Absalom Kibanda: Kilichobaki ni Kuandika kitabu cha Maovu yako Samwel Sitta!

Jun 9, 2011
92
53
kibanda.jpg


Mhariri Mtendaji wa gazeti la Tanzania Daima ambaye pia ni mwenyekiti wa jukwaa la Wahariri nchini Bw Absolom Kibanda ametoa matamshi makali dhidi ya Samwel Sitta kwa kumwambia kuwa yeye (Sitta) si mpambanaji kama anavyojifanya lakini kali ya yote amemwambia kwasasa hana muda wa kupoteza kulumbana na Samwel Sitta bali yeye yuko hatua za mwisho kuandaa kitabu kitakachoeleza uovu wa Samwel Sitta ikiwa ni pamoja na kuhusika kwake na UFISADI WA KUTISHA NCHINI wakati akiwa spika wa Bunge la tisa.
 
huyu naye kanunuliwa na nani? japo sita ni fisadi lakini sio katika extent ya kuandikiwa kitabu huku mafisadi papa wakipeta

Standard yako ni ya kufikirika, Sita ni fisadi na hao mafisadi mapapa ni mafisadi......wote mafisadi

Kibanda ameamua kudeal na Sita, wengine wataandika vya wengine!

Sita ni mnafiki, alivunja mkataba wa dowans, bila kusaidia kama mwanasheria leo hii tunailipa dowans.

afadhali angekuwa hana ufahamu wa kisheria kama Joel bendera au makamba...he is lawyer by professional yet we are where we are because of sita and mwakyembe! hang him!

Go kibanda go..
 
Kibanda anafanya kazi ya Boss wake Mbowe, Mbowe na Slaa wamekwishanunuliwa na Rostam na Lowasa, mashambulizi wanayaelekeza kwa watu waliohusika kuwadamage Lowasa na kundi lake, Lowasa alipofanya mkutano na waandishi hakuna kiongozi yoyote wa CDM aliyecounter attack hoja zake isipokuwa CUF.

Kibanda ni muajiriwa wa Mbowe, anaandika kitabu cha ufisadi wa Sitta ili iweje? coz ni lazima kuwe na sababu ya yeye kufanya hivyo, then what? ameshindwa kuanza na cha Rostam na Lowasa?, la hasha ni vile ametumwa kufanya kazi ya Boss wake Mbowe. Simtetei Sitta, ni kweli anaweza kuwa na makosa yake ya kifisadi kama yapo, lakini je yanalingana na ya lowasa na rostam?

Watu wanapigana kwa bidii dhidi ya ufisadi lakini sasa viongozi wa CDM na washirika wao ndio wamekuwa ngao ya mafisadi wakuu, angalia siku hizi gazeti la mwanahalisi linalomilikiwa na mkurugenzi wa fedha na utawala wa CDM linavyomuandama Sitta, Lowasa siku hizi wala haguswi, na mkakati wenu ni kumwingiza lowasa ikulu, kama Mungu anaishi Lowasa hastahili kuwa rais hata siku moja, jizi hilo ndio linasababisha mchafue watu coz of money?

kweli mtanzania ana kazi kujikomboa.
 
Standard yako ni ya kufikirika, Sita ni fisadi na hao mafisadi mapapa ni mafisadi......wite mafisadi

Kibanda ameamua kudeal na Sita, wengine wataandika vya wengine!

Sita ni mnafiki, alivunja mkataba wa dowans, bila kusaidia kama mwanasheria leo hii tunailipa dowans.

afadhali angekuwa hana ufahamu wa kisheria kama Joel bendera au makamba...he is lawyer by professional yet we are where we are because of sita and mwakyembe! hang him!

Go kibanda go..

Umeandika mambo ya msingi sana ingawa nataraji wengi watakushambulia humu jukwaani.

Papara za Sitta et. al. ndizo zimesababisha tufike hapa. Hivi hakukuwepo uwezekano wa kuvunja mkataba baada ya majadiliano na maridhiano kati ya pande husika?

Pengine tukiwalipa DOWANS tutabaki na funzo la kutoingiza siasa kwenye mambo ya kisheria siku zijazo.
 
Nchi ya maajabu haikosi la ajabu...unaandika ya Sitta ni yeye tu uliemuona?!! badala tujadili haya ya dola kupaa na shilingi kuporomoka tunapiga majungu!!
 
Huyu Abasalomu ni kilaza kuliko maelezo. Naona anafuata mkumbo wa kina Kubenea ili na yeye aingie kwenye payroll ya RA na LA. Kweli hatuna waandishi kabisa ila waganga njaa tu.
Sasa na wewe usiyejuwa maana ya Reputation power tukuiteje? zuzu! zezeta au ngumbaru? huwezi kumfikia Absalom Kibanda kwa lolote lile kapuku wewe.
 
Hivi mwanasiasa gani leo Tanzania ana moral authority ya kutuongoza kwenda tunakokutaka? Woote wamechafuka tena mbaya!
 
Huyu Abasalomu ni kilaza kuliko maelezo. Naona anafuata mkumbo wa kina Kubenea ili na yeye aingie kwenye payroll ya RA na LA. Kweli hatuna waandishi kabisa ila waganga njaa tu.
aingie kwenye payroll mara ngapi? hujasikia hata ile taarifa ya Edo aliyotoa kwa waandishi wa habari kule monduli ndiye aliyemwandikia? Kibanda, Edo, RAni kundi moja wahasimu wa kundi la SS na Mwakyembe


a
 
Inawezekana kabisa Mh Sitta sio msafi lakini kwa mwandishi wa habari/mwenyekiti wa jukwaa la wahiriri kutoa matamshi aliyotoa ni nje kabisa ya mipaka ya taaluma yake - very unethical. Kama kweli Kibanda anataarifa za ufisadi wa Sitta kwanini kama mwandishi asifanye kazi yake -aandike hizo habari? Alizipata lini hizo habari za Sitta? Pia Kibanda ana taarifa za ufisadi wa watu wengine mbali ya Sitta? Why Sitta and not others? Mimi naona kama Kibanda anatishia wanasiasa hapa, kwamba ukiwa karibu naye hata kama utafanya madudu atakaa kimya lakini mara unapokuwa upande wa pili atatoa habari zako. Na ukiangalia makala za Kibanda ni wazi utaona yuko upande gani.

Nategemea baada ya kuandika kitabu kuhusu ufisadi wa Sitta utaandika pia vitabu kwa mafisadi papa. Hapo ndio tutaona hujanunuliwa. Lakini kama ni kitabu cha Sitta peke yake tutaendelea kuamini wewe ni mwandishi uchwara.
 
I am fedup with TZ politics!! watu wanafanya dili wengine wanageuzwa dili, crazy. CDM have to change their strategies, otherwise we are not gonna make it for good.
 
Sasa na wewe usiyejuwa maana ya Reputation power tukuiteje? zuzu! zezeta au ngumbaru? huwezi kumfikia Absalom Kibanda kwa lolote lile kapuku wewe.

Nasikia ulikuwa umewekwa ndani, karibu tena jamvini
 
Hata kama Sitta ni mchafu lakini bado hajaanza kunuka. Lowassa na RA ni wachafu kiasi cha sabuni nazo kuogopa kuwasafisha kwa kuogopa kuchafuka.
 
Huyu Abasalomu ni kilaza kuliko maelezo. Naona anafuata mkumbo wa kina Kubenea ili na yeye aingie kwenye payroll ya RA na LA. Kweli hatuna waandishi kabisa ila waganga njaa tu.
Unajua absolom anaumia kama niumizwavyo mimi na hizi tabia za Sita na Mwakyembe kwanini wanang'ata na kupuliza? Sita kama siyo fisadi kwanini aliamua kuumaliza mjadara wa Richmond baada ya kuagizwa na wakuu wake ambao wana link na mafisadi? naye mwakyembe kwnini aliamua kuamua kutokusema kila kitu kwa kisingizio cha kutunza heshma ya serikali? alafu leo hii wanaendelea kujidai wanachukizwa na ufisadi, wangekuwa siyo mafisadi na wanachukia ufisadi Sita angeruhusu mjadala uendelee mpka kieleweke na Mwakyembe angesema kila kitu ili serikali iumbuke kwa maovu yake
 
Back
Top Bottom