Abdulmutallab alipokuwa mafunzoni Yemen

Hofstede

JF-Expert Member
Jul 15, 2007
3,577
1,107


Je video hii inaukweli au ni kama ile ya Osama Iliyoshikwa Afghanistan mwaka 2001. Maswali ya kujiuliza

1. Kwa nini mwisho video imefocus kwa Mutallab na siyo mtu mwingine?

2. Je mafunzo yote hayo yalikuwa ni kwa ajili ya kumuandaa Mutallab tu?

Anything is possible kwenye hii video. Bado itaendelea kuwa kitendo chake kilikuwa si muafaka kwani maisha hayana replacement na ni kinyume cha dini zote kutoa uhau wa watu wasiokuwa na hatia.
 
Last edited by a moderator:
huyu gaidi wa wapi tena, anampigania mungu wao, au? huyo mungu hana nguvu kuhitaji wanadamu wamsaidie kupigana....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom