Abdi Msomali

Game Theory

Platinum Member
Sep 5, 2006
8,545
835
Huwezi kuzungumzia ma celebrities wa bongo bila huyu...ile miaka ya 90's alikuwa anatingisha sana

sasa hivi ni al marhum

sasa naouliza je Caro nyimbo yuko wapi jamani maana ile saluni yake imegeuzwa kuwa pharmacy
 
....duuuuhhhh! hawa celebrities wa enzi hizo... adimu kumuona mtu ana gari nzuri zaidi ya peugeot 504!!! Carol Nyimbo wakati huo anatamba na Golf nyekundu, Freeman na BMW...

miaka ya tisini au ya themanini ile?

BTW, Jana kwenye blog ya michuzi nimesoma habari za kusikitisha kuhusu Frank Mtui. namuomba Mwenyezi mungu amjaalie nafuu.

Miaka ya 90 ile...

Abdu Msomali alikuwa kijeba lakini alikuwa ana hanga na watoto wa wadogo wa Shaaban Robert...duuu...dude didn't act his age at all

Nilisikiaga eti ana mdudu...
 
ebwana habari za Frank ndio nimezisoma humu...noma tupu

hivi kuna mtu anajua ALFA naye yuko mji gani maana lile duka lake la simu kule Karibu hotel limefungwa na last time nilisikia kuwa ndiye owner wa gazeti la Bang sijui kama kweli

yaani tangu nima yake na mtoto wa mkubwa kapotea jiii
 
Mwj'1 -al marhum maana yake Marehemu.

...no wonder sis Carol alikuwa heshi safari kwa 'madiba'

Nakumbuka msomali alikuwa ana ki benzi chake flani cheupe cheupe hivi....basi watu walikuwa wanakiona mali kweli enzi hizo...

Dude was ballin though...I can't knock him for that
 
He was balling by local standards, lakini tatizo nikwamba his vision was limited and he was consumed... basically he acted in a way that made his demise imminent, but since that is the case with all living things, he made his time come sooner..
 
Of course he was ballin by local standards. As far as I go he wasn't ballin anywhere near out of control.

He hung out a lot with a bunch of secondary school teenagers and to them that was some serious ballin
 
Kila alipokua anapita Abdi mkubwa mmoja mdau wa redio nae alikua lzm apite, sijui usalama wa mkubwa huyo maana bado anadunda tu.
 
vpi hali zenu wana jamii,nimezuru kwenye site nimepata mambo mengi ya kufurahisha na kuwezeshana kwa kila namna hivyo nimeonelea namie nijiunge ili nipate kuchangia yaliyo mazuri ketu sote, mnipokee kwa moyo mkunjufu waungwana.
 
....duuuuhhhh! hawa celebrities wa enzi hizo... adimu kumuona mtu ana gari nzuri zaidi ya peugeot 504!!! Carol Nyimbo wakati huo anatamba na Golf nyekundu, Freeman na BMW...

miaka ya tisini au ya themanini ile?

BTW, Jana kwenye blog ya michuzi nimesoma habari za kusikitisha kuhusu Frank Mtui. namuomba Mwenyezi mungu amjaalie nafuu.

Ha ha ha ha Mbu, Humu kuna watu wengi inaelekea tunafahamina maana mpaka majina yakianza kuruka hapa ukumbini ndiyo utajua kwamba kumbe nanihii pia anamfahamu nanihii ha ha ha ha. Nimesikitika sana kuona Franco amepooza mwili mzima namuomba mwenyezi mungu amsaidie ili apate ahueni. Mbu ulikuwa unaruka nyoka wapi miaka hiyo? au wewe kama mimi ulikuwa msondo ngoma kwa sana ha ha ha ha
 
Ni kweli habari ya Franco Mtui hata miye zimenisikitisha sana.Yaani hvi mtu akiwa amepooza ndiyo hawezi kurudi kwenye hali yake tena?.
Pole nyingi kwa dada Peres (mkewe)
 
...ha ha ha, BaK nikikwambia nilikuwa nayarudi macharanga na pachanga ya Ibrahim Ferrer pale Tanzania Legion utaamini? we acha tu. Halafu nazungumzia miaka hiyo -House parties mitaa ya O'bay, Upanga, Seaview nk...

Ni kweli habari ya Franco Mtui hata miye zimenisikitisha sana.Yaani hvi mtu akiwa amepooza ndiyo hawezi kurudi kwenye hali yake tena?.
Pole nyingi kwa dada Peres (mkewe)

...Inategemeana na 'jeraha', zaidi ya hapo ni maombi tu na muujiza wa mwenyezi mungu tu ndio yanaweza kusaidia, physiotherapy (kwa -mama cheza) inataka moyo kwakweli. Tumzidishie maombi.
 
Kila alipokua anapita Abdi mkubwa mmoja mdau wa redio nae alikua lzm apite, sijui usalama wa mkubwa huyo maana bado anadunda tu.

...utakuwa unamaanisha former DJ wa Disco Biribi -JK (sio prez) wewe :), ndio maana wakasema, "nyota ya mwenzio usiilalie mlango wazi"...
 
Ha ha ha ha Mbu, Humu kuna watu wengi inaelekea tunafahamina maana mpaka majina yakianza kuruka hapa ukumbini ndiyo utajua kwamba kumbe nanihii pia anamfahamu nanihii ha ha ha ha. Nimesikitika sana kuona Franco amepooza mwili mzima namuomba mwenyezi mungu amsaidie ili apate ahueni. Mbu ulikuwa unaruka nyoka wapi miaka hiyo? au wewe kama mimi ulikuwa msondo ngoma kwa sana ha ha ha ha

Mungu wangu!
Frank..... sina hata la kusema...
Mungu amjalie apone !
 
Ha ha ha ha Mbu, Humu kuna watu wengi inaelekea tunafahamina maana mpaka majina yakianza kuruka hapa ukumbini ndiyo utajua kwamba kumbe nanihii pia anamfahamu nanihii ha ha ha ha. Nimesikitika sana kuona Franco amepooza mwili mzima namuomba mwenyezi mungu amsaidie ili apate ahueni. Mbu ulikuwa unaruka nyoka wapi miaka hiyo? au wewe kama mimi ulikuwa msondo ngoma kwa sana ha ha ha ha

Babu unataka kwenda kwa Yo Yo? (kufungiwa) umeanza kuoanisha ID na majina ya watu unayo yajua ni makosa hapa JF, wee changia kivyako hata kama unahisi Miganiko ni Bakari Malima wa Jembe Ulaya...we Kula pini tu...Bwa bwa bwa bwaah
 
Caro anadunda na yuko bomba sana tu.Duka lake sasa ni Real Estate Agency nadhani ya akina Paul Rupia as you may know mdogo wa Caro is married into the Rupia family.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom