Abdi Msomali

lazima tutakuwa tushakutana Langata enzi zile wakati baba yao akina SHUSHU alipokuwa anaimiliki
...Mhhh! sidhani Mkuu,sie-wengine humu wajombaX2/ma-punju tu bwana sanasana wikiendi enzi hizo ilikuwa kule 'silver sands' wakati inamilikiwa na UDSM au pale Mlimani park.
 
Kweli ujafa ujaumbika nakumbuka enzi zile ukienda kiwanja safu ya bad boyz Dj's Franco, Mao na marehemu Abeli Siwale.
Mwenyezi mungu amponye Franco

Ha ha ha ha itabidi tuombe majina ya bandia sasa basi kila mtu atumie jina lake la kweli!!!! ha ha ha ha maana humu watu wengi tunafahamiana. YE kumbe nawe unamfahamu Mao Makatta na Abeli Siwale, kweli dunia ni ndogo sana. Haya majina ya bandia unaona kila mtu ni stranger kumbe!!!! lakini nayo yakiondolewa uhuru wa watu kuandika utapungua sana kama siyo kupotea kabisa hasa katika mambo ya mapapa mafisadi na watetezi wao ndani ya chama na serikali.
 
na hapa ndio utaona tofauti yetu na wale jamaa wanaotoka kule nyanda za juu kusini

wee acha tuuu

mimi bionafsi najua tushakutana pale Bills..

anyway turudi kwenye abdi msomali

Ha ha ha ha ha GT, naam tulishakutana pale Bills nakumbuka miondoko yako haikuwa ya kawaida ukiingia kwenye dancing floor mimi nilipenda kukuangalia tu uwezo uliojaliwa wa kuruka nyoka ulikuwa hukamatiki ha ha ha ha ha. Wee mkali!!!!
 
Wakati abdi anafariki kulikuwa na hofu kubwa sana dar kwani aliwapitia sana kwa mtego wa lift na chips yai.

Dereva wake amewini kinoma maana aliamua kutembea kwenye deals za bosi wake na sasa jamaa ni mla bata jijini. ni miongoni mwa wamiliki wa falcon drycleaner ili kumcover.... jamaa ana rock kinoma labda awe amefulia sasa ila....

sidhani kama Deo alikuwa dereva wa Abdi ,bali moja wa washikaji zake wa karibu,Huyo Deo alikuwa ni Banker,na aliacha kazi ,na kungana na marehemu Abdi katika biashara zao za mjini
 
Nakumbuka kale kaofisi ka Abdi pale Kisutu. Kale kamtaa kafupi hivi nimekasahau jina. Mtu ulikuwa hujui ile ofisi wanafanyia biashara gani, lakini utawaona watanashati wakitoka na kuingia tu. Enzi za rukhsa nazo?
 
Deo Lee is no more...R.I.P

RIP Deo Lee. Nakumbuka huyu jamaa alitaka kunivua raba mtoni zangu (bata za kenya) mitaa ya o'bay miaka ya 80s wakati natoka shuleni. Nilikimbia !! kipindi sana

Hivi nilikuja kusikia kuwa huyu jamaa baba yake alikuwa polisi..maana alikuwa hakamatwi na akikamatwa anaachiwa!!
 
RIP Deo Lee. Nakumbuka huyu jamaa alitaka kunivua raba mtoni zangu (bata za kenya) mitaa ya o'bay miaka ya 80s wakati natoka shuleni. Nilikimbia !! kipindi sana

Hivi nilikuja kusikia kuwa huyu jamaa baba yake alikuwa polisi..maana alikuwa hakamatwi na akikamatwa anaachiwa!!

OH! POLE SANA .
Bullying enzi hizo jamani! Tena bora wewe kama ni mtoto wa kiume.... kulikuwa na akina King Sabato... japo ni mwanafunzi mwenzio..ukikutana naye inabidi umpe shikamoo unusurike asiku terrorise! Wote hao walikuwa wavuta bangi na drugs.
Deo Lee baba yake alikuwa boss STAMICO hakuwa polisi.Enzi hizo mtoto wa kibosile naye alikuwa kibosile japo siyo kifisadi kama sasa LOL!
 
Kuna vitu viwili vitatu vinahitaji kusahihishwa hapa iliyokuwa saloon ya Caro ni ofisi ya Rupia sasa na sio pharmacy,hamna sister wa Caro aliyeolewa na Rupia's,Anna alikuwa live-in girlfriend wa Peter kabla ya kumuoa Sir George Kahama's daughter,Deo sio part-owner wa Falcon ana lay-low pale,alitajirika kwenye deal ya mafuta ya transit kuuzwa hapa iliyomuhusu pia Mahita na mwanae General Marwa.Caro kaolewa tena anaishi nje ya London.Aliye wa-putdown watu wa nyanda za juu kusini guess what Abdi was from Mbeya.Ukiona mtu yeyote anayekamatwa na magendo,ujambazi au drugs ujue ni freelancer, hapa Bongo ukitaka kufanikiwa na chochote ilegal wahusishe wakubwa.
 
Jamani vipi tena Jf? Abdi was my brother na alifariki miaka 14 iliopita naomba tuache kuwaongelea vibaya waliotangulia,mi situmii nickname hili ni jina langu,tusihamishie Zeutamu huku.
 
Jamani vipi tena Jf? Abdi was my brother na alifariki miaka 14 iliopita naomba tuache kuwaongelea vibaya waliotangulia,mi situmii nickname hili ni jina langu,tusihamishie Zeutamu huku.
Tell them, aidha sahamani kwa kadhia uliyoipata so far..!
 
Kati ya Ma-Celeb wa bongo yupo pia Mine Chomba, sasa hivi ni marehemu. Aliuawawa na majambazi kwenye tulio la kunyan'ganywa gari pale sinza Mori. Kuna habari pia kwamba hawakuwa majambazi bali ni polisi enzi zile za Zombe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom