Absalom Kibanda: Kilichobaki ni Kuandika kitabu cha Maovu yako Samwel Sitta!

huyu naye kanunuliwa na nani? japo sita ni fisadi lakini sio katika extent ya kuandikiwa kitabu huku mafisadi papa wakipeta

Yeye kaanza na Sita wewe chagua mwingine umwanike, staili ya TWANGA KOTE KOTE.Fisadi ni fisadi ashughulikiwe ipasavyo.
 
Kwa kuwa kuna uhuru wa habari waache amuandike kisha kupiti kitabu hicho tayari tutajua nyanya ni ipi na nyanya tonle ni zipi,toka hapo basi itakuwa kazi lahisi sana mbinu mpya ya kuwanyonga mafisadi itakuwa imepatikana.

Wale wote wanaompinga kibanda kama kwa kutumwa au si kutumwa ,kama ni kwa hiari au si hiari, kama ni kwa kulipwa au si kwa kulipwa yote bado ni heri tupu,kwa kuwa tutajifunza jambo au mambo ambayo yanalikabili Taifa kama
1: Ukweli kiasi, ukweli Mwingi,Uongo au uchonganishi ambao unaweza kuwa ni wa upande wa Mh Sita au wa Mafisadi au wa Wengineo wengi ndani na Nje ya Serikali,kwa kuwa yeye kama Mhandishi atakuwa na chanzo [Source] ya taarifa zake na kuwa ili yathibitishwe na wahusika au kukanushwa na wahusika au Kibanda mwenyewe.Kwa kuwa huko mbele ya haki mikononi mwa Watanzania kitakuwa ni Kitanzi cha yeye Mwenyewe Kibanda au Sita au Mafisadi au Wapiganaji wa Ufisadi,kwa kutegemea Ukweli [Reality] ambao jamii itaupima kupitia kitabu hicho.

2: Kitatusaidia kujua Nguvu za Mafisadi kifedha,kupitia uwezo wa upatikanaji wa vitabu hivyo kwa kuwa Watanzania wanajua uwezo wa kifedha wa Absolum Kibanda,wengi wetu tunajua Msemakweli alipotoa kitabu chake cha Mafisadi wa Elimu kimemchukua muda kufika kwa umma kutokana na uwezo mdogo wa kifedha.Hivyo upatikanaji mkubwa wa vitabu hivyo kwa wnye akili zao itabidi waajue nyuma ya pazia [Who is a Big Shark behind it]

3: Kitatusaida kujua nani na nani wa kutiwa kitanzi pindi ukweli wa Taifa utakapokuwa ,Manake Mapinduzi ya umma ya Morocco yamewezesha kujua kumbe mjane wa Yassel Alafat kwa kushirikiana na Mke wa Rais wa Morroco wameifisadi Morocco kwa mgongo wa Rais.

4: Tutakuwaa tumeongeza ufahamu wa chachu, chungu na tamu ya UFISADI wa Taifa letu na hivyo kuongeza KASI NA HAMU YA WATANZANIA KUONYESHA HISIA ZA KUTAKA KUCHUKUA SERIKALI YAO,NA HIVYO KULIFANYA JESHI LA WANANCHI WA TANZANIA [JWTZ] KUCHUKUA HATAMU KABLA MAMBO HAYAJAHARIBIKA.Kwa kuwa JWTZ ndio chombo cha Umma pekee kilichobaki chenye uhalali wa Kuwavusha Watanzania Kwenye Kipindi hiki cha Mpito.

5: Kwa hayo machache yatakayokuwemo ndani ya kitabu tayari tutakuwa tumepata hata kumbukumbu kama ni ya uchonganishi, uongo, ukweli, ya kuyumbisha Ukweli,au ya Kuficha Ukweli,tayari tutakuwa na mhuri.

Muache aje!!!!!!!!!!!!!!!!!!! ni Mtanzania ana haki yake,Ukweli wa Mbivu tutaujua
 
MMh! Ukianza kula wenzio lazima na weye uliwe, walitusulubisha, walitukamua, wakatula wabichi sasa wameanza kulana wao kwa wao. Sie tukajiweka pembebi kuepusha msongamano.

Ha ha ha, dunia bwana, nimeamini huna haja ya kulipa kisasi, nature will take care of itself!
 
Samwel Sitta, it is your time to reap the fruits of your seeds you sow, u alongside your aliies. Mnafiki namba moja, mpotoshaji, uko tayari kufanya lolote ili ufanikiwe malengo yako, kama sio wewe haya malipo ya Dowans leo yasingekuwepo, shame on you. Eti tusilipe, we sheria umesoma wapi?

Au ulikuwa unadesa? Umetuingiza mkenge na nakuona unanyemelea uje utuongoze KATU HAUTAWEZA, huwezi kutukera kila siku kwa siasa zenu Unaingilia na mambo ya kitaalam kwa maslahi ya kisiasa eti una uchungu na nchi. Wewe?

Umekuwa mpare unauza ng'ombe kwa kesi ya kuku. Ona maujinga ujinga tu yanasababisha hela ya kujenga barabara hamna. Nasikia contractors hawajalipwa over 400 bil na ndo maana miradi almost yote ya barabara imesimama.

Nafikiri hizi ndo hela zimechotwa kupelekwa hukohuko, mzee Sitta sisi tunaokuelewa vyema unatukera mnooooooooooo! Hebu mchaneni atoweke kwenye ulimwengu wa siasa labda tutapata watu competent wengine sio majungujungu tuu watu hawafanyi kazi.
 
Angalia usiwe kilaza zaidi!, yeye amejitolea kuanika ufisadi wa fisadi PAPA= SITTA, hii ni hatua ya kupongezwa. kama wewe siyo kilaza ungeamua kuhangaika na fisadi mmoja unaye mjua ungekuwa umesaidia kutokomeza ugonjwa huu. unapoamua kumpinga aliyeoneshaq juhudi huo ndio u-kilaza.

Mkuu kama haujui Kibanda yupo kwenye payroll ya Lowasa mpango wa kumshambulia Sita ni maagizo ya Lowasa! Kama anaandika vitabu vya mafisadi kwanin aanze na Sita na siyo wale ambao wamejulikana tangu mwanzo?
 
Mchanganuo mzuri saaaaaaaaaaaana, kama akijichanganya katika hili, historia hata baada ya kufa kwake bado itamsuta, na hata mbele ya Mungu atakuwa na la kujibu.
Kwa kuwa kuna uhuru wa habari waache amuandike kisha kupiti kitabu hicho tayari tutajua nyanya ni ipi na nyanya tonle ni zipi,toka hapo basi itakuwa kazi lahisi sana mbinu mpya ya kuwanyonga mafisadi itakuwa imepatikana.

Wale wote wanaompinga kibanda kama kwa kutumwa au si kutumwa ,kama ni kwa hiari au si hiari, kama ni kwa kulipwa au si kwa kulipwa yote bado ni heri tupu,kwa kuwa tutajifunza jambo au mambo ambayo yanalikabili Taifa kama
1: Ukweli kiasi, ukweli Mwingi,Uongo au uchonganishi ambao unaweza kuwa ni wa upande wa Mh Sita au wa Mafisadi au wa Wengineo wengi ndani na Nje ya Serikali,kwa kuwa yeye kama Mhandishi atakuwa na chanzo [Source] ya taarifa zake na kuwa ili yathibitishwe na wahusika au kukanushwa na wahusika au Kibanda mwenyewe.Kwa kuwa huko mbele ya haki mikononi mwa Watanzania kitakuwa ni Kitanzi cha yeye Mwenyewe Kibanda au Sita au Mafisadi au Wapiganaji wa Ufisadi,kwa kutegemea Ukweli [Reality] ambao jamii itaupima kupitia kitabu hicho.

2: Kitatusaidia kujua Nguvu za Mafisadi kifedha,kupitia uwezo wa upatikanaji wa vitabu hivyo kwa kuwa Watanzania wanajua uwezo wa kifedha wa Absolum Kibanda,wengi wetu tunajua Msemakweli alipotoa kitabu chake cha Mafisadi wa Elimu kimemchukua muda kufika kwa umma kutokana na uwezo mdogo wa kifedha.Hivyo upatikanaji mkubwa wa vitabu hivyo kwa wnye akili zao itabidi waajue nyuma ya pazia [Who is a Big Shark behind it]

3: Kitatusaida kujua nani na nani wa kutiwa kitanzi pindi ukweli wa Taifa utakapokuwa ,Manake Mapinduzi ya umma ya Morocco yamewezesha kujua kumbe mjane wa Yassel Alafat kwa kushirikiana na Mke wa Rais wa Morroco wameifisadi Morocco kwa mgongo wa Rais.

4: Tutakuwaa tumeongeza ufahamu wa chachu, chungu na tamu ya UFISADI wa Taifa letu na hivyo kuongeza KASI NA HAMU YA WATANZANIA KUONYESHA HISIA ZA KUTAKA KUCHUKUA SERIKALI YAO,NA HIVYO KULIFANYA JESHI LA WANANCHI WA TANZANIA [JWTZ] KUCHUKUA HATAMU KABLA MAMBO HAYAJAHARIBIKA.Kwa kuwa JWTZ ndio chombo cha Umma pekee kilichobaki chenye uhalali wa Kuwavusha Watanzania Kwenye Kipindi hiki cha Mpito.

5: Kwa hayo machache yatakayokuwemo ndani ya kitabu tayari tutakuwa tumepata hata kumbukumbu kama ni ya uchonganishi, uongo, ukweli, ya kuyumbisha Ukweli,au ya Kuficha Ukweli,tayari tutakuwa na mhuri.

Muache aje!!!!!!!!!!!!!!!!!!! ni Mtanzania ana haki yake,Ukweli wa Mbivu tutaujua
 
Kibanda anafanya kazi ya Boss wake Mbowe, Mbowe na Slaa wamekwishanunuliwa na Rostam na Lowasa, mashambulizi wanayaelekeza kwa watu waliohusika kuwadamage Lowasa na kundi lake, Lowasa alipofanya mkutano na waandishi hakuna kiongozi yoyote wa CDM aliyecounter attack hoja zake isipokuwa CUF.

Kibanda ni muajiriwa wa Mbowe, anaandika kitabu cha ufisadi wa Sitta ili iweje? coz ni lazima kuwe na sababu ya yeye kufanya hivyo, then what? ameshindwa kuanza na cha Rostam na Lowasa?, la hasha ni vile ametumwa kufanya kazi ya Boss wake Mbowe. Simtetei Sitta, ni kweli anaweza kuwa na makosa yake ya kifisadi kama yapo, lakini je yanalingana na ya lowasa na rostam?

Watu wanapigana kwa bidii dhidi ya ufisadi lakini sasa viongozi wa CDM na washirika wao ndio wamekuwa ngao ya mafisadi wakuu, angalia siku hizi gazeti la mwanahalisi linalomilikiwa na mkurugenzi wa fedha na utawala wa CDM linavyomuandama Sitta, Lowasa siku hizi wala haguswi, na mkakati wenu ni kumwingiza lowasa ikulu, kama Mungu anaishi Lowasa hastahili kuwa rais hata siku moja, jizi hilo ndio linasababisha mchafue watu coz of money?

kweli mtanzania ana kazi kujikomboa.

Acheni kumshitua ili tuone upuuzi wake! Njaa mbaya sana, Watuhumiwa wakubwa wa ufisadi wanajulikana nchi nzima, wewe unaibuka na wa kwako tu. Tanzania inamatatizo mengi, ina mambo mengi ya kuandikia lakini siyo ufisadi wa Sita kwa wakati huu. Jamaa ameingia choo cha kike kabisa. Kweli njaa mbayaaaaaaaaaa.
 
hivi akina RA na EL nitawashika wapi nipate ahueni ya maisha na mimi? maisha magumu sana haya. Nchi zingine kama US kuna liberal media na conservative media na wanatumika na wanasiasa wa pande zote kupitisha agenda zao, tofauti ya kule na hapa, waandishi US wanalimit personal attack na wanaegemea zaidi kwenye on job records na mtazamo wako wa kisera na kiitikadi zaidi. Waandishi hapa kwetu wanaegemea zaidi kwenye ushambulizi binafsi wa mtu i.e nani ni fisadi zaidi wakati wakilipwa fadhila na upande ambao wameuchagua kwa kulinda maslahi ya tumbo na siyo kwa sababu wana imani na itikadi sawa na wanasiasa hawa. Kweli tuna safari ndefu watanzania wenzangu
 
Kwa kuwa kuna uhuru wa habari waache amuandike kisha kupiti kitabu hicho tayari tutajua nyanya ni ipi na nyanya tonle ni zipi,toka hapo basi itakuwa kazi lahisi sana mbinu mpya ya kuwanyonga mafisadi itakuwa imepatikana.

