leo. Hizi siyo fedha za serikali, ni fedha zetu sisi watanzania wafanyakazi. Kamuulizeni, akikana mnione.

Pili, Philip Mangula alikuwa katibu mkuu kwa miaka kama kumi hivi wakati wa Mkapa, na akatuhumiwa na wana-mtandao hawa hawa kwamba alihongwa na kundi la Sumaye ili kumuhujumu JK katika mchakato wa 2005. Siyo hilo tu wakati wa kuchotwa kwa mabilioni ya EPA pale benki kuu upo ushahidi mkubwa kwamba alihusika kutoa recommendations kwa baadhi ya wachotaji kwa sharti la kwamba asilimia fulani inakwenda katika chama.

Ushahidi upo na kama mnabisha katafuteni maelezo ya wakili Maregesi katika tume ya kuchunguza ufisadi huu, na pia ya kwake yeye Mwenyewe Mangula mbele ya tume.

Zakhia Meghji ndiye mliyemshambulia hapa katika vyombo vya habari kwamba hafai kuwa waziri eti kwa sababu ni fisadi tangu akiwa mali asili na hatimaye wizara ya fedha. Au mnataka kutuambia kwamba zile kashfa zilikuwa za kutunga ili hatimaye wateule wenu waingie katika baraza la mawaziri?
Mwigulu Nchemba naye anayo historia iliyotukuka ambayo iliandikwa lini na wapi?

Napata shida sana kuona tunakuwa wepesi wa kutoa sifa badala ya kusubiri kuona utendaji wa wahusika hawa. Mangula alipogombea uenyekiti wa CCM akapigwa chini akalalama kama Sumaye na kusema uongozi ndani ya chama umekuwa ni wa kulangua kama bidhaa, lakini leo amerejea katika nafasi ya juu kwenye Chama ambacho uongozi unauzwa kama bidhaa.
Kwa kifupi, hawa jamaa ni wale wale waliokuwepo juzi, jana, na leo—hivyo kuwapa sifa kibao ni ushabiki usio na kifani. Tusubiri tuone makeke haya ya kuanza kwa mbwembwe—na hii ni kawaida ya CCM, maana hata 2006 walianza kwa kutembelea masoko yetu, kukagua madaraja, na sifa kibao, lakini leo, hali imegeuka. Kazi ipo".
 
Suala la kutelekeza watoto wako na kuacha wanateseke huko marekani ni zaidi ya uwendawazimu, na jinsi ulivyo na akili matope unajitahidi kuhalalisha ujinga wako kwa kujifananisha na kichwa cha ukweli. Mwanamke haibiwi mbwege wewe, mwanamke anatongozwa na anakubali kwa hiari yake mwenyewe.

Sasa wewe utuambie kama ulizungumza na wanao kuhusu kuwatelekeza, na wao wakakukubalia ukarudi bongo kuja kuishi kwa baba yako, hata aibu hauna zee zima kula kulala. pfyuuuuuuuuuuuuuu...

kamanda Mwita Maranya kama kawaida yako umeishusha game yako kwa kutetea upuuzi; mke wa Le Mutuz hajafungua kesi mahakamani kudai matunzo wala wala dai la kutelekezwa watoto; kama una uthibitisho tuwekee hapa jamvini; Dr. Slaa amelalamikiwa na watu wawili mume wa Josephine na mkewe Rose Kamili; kwa uthibitisho kesi ya madai ya Rose kamili dhidi ya Dr. Slaa ipo mahakamani; na ushahidi wa Dr. Slaa kutelekeza watoto kwa sababu ya kimada upo; sasa sijui unatetea kitu gani; najua unajitahidi sana kujiweka karibu na Dr. Slaa kwasababu ya azma yako ya kugombea uenyekiti wa mkoa; sioni kosa la Le Mutuz kuishi kwa baba yake sijui ulitaka aishi kwa baba yako? Hizo ni roho zenu za kutu Mzee Malecella hajalalamika kwa mtu yoyote na kama mzazi anafurahia kuwa karibu na kijana wake; huyu Dr. Slaa unayeyemtetea ni mchafu hana maadili mtu anayetelekeza watoto wake kwa sababu ya malaya ni hatari kwa jamii; kiongoizi ni kioo cha jamii; hizi njaa zenu zisiwafanye kuvumba macho kupingana na ukweli.

Chama
Gongo la mboto DSM

cc Ritz, lemutuz
 
Last edited by a moderator:
Huwa sipendi kujadili personals lakini niseme tu jambo moja wewe ni HASARA na inaonekana umefikia kiwango cha kufilisika kimawazo. Soma tena ulichokiandika, utatambua kwa nini nimekuita HASARA

- Tangu lini umesikia Faida ikasoma hasara unaona unavyojivua nguo hapa mtumzima kwamba wewe ni hasara kuliko, ebo jibu hoja wacha kukimbia kivuli hapa, kufilisika mawazo ni kushindwa Udiwani viti 22 kwa 5, nakudai eti unakubalika zaidi na wananchi that is kufiklisika mawazo!! na mtaendelea kupewa za uso tu!!, nyie Chadomo tuliwaachia sana sasa jino kwa jino, mwendo ni nginja nginja!! tena kwa lugha mnayoijua vizuri sana!!

Le Mutuz!!
 
Back
Top Bottom