Abiria wa siti ya nyuma kanyoosha mguu wake wa kulia, kule chini kuna kwato

Jamani eeeeh!
Nipo kwenye dala dala hapa natoka kibaruani na kwa mji wangu. Nimekaa Nimekaaa siti karibu na mlango wa conductor, abiria wa siti ya nyuma kanyoosha mguu wake wa kulia, kule chini kuna kwato.

Nashangaa konda na wengine ote humu ndani hawaoni. Hapa napost huku natetemeka. Nimejaribu kunyanyuka ili nishuke, kanisukuma chini kwa nguvu, bega mpk linauma.

Abiri ni mwanamke, na anaonekana mrembo huyu! Naomba ushauri, je nipige nae selfie au? Nishaurini nifanyeje, mana nishapitiliza kituo changu cha home, naogopa nikishuka na yeye atashuka na mimi.
Slim,
Ikiwa wewe ni Muislam soma Ayat Kursiyu,
Ikiwa huijui soma chochote katika Qur'an
na toa sauti aisikie.
 
Huku unatetemeka, huku anaanzisha thread, huku unauliza upige nae selfie, which is which?
 
Back
Top Bottom