Wale wote wanaompinga kibanda kama kwa kutumwa au si kutumwa ,kama ni kwa hiari au si hiari, kama ni kwa kulipwa au si kwa kulipwa yote bado ni heri tupu,kwa kuwa tutajifunza jambo au mambo ambayo yanalikabili Taifa kama
1: Ukweli kiasi, ukweli Mwingi,Uongo au uchonganishi ambao unaweza kuwa ni wa upande wa Mh Sita au wa Mafisadi au wa Wengineo wengi ndani na Nje ya Serikali,kwa kuwa yeye kama Mhandishi atakuwa na chanzo [Source] ya taarifa zake na kuwa ili yathibitishwe na wahusika au kukanushwa na wahusika au Kibanda mwenyewe.Kwa kuwa huko mbele ya haki mikononi mwa Watanzania kitakuwa ni Kitanzi cha yeye Mwenyewe Kibanda au Sita au Mafisadi au Wapiganaji wa Ufisadi,kwa kutegemea Ukweli [Reality] ambao jamii itaupima kupitia kitabu hicho.

2: Kitatusaidia kujua Nguvu za Mafisadi kifedha,kupitia uwezo wa upatikanaji wa vitabu hivyo kwa kuwa Watanzania wanajua uwezo wa kifedha wa Absolum Kibanda,wengi wetu tunajua Msemakweli alipotoa kitabu chake cha Mafisadi wa Elimu kimemchukua muda kufika kwa umma kutokana na uwezo mdogo wa kifedha.Hivyo upatikanaji mkubwa wa vitabu hivyo kwa wnye akili zao itabidi waajue nyuma ya pazia [Who is a Big Shark behind it]

3: Kitatusaida kujua nani na nani wa kutiwa kitanzi pindi ukweli wa Taifa utakapokuwa ,Manake Mapinduzi ya umma ya Morocco yamewezesha kujua kumbe mjane wa Yassel Alafat kwa kushirikiana na Mke wa Rais wa Morroco wameifisadi Morocco kwa mgongo wa Rais.

4: Tutakuwaa tumeongeza ufahamu wa chachu, chungu na tamu ya UFISADI wa Taifa letu na hivyo kuongeza KASI NA HAMU YA WATANZANIA KUONYESHA HISIA ZA KUTAKA KUCHUKUA SERIKALI YAO,NA HIVYO KULIFANYA JESHI LA WANANCHI WA TANZANIA [JWTZ] KUCHUKUA HATAMU KABLA MAMBO HAYAJAHARIBIKA.Kwa kuwa JWTZ ndio chombo cha Umma pekee kilichobaki chenye uhalali wa Kuwavusha Watanzania Kwenye Kipindi hiki cha Mpito.

5: Kwa hayo machache yatakayokuwemo ndani ya kitabu tayari tutakuwa tumepata hata kumbukumbu kama ni ya uchonganishi, uongo, ukweli, ya kuyumbisha Ukweli,au ya Kuficha Ukweli,tayari tutakuwa na mhuri.

Muache aje!!!!!!!!!!!!!!!!!!! ni Mtanzania ana haki yake,Ukweli wa Mbivu tutaujua

DSN nakuheshimu sana, lakini hatuwezi kumsubiri mtu mpaka atupotoshe kabisa kwa malengo yake binafsi. Sisi hapa tunamsaidi kusave muda na rasimali zake na mtazamo wa watu wengi katika kuandika hicho kitabu. Na pia watu wametoa alternatives kama kweli ni mpiganaji wa ufisadi, andike kitabu cha RICHMOND/DOWANS/SYMBION ambacho kila mtu anakiu ya kujua. Pia kuna mambo mengi tu, lakini hili la Sita lina dalili nyingine kabisa.
 
