Dark City
JF-Expert Member
- Oct 18, 2008
- 16,253
- 11,599
Babu yaani imenichanganya sana hii article mpaka nikakumbuka ya zamani!! Nakumbuka nilikuwa naambiwa nijifunze kuwa 'a lady' just because nilishajizoeza kutokuwa tegemezi, bahati mbaya kuna watu ambao mke akisema asaidie wanaona kama mwanamke anataka kuwatawala...... matokeo yake wanawaabuse iiwemo kuto kuwashirikisha kwenye maamuzi muhimu ya familia.
Namkumbuka pia kuna usemi ule wa ...chako ni chetu kwa kuwa wewe ndio baba wa familia na mume, ila changu ni changu'
Huna sababu ya kuchanganywa na maoni ya mtu...Ni yake binafsi kama vile wewe unavyoona yanakwenda tofauti na uelewa/imani yako!
Theoretically, mwanamume anatakiwa kuwa kama "king of the jungle". Ila inapokuja kwenye hali halisi, maisha yana-evolve organically na mwanamume anaweza kuwa recipient pia (ingawa kwetu tulio wengi hiyo ni aibu sana). Hata hivyo kila ndoa inajiendesha kwa taratibu zake yenyewe (napenda kuita ndoa kuwa ni sovereign state) na kwa hiyo mambo yake yanaweza kuwa unique!
Babu DC