William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,588
- 10,375
Suala la kutelekeza watoto wako na kuacha wanateseke huko marekani ni zaidi ya uwendawazimu, na jinsi ulivyo na akili matope unajitahidi kuhalalisha ujinga wako kwa kujifananisha na kichwa cha ukweli. Mwanamke haibiwi mbwege wewe, mwanamke anatongozwa na anakubali kwa hiari yake mwenyewe.
Sasa wewe utuambie kama ulizungumza na wanao kuhusu kuwatelekeza, na wao wakakukubalia ukarudi bongo kuja kuishi kwa baba yako, hata aibu hauna zee zima kula kulala. pfyuuuuuuuuuuuuuu...
- HA! HA! HA! HA! LETS SAY NI KWELI NIMEKIMBIA WATOTO NA MIMI SIGOMBEI URAIS, JE NI SAWA NA KIONGOZI KUIBA MKE WA MTU TENA MWENYE UMRI MDOGO SANA WA TOFAUTI YA MIAKA 40, MAANA SLAA ANA MIAKA 70 NA MKE WA SASA ALIYEMUIBA ANA MIAKA 30! HA! HA! HA! WEWE HUONI KUWA NI CHILD ABUSE HIYO KWA MTU ANAYETAKA KUWA RAIS WA JAMHURI YA WANANCHI MILLIONI 50! HA! HA! HA! HA!, UNATAKA NIELETE PICHA YA HUYO MKE ALIYEIBIWA UONE AKIWA NA MUME WAKE WA KWELI, JE UNATAKA NILETE HAPA? HA! HA! HA! HA! HA!
- Sasa tuje kwenye chama chako Chadema, kwanza hamjui Demokrasia ndio maana Mbunge wenu Ndesamburo anaenda na watoto wake mpaka na wakwe zake Bungeni, eti wote ni wabunge wa Chadema chama cha ukombozi, I mean ukombozi my foot!!, Pili Zitto anawatesa kila siku mnashindwa kumvumulia maana hamna uvumilivu katika hicho chama, mnachojua ubabe tu Demokrasia haipo kabisa, sasa kama mnashindwa kumkubali mwanachama wenu mmoja tu kwa sababu mnaogopa umaarufu wake, je mkipewa taifa itakuwaje?
- Wangwe aliwaombeni muweke mahesabu yenu wazi, the next thing akafa tena katika mazingira ya kiajabu ajabu sana, leo mnasema ni Chama cha ukombozi na cha kuleta mabadiliko, ni mabadiliko gani mnaweza kutuletea kama sio vioja vitupu!, wewe ni Chama gani cha ukombozi viongozi wake hawapigwi wala kufa hata kuguswa kwenye vurugu zinazoanzishwa na Chadema kila wakati, WHY? lakini siku zote wanaishia kufa wananchi wasiojua kitu tena waliolipwa tu kushiriki kwenye maandamno na fujo zenu?
- Sasa hivi sio siri mnaye mgombea strong wa Urais mmoja tu naye ni Zitto, hao wengine kina Slaaa kwanza ni mzee mno umri umeeenda na pili ameshagombea sana ameshindwa basi inatosha sasa awaachie na wengine, pili mgombea wenu Mbowe naye pia amegombea sana Urias na kushindwa kila wakati akiwa mgombea au akiwa pembeni anasaidia chama chake zote ameshindwa, hana jipya halafu the worst af all majuzi tu mmeshindwa Udiwani, yaani hata Udiwani tu hamuwezi kushindaa je itwakuwa Urais? Think about it bro yaani kweli mmeshindwa kuwashawishi wananchi kuwapa hata Udiwani tu! aibuu sana!!
- Again lets say kwamba uliyosema yote kunihusu ni kweli, je ina justify nyie kulilia madaraka ya taifa huku mkiwa hamna Viongozi waadilifu? Tizama MWenyekiti enu wa sasa anawauzia kwa nguvu malori yake mabovu, anawauzia mpaka mic kwa Shillingi 34, 000 wakati wote tunajua unaweza kupata mic kwa Shillingi 10,000 tu, sasa huyu aklipewa madaraka itakuwaje? Dr. Slaaa analipa mwenyewe mshahara wa Shillingi Millioni 12 kwa mwezi wakati wala sio mbunge wala hata katibu kata, sasa akiwa Rais itakuaje? halafu eti ni chama cha ukombozi wa Taifa, taifa gani hilo? labda muokoe Bilicanas, wananachi wa Tanzania sisi sio mabwege, sasa mkiambiwa ukweli mnaaanza na Viwanda vyenu vya uongo, ohhh umekimbia mke na watoto, sure nimewakimbia lakini mimi sio mgombea Urais na mimi Sio mkombozi wa Wananchi kama mnavyojidai,
- Halafu by the way kuna bomu moja zito linakaribia kupasuka kuhusu kukosa kwa maadili kwa Kiongozi wenu mmoja mkubwa sana huko Chadema, kwa leo ninawamezea lakini hapa mjini sio siri tena, litakapolipuka sijui mtakimbilia wapi, ninawaomba Chama changu CCM walitunze mpaka ikifikia wakati wa Uchaguzi wa Urais ndio walirushe, Chadema wacheni kuzuga wananchi uwezo wa kuwaongoza hamna na wala uwezo wa kuwaletea ukombozi hamna, mnajuwa one thing matusi na majungu tu!!
MUCH RESPECT!!
lE mUTUZ!!