A man on your bed

Hapana bana,huyo jamaa anayeingia ni mlinzi wa nje ya hoteli analeta vitu vya bibie alivisahau kwenye gari.............!!!!hizo zana ni asili ya hao jamaa,urembo tu,havitumiki
 
Unarejea safari kama hivi, chumbani kwako jamaa amepumzika kitandani pako na "mai waifu wako" ....hana wasi hata kidogo!.


attachment.php

chumba chenyewe ni utata mtupu bado unammega dem si unataka death certificate????????????
 
huyo mama atakuwa kampa jamaa chochote sio bure kama ninge kuwa mimi tunapumzika wote hapohapo,tunaunganisha vikojoleo zamu kwa zamu.
 
Mimi nikimkuta M2 anakula Wife...Ntaishia kuwaambia... "Acheni utani jamani,Acheni utani jamani"... "Mbona mnataniana jamani"..."Acheni utani..."
Duuh! kama ni hivyo basi Tusker Bariiidi zitakuwa zimekuathiri sana ndugu yangu
 
Mpaka ifikie mkeo akapa ujasiri kama huo , kuna tatizo la muda mrefu hamkulioatia majibu sahihi.
 
nabalika kuwa padre, hapo ni akuwa fungisha ndoa ya fasta fasta niondokane na mapresha yasiyo na msingi
 
katika scenario km hii ni bora kujitahidi sana kutotumia NGUVU na UBABE, kwani hao wamekwisha haribu na wewe tena unatak kuharibu so what?a you going to be a man+ or ndio umetatua tatizo?offcourse inauma sana why cheating?lakini AKILI(great thinker) unatakiwa kuonyesha kwamba afikirii kwa kutumia ma....lio ak.a masaburi bali RATIONALITY ndio inatawala zaidi ya EMOTIONS!Si jambo jepesi lakini ukijijenga kifikra inawezekana na hapo you make a very great difference!so mimi nitajitahidi kutumia akili zaidi katika kutoa reaction hzo silaha ukutani wala hazitanihusu!
 
Back
Top Bottom