Hata kama Sitta ni mchafu lakini bado hajaanza kunuka. Lowassa na RA ni wachafu kiasi cha sabuni nazo kuogopa kuwasafisha kwa kuogopa kuchafuka.

true, it's common knowledge kwamba lowassa na ra ni wachafu.

lakini kwa upande mwingine wengi tunajua sitta si mchafu tu bali pia ni mnafiki mkubwa.
so, mwache kibanda anuanike uchafu wake ili watu wasiojua sasa wajue.....atanuka kuliko hao wengine!
 
Kibanda anafanya kazi ya Boss wake Mbowe, Mbowe na Slaa wamekwishanunuliwa na Rostam na Lowasa, mashambulizi wanayaelekeza kwa watu waliohusika kuwadamage Lowasa na kundi lake, Lowasa alipofanya mkutano na waandishi hakuna kiongozi yoyote wa CDM aliyecounter attack hoja zake isipokuwa CUF.

Kibanda ni muajiriwa wa Mbowe, anaandika kitabu cha ufisadi wa Sitta ili iweje? coz ni lazima kuwe na sababu ya yeye kufanya hivyo, then what? ameshindwa kuanza na cha Rostam na Lowasa?, la hasha ni vile ametumwa kufanya kazi ya Boss wake Mbowe. Simtetei Sitta, ni kweli anaweza kuwa na makosa yake ya kifisadi kama yapo, lakini je yanalingana na ya lowasa na rostam?

Watu wanapigana kwa bidii dhidi ya ufisadi lakini sasa viongozi wa CDM na washirika wao ndio wamekuwa ngao ya mafisadi wakuu, angalia siku hizi gazeti la mwanahalisi linalomilikiwa na mkurugenzi wa fedha na utawala wa CDM linavyomuandama Sitta, Lowasa siku hizi wala haguswi, na mkakati wenu ni kumwingiza lowasa ikulu, kama Mungu anaishi Lowasa hastahili kuwa rais hata siku moja, jizi hilo ndio linasababisha mchafue watu coz of money?

kweli mtanzania ana kazi kujikomboa.

Pengine unabidi ujiulize kwa nini CDM hawajibu baadhi ya hoja za baadhi ya wanaCCM. Mimi ninafikiria kisiasa zaidi badala ya watu kuwa kwenye payroll za watu. ninamanisha ni mtaji wa kisiasa, kwani kuna baadhi ya watu wakipishwa kugombea Uraisi itakuwa rahisi kwa vyama vingeni kupata kura nyingi zaidi kwa sababu ya historia.
 
huyu naye kanunuliwa na nani? japo sita ni fisadi lakini sio katika extent ya kuandikiwa kitabu huku mafisadi papa wakipeta
mkuu sidhani kama kanunuliwa ,Kibanda ni kichwa hasa ni mmoja kati wa chache tulionao kwenye tasnia ya habari. mwingine anaitwa balile
 
Aikutegemea mhariri wa gazeti anakkosa neutrality kiais hiki, sasa nitegemee nini kutoka mtanzania daima when it comes to political analysis?
 
na mwengine ajitolee aandike kitabu cha mafisadi hawa. RACHEL pamoja na JK. Nalog off
 
Wadau mtaona kama watu wengine tunamtetea Sitta ama tunampenda sana, no ila kutoka sasa mpaka kufikia ccm kumpata mgombea atakaemrithi kikwete tutaona na kuyasikia mengi sana kutoka kwa hawa wahariri wetu.

Kibanda antumiwa na Lowassa siku nyingi kabla hata ya kubenea,suala la yeye kutumiwa na lowassa lilikua likimkera hata kubenea mwanzo kiasi mpaka cha kufikia kujaribu kumchongea kwa bosi wake mh.freeman mboe ambae mara zote amekua akimtetea kibanda kwa kusema yeye amewaachia uhuru na hawaingilii wahariri wake japo nayeye anahisi kibanda anatumiwa na mafisadi.

Sina uhakika na taarifa za hicho kitabu ila kama kweli kipo huo ni mkono wa Lowassa hakuna jingine,kwani mwanzo ilikua Lowassa aanzishe gazeti na kibanda awe mhariri wa hilo gazeti, mpango ambao naamini haujafa kwa kuwa kila kitu kilikua kimekamilika ikiwemo mpaka ofisi pamoja na furniture za ofisi, sasa labda Lowassa amaeona kitabu ndio kitafaa zaidi na kwa jeuri ya pesa ya mafisadi kina lowassa si ajabu hicho kitabu kikawa kinagawiwa bure, tusubiri tuone, lakini watanzania tuwe makini sana na waandishi hawa nitakaowataja kwenye list of shame ya wahariri wa bongo:

1: Said Kubenea

2: Absalom kibanda

3: Jacton Manyerere

4: Deo Balile

5: Muhingo Rweyemamu wa mtanzania (siku hizi nasikia pia ni afisa habari wa Manji)

Hii ndio tano bora ya wahariri hatari na wenye uchu wa ajabu wa kujengewa nyumba na mafisadi hapa nchini.Hawa jamaa wameahidiwa donge nono kama watamsaidia Lowassa kuingia ikulu, kama ilivyokuwa Salva Rweyemamu alipokua Rai kipindi kile akifanya kazi ya kumsafishia njia jk kwa kuwachafua washindani wake, basi na hawa watano wako kwenye payroll ya Rostam na Lowassa kuhakikisha Lowassa anaingia ikulu, tuombe uzima, haya mtakuja kuyakumbuka huko mbele.

Eti atatunga kitabu!!!!!!!!!!!!!

Mbona hujataja watu wa sampli za Clement Mshana. au ?? hao si hatari??
 
Kwanini alizima sakata la Richmond kihuni? Wacha achambuliwe kama karanga. Yeye na EL,RA,AC na wengine ni janga la kitaifa, hata ikibidi kuuwawa wauawe tu hawana faida yoyote kwa nchi yetu.
 
I get a strong feeling that some people in JF have also been bought to spread propagandas for Lowasa's 2015 presidency. Why would any body blame Sita for the 111 bilion, and spare people like lowasa and rostam who brought the faud company and who are going to benefit if we pay the money. All of those who are against sita do not mention lowasa or rostam as mafisadi at all.

At least sita allowed the motion of richmond to be tabled on the parliament, tell me another haed of parliament who would have dared to do so. And have you foggoten that it is because he allowed discussion of richmond that lowasa and rostam made sure he do not return to the seat? Lowasa thinks tanzanians are easy to fools, easy to buy, but let me tell him that tanzanians are not that stupid.
 
Acheni kumshitua ili tuone upuuzi wake! Njaa mbaya sana, Watuhumiwa wakubwa wa ufisadi wanajulikana nchi nzima, wewe unaibuka na wa kwako tu. Tanzania inamatatizo mengi, ina mambo mengi ya kuandikia lakini siyo ufisadi wa Sita kwa wakati huu. Jamaa ameingia choo cha kike kabisa. Kweli njaa mbayaaaaaaaaaa.

LINCOLINMTZA ukweli wakati mweingine utafutwa kwa machungu na hatimae walio umia upata aueni na ukweli wa maumivu yao ugeuka kuwa furaha yao kuwa UKWELI umefahamika.Na nguvu ya UKWELI uchukua muda na uvumilivu mwingi sana.Kwa kuwa watafutao ukweli ukumbwa na masahibu mengi na ufikia kudharauliwa na jamii husika kwa kuwa ukweli ufahamika kupitia ubaya.Uwezi kuwa na Ukweli pasipokuwa na uovu au ubaya.Kwa kuwa n nguvu mbili zinazoshindana basi daima mshindi wa yote uishia kwa UKWELI kushika hatamu yake.

Anyway L muache aje UKWELII DAIMA HAUNA MBADALA WAKE MKUU,Time will tell na fursa hiyo itatupa baadhi ya majibu.
 
Unajua absolom anaumia kama niumizwavyo mimi na hizi tabia za Sita na Mwakyembe kwanini wanang'ata na kupuliza? Sita kama siyo fisadi kwanini aliamua kuumaliza mjadara wa Richmond baada ya kuagizwa na wakuu wake ambao wana link na mafisadi? naye mwakyembe kwnini aliamua kuamua kutokusema kila kitu kwa kisingizio cha kutunza heshma ya serikali? alafu leo hii wanaendelea kujidai wanachukizwa na ufisadi, wangekuwa siyo mafisadi na wanachukia ufisadi Sita angeruhusu mjadala uendelee mpka kieleweke na Mwakyembe angesema kila kitu ili serikali iumbuke kwa maovu yake

Uko sahihi ndugu yangu Ezan. Tatizo hapa ni unafiki, huu ni lazima ushughulikiwe kwa nguvu zote. Sitta ni mnafiki ndicho kinachowafanya watu wamchukie. Pamoja na kuuua mjadala wa Richmond, mimi kitendo cha yeye kuanzisha CCJ kisha akaachia njiani kwa ahadi ya cheo!! this is more serious. Sasa alipoona kil cheo alicho ahidiwa (Uspika) jamaa wameweka mizengwe na yeye kuambulia wizara ndogo, anakuja juu na kusdai kuwa mafisadi wamenunua magazeti. Kama Sitta angrudi kwenye cheo cha uspika usingemsikia kutaja mafisadi tena, sasa kwa kuwa "alimdanganya" sasa anakiuka hata misingi ya utawala wa pamoja. Mimi sijui wana CCM watamchukuliaje, maamuzi yaliyofanywa na vikao halali vya chama (kumteua spika) yeye anasema ni mafisadi? hii ina maana hata mwenyekiti wake anamuita fisadi? sasa huo sio umwamba, akitaka apone na tuache kumsema atoke CCM mapema, huo ndio usalama wake. Otherwise go Kibanda, go mtundike hadharani watu wamjue huyo mnafiki.

huyo mwandishi hata asiwape PRESURE, nina uhakika na anachokifanya na anafanya kwa minajili ipi!mi namjua hadi kwake hadi shule alizosoma na maisha yake yote yapo kiganjani kwangu!BASI AKITOE THEN ITAKUWA NI STAILI YA KULUIPUANA NCHI HII ILI WATANZANIA WAWAJUE BAADI YA WAANDISHI WALIVYO NYOKA.kama anatoa kitabu sasa hivi alikuwa wapi siku za nyuma, hawa ndo wanachochoa machafuko angalia rwanda waaandishi wa habari walifanya nini!
,
kama ndo hivo kitabu chake kikitoka, hata mimi nitatoa series ya mambo yake yote na maisha yake kwa ujumla ili watanzania wamjue huyu mwandishi anayejiona mkamilifu na mpenda haki!mafisadi wapo wengi kwa nini kamchagua sita?mapapa wapo wengi ambao wamehangamiza hii nchi hujui walichokifanya au wewe sio mwandishi?basi kitabu nakisubiria!.
.
WAPO WATU WANA AKILI DHAIFU SANA, HIVI MJADALA WA RICHMOND ULIPOFIKIA BUNGENI KWELI SERIKALI ILISHINDWA KUCHUKUA MAAMUZI MAGUMU?KILA KITU KILIWEKWA WAZI USHAHIDI ULIPELEKWA KWA MKUU, MLITAKA SITTA AFANYE NINI AWE DPP?AWE AGUSTINO RAMADHANI, AWE MWEMA?AWE MANUMBA?MNAJUA KILA KITU KINA MIPAKA!NINA UHAKIKA KAMA NJIA YA JINSI RICHMOND ILIVYOKUWA ILIONESHWA!WATAWALA NA VYOMBO HUSIKA NDO VYA KULAUMIWA, SHUKULU SANA SITTA ALIRUHUSU ANGEKUWA MWINGINE SIDHANI KAMA HAYA MAMBO KAMA MGEYAJUA!KINACHOWAFANYA MUMCHUKIE SITTA NI NINI?KUWA MUWAZI NDO UNAFIKI WAKE?KIKATIBA ANAYO HAKI YA KUTOA MAWAZO YAKE KAMA MWANANCHI WA KAWAIDA SEMA NYIE MNAKARIRI KWAMBA UKIINGIASERIKALI BASI UMEFUNGWA!HUO NI UTUMWA WA MAWAZO NA FIKIRA POTOFU! RUDINI SHULE MJIFUNZE.,
,
NAMSUBIRI MHESHIMIWA MWANDISHI ATOE KITABU CHAKE THEN TUANZE MAPAMBANO!HII DUNI NDOGO SANA!
 
Back
Top Bottom