aarrrgh.!! nshakula nyama tena..

Maneno ya ukweli sana haya,


afu eti akiulizwa we dini gani anasema mkristo, mkristo gani asiyekuwa hata na ratiba?..

sometimes inatokea, kwani nyie hamjawai kusahau kitu banah.. Its dat nlikua na mambo mengi ndo mana nkapitiwa but mi mkristo mzuri tu.!!!
 
Back
Top Bottom